International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Nimekuwa nikiwaambia Wafuga Midevu na Majini kila wakati kuwa Majeshi ya Israel ni miamba isiyotikisika huko Mashariki ya Kati mpaka huko kwa wa aje I!! Pichani hapo ni Damascus Syria hebu...
7 Reactions
31 Replies
1K Views
realratedred Vladimir Putin anakutana na Donald Trump huko Alaska leo kwa mazungumzo ya amani yenye umuhimu mkubwa kuhusu vita vya Ukraine, na inaripotiwa kwamba ameambatana na moja ya hatua zake...
6 Reactions
29 Replies
2K Views
Muda mfupi uliopita, Donald Trump alizungumza kwenye Fox News, akitoa maoni yake kwa mara ya kwanza tangu rais wa Marekani na mwenzake wa Ukraine Volodymyr Zelensky kukutana katika Ikulu ya White...
7 Reactions
21 Replies
2K Views
!!Wanaume kuna ujumbe wenu hapa... Ripoti mpya ya Taasisi ya Vinasaba ya Smart DNA iliyo na makao yake nchini Nigeria imefichua kuwa kati ya watoto wanne, mmoja anakuwa sio mtoto halali wa baba...
2 Reactions
20 Replies
1K Views
Aliyekuwa Waziri Mkuu wa Mali, Choguel Kokalla Maiga ameshitakiwa kwa tuhuma za matumizi mabaya ya fedha za umma, kughushi na kutumia nyaraka za uongo. Maiga aliteuliwa kuwa Waziri Mkuu baada ya...
0 Reactions
3 Replies
499 Views
Mwanasiasa mtata wa Afrika Kusini, ambaye siku zote alikua anatetea umoja wa Afrika, abadilisha gia angani na kusema kila mtu kwao. Japo kiukweli huwa siwaelewi mnaokwenda kwenye nchi za watu na...
4 Reactions
9 Replies
898 Views
Anaejua kinachowakwamisha ATCL/Air Tanzania kuwa na routes za ulaya ni nini? Mchi zote za EAC zinapeka ndege zao Ulaya kasoro ATCL tatizo ni nini? ============= Shirika la ndege taifa la Rwanda...
5 Reactions
40 Replies
1K Views
Magaidi wa uislamu wameingia kwenye vijiji na kuendesha shughuli za kuchinja tu, yaani maskini wanavijiji ambao hata msosi kwa siku ni shida, wanakutwa na kutiwa mapanga na watu wa dini ya...
0 Reactions
6 Replies
866 Views
Waziri wa zamani wa Biashara wa Marekani Gina Raimondo hivi karibuni amekiri wazi kwamba “kujaribu kuzuia maendeleo ya China ni jambo lisilowezekana”. Matamshi hayo ni tofauti kabisa na msimamo...
1 Reactions
1 Replies
500 Views
Waziri mkuu wa Serikali ya magaidi ya Israel amekimbia Taifa lake baada ya Iran kutangaza vita rasmi na kupandisha bendera nyekundu. Gaidi huyo amekimbia huku akindikizwa na fighter mbili za...
9 Reactions
89 Replies
4K Views
Leo nimekaa na kutafakari ingekuaje kama NATO na EU wasingekuq nyuma ya Ukraine katika vita vyake na Russia. Ingekua sasa Putin ameshajenga ikulu pale Kyiv na sasa anakunywa mvinyo wake pendwa...
6 Reactions
28 Replies
1K Views
Mpwa wa gaidi wa Kipalestina azungumza na kumaliza mabishano ya Wapalestina.
1 Reactions
7 Replies
705 Views
Taarifa za karibuni kabisa zinaeleza kuwa makundi ya wapiganaji huko Gaza wakiongozwa na Hamas wamesema wamekubaliana na mpango wa kumaliza vita vya miaka miwili kati yao na Israel. Hatua hiyo...
2 Reactions
2 Replies
579 Views
Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu amewaambia waandamanaji wanaoandamana kuishinikiza za Serikali yake kukubali kuidhinisha mkataba mbovu wa kusimamisha mapigano huko Gaza na magaidi wa...
3 Reactions
4 Replies
379 Views
Moja ya tukio lililogonga vichwa vya habari katika mkutano wa Rais Donald Trump wa Marekani na Rais Volodymyr Zelenskyy wa Ukraine jijini Washington DC jana Jumatatu ni barua za wake wa marais...
0 Reactions
2 Replies
436 Views
Waziri wa Usalama wa Taifa wa Israel Itamar Ben Gvir atoa wito wa kuangamizwa kwa Rais wa Syria, Ahmad al-Sharaa, akimwita mpiganaji wa jihadi: "Yeyote anayeua, kukata masharubu, kudhalilisha...
2 Reactions
6 Replies
582 Views
https://www.youtube.com/live/rd4iTiIAyWE?si=Ln7ESumnzg-nX6oS Je, Israel iko tayari kuishambulia Iran tena kabla ya mwaka kuisha? Majenerali wakuu wa Iran wamekiri wazi kuwa wanajiandaa kwa vita...
2 Reactions
24 Replies
1K Views
Shirika la Kudhibiti Magonjwa Afrika (Africa CDC) limepongeza kuidhinishwa kwa dawa ya kwanza ya malaria iliyoundwa mahsusi kwa ajili ya watoto wachanga na wenye uzito chini ya kilo tano. Dawa...
0 Reactions
2 Replies
608 Views
Waziri wa Mambo ya Nje Gideon Sa’ar ataondoka leo (Jumanne) kwa ziara ya kidiplomasia barani Afrika, ambapo atazindua Ubalozi wa Israel nchini Zambia. Akiwa nchini Zambia, Waziri Sa’ar atakutana...
1 Reactions
0 Replies
231 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…