International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Kyiv imeshambuliwa usiku kucha na shambulio la anga la pili kwa ukubwa lililofanywa na Urusi tangu uvamizi wake kamili wa Ukraine, ambapo watu wasiopungua 23 wameuawa, wakiwemo watoto wanne, kwa...
6 Reactions
27 Replies
2K Views
Mpaka sasa hivi namba za Wapelestina waliouawa zinakaribia 40,000 na bado wanauawa kila siku, ilhali wanaosababisha yote hayo bado wameshupaza shingo, wameshikilia mateka watoto wa Wayahudi huku...
5 Reactions
141 Replies
5K Views
Kama hakuna adui kutokea ndani hakuna kitakacho kutokea. Check your inner circle. Malizia na Bongo ? Yes, malizia na Bongo!! 1.Amebakia Nani ? 2.Vipi nchini kwako hayajatokea haya ?
2 Reactions
11 Replies
661 Views
Nchi Zinazojulikana kwa Uzuri na mpangilio mzuri wa Muundo na Mazingira 1. Italy Inajulikana kwa mafanikio ya kipekee ya usanifu kama miundo ya Kirumi, Renaissance, Baroque, na Neoclassical...
2 Reactions
11 Replies
974 Views
Nchi nyingi za Mashariki ya kati na Asia ya kati zina sheria kali sana linapo kuja suala la kukabiliana madawa ya kulevya,hizi ndo nchi ambazo ukikamatwa na madawa ya kulevya kukiepuka kitanzi...
30 Reactions
121 Replies
7K Views
Jana Alhamisi, tarehe 28 Agosti 2025, katika Kituo cha Jeshi la Anga cha Radom kilichopo Warsaw, Poland, ndege ya kivita ya kimarekani aina ya F-16 ya Jeshi la Anga la Poland, ilipata ajali mbaya...
0 Reactions
2 Replies
692 Views
Wanaukumbi. Kufuatia uamuzi wa Uturuki wa kukata kabisa uhusiano wa kiuchumi na kufunga anga yake na Israel, waziri wa siasa kali za mrengo wa kulia wa Israel Itamar Ben-Gvir alichapisha kwenye X...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Hamas Yatishia Kuwachinja Mateka Waisraeli kwenye Kamera Katika taarifa yake ya kusikitisha leo, msemaji wa Hamas Abu Ubaida alitangaza kwamba Hamas iko "tayari ya hali ya juu" kwa uwezekano wa...
3 Reactions
36 Replies
2K Views
IDF iliondoa kundi la kigaidi la juu zaidi la ISIS katika Ukanda wa Gaza. Katika wiki iliyopita, IDF, ikitumia ndege chini ya Kamandi ya Kusini na ikiongozwa na Ujasusi wa Kijeshi, ilimpiga na...
1 Reactions
8 Replies
594 Views
Imeripotiwa na vyombo vya habari vya Yemen kuwa waziri mkuu wa Yemen anaye sapotiwa na Houthi ndugu Ahmed al-Rahawi ameuawa jana katika mashambulio ya jeshi la anga la Israeli hapo Yemen...
7 Reactions
34 Replies
2K Views
BREAKING: Viongozi wa Palestina WAPIGWA MARUFUKU kuingia Marekani. Katibu wa Jimbo Rubio anazuia visa vyao kwa sababu ya uhusiano wao wa kigaidi na "kulipa-Fadhila kwa Magaidi" pesa za damu...
2 Reactions
5 Replies
606 Views
Ndugu Wana jamii nawasalimu wote kwa pamoja....!! Hivi Wana jamii huyu Marekani anawatafuta nini wa Venezuela? Anajua anachokoza moto usiozimika kirahusi au ndo kujitoa ufahamu tu? Kwanza...
2 Reactions
7 Replies
872 Views
Jeshi la Israel limeanza oparesheni kubwa za kijeshi pembezoni mwa jiji la Gaza hatua inayoashiria maandalizi ya kuutwaa kikamilifu mji huo, huku ikiapa kuongeza mashambulizi kwa lengo la...
1 Reactions
3 Replies
680 Views
Kama maelezo yanavyojieleza na ushahidi wa video... Rais Trump alitoa takwimu sio sahihi na akakosolewa mbele ya waandishi wa habari kua data alizotoa sio sahihi KUNA UKWELI USIOPINGIKA TENA WA...
0 Reactions
1 Replies
464 Views
Niaje waungwana Kwa mtu asiekuwa na akili kamili au uwezo wa kufikiri vizuri, anaweza akahisi, au akajua kuwa Netanyahu anaipigania Israel, au waisrael. Lakini kwa yule mwenye akili kamili na...
4 Reactions
18 Replies
1K Views
Kampuni ya Google imewataka watumaji wa huduma ya baruapepe ya mtandao ya Gmail kuwa makini kwani kuna kundi la wadukuzi wanaozilenga akaunti hizo baada ya kufanikiwa kuiba taarifa. Google...
2 Reactions
4 Replies
458 Views
Chanzo cha picha, EPA Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo imesema kuwa itasusia mkutano wa amani uliopangwa kufanyika mnamo mwezi Septemba nchini Afrika Kusini. Mkutano huo, ulioandaliwa na...
0 Reactions
0 Replies
237 Views
Kiongozi wa waislamia duniani ajulikanaye kama HH The Aga Khan amefariki dunia akiwa na Umri wa miaka 88. Kwa Tanzania, Aga Khan atakumbukwa sana kwa kujenga miundo mbinu mizuri sana ya kutoa...
19 Reactions
104 Replies
7K Views
Hawa watu ni waovu na wenye laana ya kudumu. Matendo yao ya uovu daima huwa yanavuka mpaka wa uovu unaofanywa na binadamu wengine.Na siku zote ni wadanganyifu sana. Wakishakudanganya wakapata...
4 Reactions
41 Replies
2K Views
My Take Hii Ndio Nchi Huwa tunaambiwa na Wapinzani kwamba imeendelea sana ,Ina Demokrasia na sijui Haina rushwa na blaa blaa zingine za kipumbavu za kusema wanatumia Rasilimali vizuri. Mpaka hapo...
1 Reactions
21 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…