Hivi nasa hawana mgombea mwingine zaidi ya Odinga

Kifaru86

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2017
Posts
1,733
Reaction score
3,833
Kama ODINGA amejitoaa katika kinyanganyiro cha uraisi hivi NASA hawana mgombea mwingine ambaye atayegombea na kupambana na kenyataa.

Kama ODINGA siasa zimemshinda si akae pembeni awaachie wenzie AMBAO wanaweza kupambana na kenyattaaa.
 
Odinga ni sawa sawa na Maalim Seif au Lipumba au Mbowe au CCM(Inapokuja suala la kukubali kushindwa) hakuna anayekubali kuachia wadhifa wake kwa mtu mwingine

Upendo ni tiba.
 
Maalim seif Nina wasiwasi atashiriki UCHAGUZI ujao mwaka 2020
 
Hawa wazee wanaong'ang'ania kama ruba kwenye nafasi za kisiasa kutoka both sides CCM na UPINZANI wanatuzingua tu. Wafanye mpango wa kutafuta shughuli nyingine ya kufanya, waachie kizazi kipya wafanye yao.

Maalim seif ameshagombea karibia Mara TANO halafu 2015 kasusiaa UCHAGUZI sasa nawaza 2020 huyu mzee akichukua form na kugombea tena uraisi WAKATI alishasusaaa.

Hivyo hivyo lipumba alijiuzulu Leo tena karudi halafu atagombea tena
Au atajiuzulu tena
 
m
Odinga ni sawa sawa na Maalim Seif au Lipumba au Mbowe au CCM(Inapokuja suala la kukubali kushindwa) hakuna anayekubali kuachia wadhifa wake kwa mtu mwingine

Upendo ni tiba.
mbona hujamtaja yule mwingine aliyenunua chama Baada ya chama chake kilichomlea kumtema?
 
Back
Top Bottom