International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Mkutano wa 30 kuhusu mabadiliko ya tabia nchi (COP30) unatarajiwa kufanyika mwezi Novemba mjini Belém nchi Brazil, ambao unatajwa kuwa mkutano wa kilele wa kihistoria utakaoweka ajenda kuhusu...
0 Reactions
0 Replies
278 Views
Lavenda Chepkirui, mwanafunzi mwenye umri wa miaka 25 kutoka Chuo Kikuu cha Kabianga nchini Kenya, alipiga hatua kubwa ya kutimiza maono yake ya kubadilisha kilimo barani Afrika kwa kutumia suluhu...
0 Reactions
0 Replies
284 Views
China ni nchi kubwa inayoendelea, na pia ni nchi ambayo imekuwa mstari wa mbele kuzisaidia nchi nyingine zinazoendelea, hususan za barani Afrika, kujipatia maendeleo na kuinua uchumi wao. Katika...
0 Reactions
0 Replies
245 Views
IDF inasonga mbele hadi katika Jiji la Gaza kwa kubomoa vizuizi vya makazi katika mtaa wa Al-Zaytoun ambapo Magaidi wanashambulia wanajeshi wa Israel!!
4 Reactions
71 Replies
2K Views
NY appeals court throws out $500M penalty against Trump in Letitia James civil case NY appeals court throws out $500M penalty against Trump in Letitia James civil case Hahahaa! Watu ambao tuko...
2 Reactions
6 Replies
405 Views
Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu: "Nimeagiza kuanza mazungumzo ya haraka ya kuachiliwa kwa mateka wetu wote na kumaliza vita chini ya masharti yanayokubalika kwa Israeli. Tuko katika hatua ya...
0 Reactions
10 Replies
568 Views
Wanaukumbi. KILA BOSS ANA BOSS WAKE Viongozi wa Ulaya wakiwa wamepangwa kwenye korido ya Whitehouse Marekani wakisubili kikao na Trump. Hi fedhea aisee Je wangekuwa wa Afrika watu wamgeponda sana...
9 Reactions
42 Replies
3K Views
Wakati Netanyahu akidhamiria kuiteka Gaza yote,vita vinaelekea kuchukua mwelekeo wa ajabu na kwisha kwa namna moja au nyengine . Jumla ya idadi hiyo ya askari wamekimbia vita na mshike mshike...
7 Reactions
39 Replies
1K Views
Baharia wa Jeshi la Wanamaji la Marekani huko California amehukumiwa kwa kosa la ujasusi kwa kuuza siri za kikosi hicho kwa afisa wa China ambaye alimsajili kupitia mtandao ya kijamii. Jinchao...
0 Reactions
1 Replies
587 Views
✈️🇮🇱 Siku ya kihistoria nchini Israel, safari ya 65 ya ndege ya kukodi ya aliyah ya Nefesh B’Nefesh ilitua leo asubuhi kwenye Uwanja wa Ndege wa Ben Gurion, na kuleta olim wapya 225 kutoka Amerika...
1 Reactions
5 Replies
658 Views
Traore alimpindua nani na huyo aliyepinduliwa yuko wapi? Siasa za Africa majitaka! Tumelaaniwa na nani sijui?
0 Reactions
4 Replies
673 Views
Anasema mpango ulisukwa na Iran ili shambulio la oktoba 7 lifanyike namna hii hamas waling'atuka mapem mnoo kupelekea kuharibu mpango.
0 Reactions
1 Replies
395 Views
Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelensky ameishutumu Urusi kwa kutoshiriki kwa dhati kwenye mazungumzo ya amani na kwa kutaka kuendeleza uvamizi wake wa miaka mitatu, licha ya msukumo wa Marekani wa...
2 Reactions
5 Replies
625 Views
Ikulu ya Urusi imepuuzilia mbali mazungumzo ya kufanyika kwa mkutano kati ya Rais wa Urusi, Vladimir Putin, na Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelensky, licha ya wito uliotolewa na Rais wa Marekani...
3 Reactions
19 Replies
2K Views
Waisraeli wanashuku Qatar kuwa nyuma ya kampeni ya uenezi ya 'njaa' ya Hamas Maafisa nchini Israel wanaamini kuwa Qatar inaongoza kampeni ya propaganda ya Hamas kuhusu "njaa huko Gaza," ambayo...
3 Reactions
157 Replies
4K Views
Israeli Minister Admits: Deliberately Withheld Gaza Food/Aid 2 1/2 Months! August 19, 2025 Hits: 14438 Israel Finance Minister Bezalel Smotrich has admitted on TV the Israeli government...
0 Reactions
2 Replies
830 Views
Kazakhstan yenye raia wengi waislamu(70%) kupitia bunge la nchi hiyo imepiga marufuku vazi la niqab katika umma kwa wanawake wa taifa hilo. Mwaka 2023 Kazakhstan ilipiga marufuku uvaaji wa hijabu...
13 Reactions
91 Replies
3K Views
Moja ya tetesi katika ULIMWENGU wa habari njama ( Conspiracy Theories) ni KUWA aliyekutana na Donald Trump sio Putin ni mmoja kati ya watu ambao walitengenezwa kufanana na Putin. Ushahidi...
6 Reactions
82 Replies
4K Views
Waziri wa Ulinzi wa Israel, Israel Katz, ameuidhinisha mpango wa kijeshi wa kuuteka mji wa Gaza na pia ameidhinisha hatua ya kuwashirikisha askari wa akiba katika zoezi hilo Wizara ya Ulinzi ya...
0 Reactions
0 Replies
225 Views
Mnamo tarehe 15 Agosti 2025, Rais wa Kenya William Ruto alimteua Bi. Judy Kiaria Nkumiri kuwa Balozi Mdogo (Consul General) wa Kenya katika jiji la Goma, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC)...
1 Reactions
15 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…