Zambia: President Lungu to create a Ministry of Religion

ILAN RAMON

JF-Expert Member
Sep 10, 2013
8,034
2,917
Rais mteule wa Zambia, Edgar Lungu amezua mjadala mkali baada ya kutangaza mpango wa kuanzisha wizara itakayosimamia maswala ya dini.

Mnamo siku ya Jumapili, Rais Lungu alitangaza mpango wa kuanzisha wizara hiyo itakayopewa jukumu la kuendeleza maadili mema ya kikiristo na kubadilisha taifa hilo kuwa la kikristo. “Tutaanzisha wizara maalum itakayotuongoza katika mpango wetu wa kuwa taifa la kikristo,” alisema Lungu.

Tangazo hilo limezua hisia mbali mbali huku baadhi ya washikadau wakilipinga kuwa litaleta mgawanyiko katika misingi ya kidini nchini humo.

Askofu John Mambo, mmoja wa viongozi wenye hadhi za juu nchini Zambia alisema kuwa wizara hiyo huenda ikaleta migawanyiko baina ya wakristo na hata wasiokuwa wakristo.

Hata hivyo Mchungaji Pukuta Mwanza, mkurugenzi wa shirika la kievanjilisti nchini Zambia ameunga mkono hatua hiyo akisema kuwa itakapoundwa, wizara hiyo itasimamia mienendo ya mashirika ya kidini na kuimarisha imani ya kikristo nchini humo.

=======

image.jpeg


President Edgar Lungu has announced that he will create a new ministry that will oversee the religious affairs in the country.

Speaking during order of service for the reception service Reverend Bishop Sydney Sichilima, Synod Bishop held at UCZ St Andrew’s Congregation Lusaka, President Lungu announced that there was need for a ministry to oversee the values of Christianity being propagated in the Republic especially that Zambia is a Christian Nation.

“Mr Chanda (Amos Chanda) when we are done with everything we need to look into this, I do not know what we shall call it whether it is Ministry of Religion but once all this is done it is something we seriously need to look into,” President Lungu announced to the jubilant congregants.

He also asked for more Christians with Christian faith to take up leadership roles in politics.

“Every citizen should seek the presence of God before we look to politics, if you have Christ in your heart you will not set ablaze your friend’s house,” President Lungu said. Only those fed with the demon can do such acts.”

And President Lungu says politicians are to blame for the tribalism divisions that have emerged in the country.

The Head of State noted the tribalism and violence was being caused by politicians.

He asked for the church’s intervention to help end the violence noting that there was need for more Christians to participate in politics.

Meanwhile the United Church of Zambia has congratulated President Lungu on his re-election as Republican President.

Speaking on behalf of the Church in welcoming the Head of State Rev Dr. Peggy Mulambya Kabonde said leaders are chosen by God and move with the favour of God and anyone who touches his annoyed would be playing with fire.

Reverand Kabonde said the Church will not allow the alien behaviour of violence and tribalism to rock the land especially that the country had a peaceful democratic election.
 
Zambia kitambo a religious country hata kwenye katiba yao inasema wazi ' a Christian state''

Pata nakala ya katiba utajionea
 
Ni huyu huyu Lungu alitenga siku mwaka Jana na kutaka watu wafunge kuombea uchumi wa nchi. Badala ya kupana mianya ya rushwa na matumizi Mabaya ya fedha na kuongeza juhudi katika Kazi anataka uchumi uombewe. Hii mirais ya Africa hamna kitu

Muafrika haendi bila fimbo
 
Mbulula mwingine kaja tabu kweli kweli,ukristu,uislam or whatever haya mambo ya udini ndio mwanzo wa umaskini na migogoro isiyo na maana,bora US kuna separation of church and state , Russia or China wanaweza hata kukutwanga Shaba ukileta hizi balaa za midini,hapo specific anawaambia wakristu waingie kwenye politics vipi na wengine wasio wakristu...upuuzi mtupu
 
Kristu???? au Kristo????
Anyway whatever. It might be a blessing to decelare Zambia a christian state. Christianity has no democracy, it has theocracy instead. Under theocracy no question, once those in power proclaim it is the voice of God you do not ask. I think they will do away with thinngs like UKUTA in their country
 
Kiuhalisia zambia ni nchi ya kikristo, kama sikosei ni Lutheran! kwani hata katiba yao imetamka hivyo. huko uislam haujaenea sana kama huku bongo kwetu. Mwaka jana nilishangaa siku ya iddi nikiwa Lusaka, watu walikuwa wanaendelea na shughuli kama kawaida na hayakuwepo mapumziko kama nchi nyingine. Hawa jamaa hata kama ni majirani zetu, lakini naona tunaishi ulimwengu tofauti na wao
 
Mbulula mwingine kaja tabu kweli kweli,ukristu,uislam or whatever haya mambo ya udini ndio mwanzo wa umaskini na migogoro isiyo na maana,bora US kuna separation of church and state , Russia or China wanaweza hata kukutwanga Shaba ukileta hizi balaa za midini,hapo specific anawaambia wakristu waingie kwenye politics vipi na wengine wasio wakristu...upuuzi mtupu.

Kimsingi dini haitakiwi kufungamana na serikali. Maana utachukua dini ipi sasa na kwa vigezo gani? Nchi ambazo zimefungamanisha dini zinalazimika kuwanyanyasa wale ambao hawaamini zini zinazotambuliwa na serikali. Ona mashariki ya kati mfano Iran na Saudi Arabia. Wasio waislamu wananyanyaswa mpaka hata kuuwawa sababu ya dini tu, siyo hata ubinadamu wao. Ni mawazo ya ajabu sana kufungamanisha serikali na dini kwa kweli
 
Bora wakimbie matatizo mapema. Kuna imani hathamini utu na kustahimiliana na wao ndio wa kwanza kuita wengine makafiri. YESU ndio njia pekee ya UZIMA. Karibuni kunitukana.
 
Iwe mara ngapi mkuu? Hujawahi kusikia mahubiri ya Sheikh Ponda?

Nyie ndiyo walewale mnashabikia ujinga.
 
Bara la kipumba.vu katika ubora wake,hivi huyu nae anaona matatizo ya waafrika ni dini zao?
ooh kweli tuzidi kuwaombea hawa wateule wetu
 
Natamani siku moja niione Tanzania iwe taifa la kikristo
Unajua wewe ndiye unazuia Tanzania isiwe taifa la kikristo?Kwa wiki huwa unawashuhudia watu wangapi kuhusu Yesu?Sasa usitegemee miujiza kama haujasimama katika nafasi yako.Kama kila mkristo atamleta mtu mmoja kwa Bwana idadi itadouble lakini kwa sababu tanzanian christians majority "they do not live the christian life" that is why we are where we are.
 
Back
Top Bottom