International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Kimondo kilichogonga nyumba nchini Marekani kina umri mkubwa kuliko sayari ya Dunia, wanasayansi wamesema. Kitu hicho kilisafiri angani katikati ya mchana kabla ya kulipuka katika anga la jimbo...
6 Reactions
20 Replies
2K Views
Ikiwa ni kweli; Je, viongozi wa Sudan Kusini watajifunza kutokana na historia au watatanguliza njaa zao? Kipindi kile Janjaweed wanawaua Wasudan weusi, wanahistoria wakasema kuwa, Wasudan weusi...
1 Reactions
9 Replies
639 Views
Chonde chonde turuhusuni tufikie wahitaji El Fasher, Sudan – WFP © WFP/Mohamed Galal Njaa na mabomu vilimlazimu Sondos mwenye umri wa miaka minane na familia yake kuukimbia mji mkuu wa Darfur...
0 Reactions
3 Replies
361 Views
17 Aprili 2025 Goma, Jimbo Kivu ya Kaskazini DR Congo KUTOKA OFISI KUU ZA M23 MJINI GOMA https://m.youtube.com/watch?v=8ejxs6ue7D0 Katika mahojiano haya ya kipekee, Corneille Nangaa, Mkuu wa...
2 Reactions
31 Replies
2K Views
Zaidi ya watu 300 wameripotiwa kupoteza maisha kaskazini magharibi mwa Pakistan kufuatia mvua kubwa na mafuriko yaliyodumu kwa siku mbili, kwa mujibu wa taarifa za maofisa wa eneo hilo. Mvua hizo...
0 Reactions
1 Replies
681 Views
Waziri wa Mambo ya Nje wa Urusi, Sergey Lavrov amesema kwamba Urusi haitakubali kurejesha ardhi iliyokwisha itwaa kutoka Ukraine katika mazungumzo ya kutafuta amani yanayotarajiwa kufanyika leo...
3 Reactions
11 Replies
1K Views
Hivi karibuni, ili kukabiliana na maambukizi ya virusi vya Chikungunya, mkoa wa Guangdong, China uliachilia mamilioni ya mbu maalumu, ambao wanaweza kula mbu wanaoambukiza virusi hivyo. Utafiti wa...
2 Reactions
7 Replies
619 Views
Moja kwa moja kwenye swali langu. Mahakama ya ICC ilimhukumu Putin kwa makosa yanayohusiana na vita ya Ukraine na kutaka akamatwe. Sasa ni wazi Putin ataenda kuongea na Rais wa Marekani Bwana...
16 Reactions
73 Replies
4K Views
Sisi yetu ni macho tu kushuhudia laana inayoendelea kuwapata madhalimu duniani. Kwa sasa taifa la Marekani chini ya Trump linayumba sana na halijielewi linakoelekea. Trump amewahi kudai pesa...
15 Reactions
31 Replies
2K Views
Magaidi wa Hezbollah wanaendelea kuteka nyara misaada ya chakula ambayo ilipaswa kuwafikia wananchi wa Palestina badala yake misaada hiyo magaidi hao wanaipeleka kwenye Mahandaki!!!
0 Reactions
7 Replies
572 Views
Waziri wa Usalama wa Taifa Itamar Ben Gvir ametembelea gereza la mfungwa mashuhuri wa ugaidi wa Kipalestina Marwan Barghouti na kutoa tishio, picha zilizochapishwa kwenye mitandao ya kijamii, na...
0 Reactions
0 Replies
287 Views
Mkono mrefu wa Majeshi ya Israel unaendelea kuwabinya na kuwanyong’onyeza magaidi wa Hezbollah huko Lebanon baada ya kuanza kuwalenga popote walipo na kuwaangamiza. Lebanon kusin sasa hivi...
1 Reactions
1 Replies
519 Views
Seneta wa Colombia na mgombea urais, Miguel Uribe, amefariki dunia miezi miwili baada ya kupigwa risasi kichwani katika shambulio la kulengwa mahsusi lililotikisa taifa hilo la Amerika Kusini...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
🇮🇱 Ofisi ya Waziri Mkuu: Baraza la Mawaziri la Usalama limeidhinisha pendekezo la Waziri Mkuu la kushindwa kwa Hamas. IDF itajiandaa kuchukua udhibiti wa Jiji la Gaza huku ikitoa misaada ya...
9 Reactions
37 Replies
2K Views
kwamba atajaribu kurejesha baadhi ya maeneo ya Ukraine wakati wa mkutano wake na Rais wa Urusi Vladimir Putin Ijumaa ijayo. "Urusi imechukua sehemu kubwa ya Ukraine. Wamechukua eneo muhimu...
2 Reactions
45 Replies
3K Views
Shirika la Ujerumani lililotaka kuchunguza ili liiwekee vikwazo Israel kwa Kusababisha Njaa na Mateso kwa Wa gaza limegundua kuwa ni maigizo yanayoandaliwa a Hamas kuhadaa Dunia kampeni ambayo...
5 Reactions
69 Replies
2K Views
Baraza la Katiba la Cameroon limeunga mkono uamuzi wa tume ya uchaguzi ya nchi hiyo wa kumwondoa kiongozi wa upinzani Maurice Kamto katika uchaguzi wa urais wa tarehe 12 Oktoba. Wakati...
3 Reactions
9 Replies
837 Views
Seneta wa Marekani Lindsey Graham ameonya kuwa ikiwa Marekani itasitisha misaada kwa Israel, basi Mungu atailetea taifa hilo adhabu. Akizungumza katika hafla ya kuchangisha fedha ya 58 ya...
5 Reactions
10 Replies
663 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…