Mahakama ya Rufaa nchini Afrika Kusini imekubaliana na uamuzi wa Mahakama Kuu kuwa Rais Zuma ashtakiwe kwa makosa ya rushwa aliyokuwa amefunguliwa kabla hajawa rais.
Makosa hayo yalihusisha dili...
Maafisa wa Afghanistani wamesema ndege ya Marekani imeauwa waiganaji 14 wa Dola ya Kiislam
Shambulio hilo lilitokea jimbo la Kunar siku ya Alhamis mchana
Abdul Ghani Musamin, msemaji wa Gavana wa...
New York Post Tue, Oct 10 9:48 PM GMT+3
A jaw-dropping fitness model who serves in the US Air Force has amassed legions of fans for her stunning pics — both in and out of uniform.
Alysia...
Mamlaka za jijila Paris zimepanga kuondoa magari yote yanayotumia petrol na diseli hadi kufikia mwaka 2030
Hii ni hatua ya kuongeza spidi ya nchi hiyo kutumia vyombo vya mafuta na kuhamia kwenye...
Wanafunzi watano na mlinzi mmoja wa usiku wamepigwa risasi na kuuawa mapema Jumamosi asubuhi katika shule ya mseto ya Lokichogio huku Kaunti ya Turkana, Kenya.
Mkuu wa Polisi wa Kaunti hiyo...
Kama ODINGA amejitoaa katika kinyanganyiro cha uraisi hivi NASA hawana mgombea mwingine ambaye atayegombea na kupambana na kenyataa.
Kama ODINGA siasa zimemshinda si akae pembeni awaachie wenzie...
Watu watano wameuawa nchini malawi kwa kutuhumiwa kuwanyonya watu damu na kunywa damu hiyo kutokana na imani za kishirikina,Taarifa zilizopo watu hao walianzia nchi jirani na serikali mpaka sasa...
The major television networks have all decided not to run Donald Trump’s so-called “fake news” ad, according to a statement released by his daughter-in-law Lara Trump.
Lara, an adviser on Trump’s...
NEW DELHI, INDIA: Mahakama Kuu imesema kuwa Mwanaume atahesabisha kuwa amefanya kosa la ubakaji kama atashiriki kufanya mapenzi na Mke wake mwenye umri wa miaka 15 hadi 18. Uamuzi huu unatarajiwa...
Rais Donald Trump wa Marekani ameviamuru vyombo husika vya nchi hiyo kukinyang'anya leseni kituo maarufu cha televisheni cha NBC, baada ya kutangaza habari za uongo"fake news" kwamba rais Donald...
A Tanzanian woman gives more of her story ....and again warns people that taking drugs to Hong Kong is a suicide mission. Her letter is here (Sep 30):
V2Catholic.Com
Her previous letters are at...
Huko USA gumzo ni kuhusu IQ ya mzee mzima D.J.Trump, Trump juzi alihamisi alifanyiwa interview na jarida la forbes moja ya kitu kilichokua gumzo kwenye iyo interview yake ni kuhusiana IQ yake...
Shahidi huyo amesema kuwa alipewa majukumu ya kuhifadhi makombora mawili ya kudungua ndege, ambayo alisema kuwa yalitumiwakwa kudungua ndege ya rais Juvenal Habyarimana, kwa agizo la kiongozi...
Joohee Cho,Good Morning America 12 hours ago
US-South Korean war plans reportedly stolen by North Korean hackers
Along North Korea's border with China, an uneasy alliance and a fear of war...
Mahakama nchini Afrika Kusini imetupilia mbali rufaa iliyokuwa imewasilishwa na Rais Jacob Zuma kupinga kufufuliwa kwa mashtaka ya ulaji rushwa dhidi yake. Bw Zuma na maafisa wengine wakuu...
Marekani yatangaza kuwa inajiondoa kuwa mwanachama wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu na Utamaduni (UNESCO). Hatua hii imejiri wakati shirika hilo likijipanga kumchagua mkurugenzi mpya wiki...
Reach 120,000 Businesses in Tanzania.
Target companies by :-
1. Company name and address.
2. Contact person and title.
3. Location.
4. Phone, fax and mobile numbers.
5. Email and web address...
Gazeti la New York Times limeripoti kuwa China, imewauwa au kuwafunga jela majasusi kati ya 18 au 20 hivi wa CIA, katika kipindi cha miaka miwili iliyopita na kulemaza kabisa shughuli za Marekani...
Hukumu iliyotolewa Afrika kusini leo na mahakama nchini humo ina tupa funzo kuwa hakuna uovu dhidi ya Binadamu utakao tendeka na ukabaki siri na haki isipatikane hata kama umepita muda kiasi gani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.