Waziri Mkuu wa Ufaransa bwana Francois Bayrou baada ya kupigiwa kura 364 za hapana dhidi ya kura 194.
Bunge la Ufaransa kwa azimio moja limefanikiwa kumuondoa Waziri Mkuu huyo ambaye alikuwa...
Rwanda imeandika historia kuwa taifa la kwanza barani Afrika kuzindua rasmi Teksi ndege za Kielektroniki zisizo na rubani, EHang EH216-S, ambazo zitatumika kwa huduma ya usafiri wa abiria mijini...
Nchi ya marekani kila siku imekuwa ikihituhumu China kuhusu changamoto ya fentanly na matumizi yake ndani ya nchi ya marekani.
Marekani mara kadhaa inasema China ina zalisha kwa wingi na...
Idhaa rasmi za Hamas zinasambaza video inayoonyesha mtu wa Gaza aliyejitoa muhanga akiwa amevikwa sanda ya mazishi akiwahutubia wakazi wa Shati na vitongoji vya Sheikh Radwan:
“Mbona mnaogopa...
Misri imejiunga na nchi za Uturuki na UAE kuitolea maneno makali Israel ambavyo si kawaida yao.
Waziri wa mambo ya nje wa Misri amesema hakuna kuhamishwa tena kwa wakazi wa Gaza kupelekwa popote...
Kutokana na figisu za Trump na Netanyahu, UN imesema isiwe taabu.
Tunaondoka,tunahamia Geneva
Chanzo ni kumkatalia member wa UN Mahmud Abbas wa Palestina kuingia Marekani kwenye kikao cha General...
Jumanne Septemba 9, 2025 inatazamiwa kuashiria wakati wa mabadiliko katika historia ya Ethiopia. Ni tarehe ambayo ndoto ya Ethiopia iliyothaminiwa kwa muda mrefu inatimia wakati Bwawa la Grand...
Wanakumbi.
⚡️BREAKING: Vikosi vya Al-Qassam:
"Tulifikiri tulikuwa wafungwa wa Hamas; lakini ukweli ni kwamba, sisi ni wafungwa wa serikali yetu ya Netanyahu, Ben Gvir, na Smotrich."
Upinzani...
Ni Vladimir Putin ama huenda ni Putin na XI kwa mikakati Yao ya pamoja wameweza kumuingiza Kim Jon UN katika mfumo wa Dunia.
Nikisema Kim Jon UN namaanisha Korea kasakazini kama nchi tayari...
Hawa Wachina waatia aibu sana.
Badala ya kumualika USA na Kumpa pongezi nyie mnafanya gwaride na kualika loosers wenzenu eti mnasherehekea kuishinda Japan wakati ukweli ni kwamba USA ndio...
Wanajamvi please mchambueni huyu mwana mama .
1.Role yake ya mwanamke katkika jamii unamuonaje positive or nagative.
2.Uaminifu wake unaonaje ungependa upate mwanamke kama yeye ?
3.Hivi ni kweli...
Ndege ya Air India AI171, aina ya Boeing 787-8 Dreamliner, iliyokuwa safarini kutoka Ahmedabad, India kuelekea London Gatwick, Uingereza, imepata ajali mbaya ikiwa na watu 242 imeanguka muda...
Mnyama mmoja katili ambaye alijivunia kuwaua raia 10 wa Kiyahudi mnamo Oct 07,2023 naye ameangamizwa.
Wananchi wa Gaza wanaripoti kwamba katika shambulio la IDF Alhamisi dhidi ya "kundi la watu"...
Kuelekea mwaka wa pili wa wao kupigana na Israel sasa Hamas wametoa wito kwa jumuiya za kimataifa kuingilia kati kuwaokoa kutokana na maangamizi yanayofanywa na Israel iliyoungana na Marekani...
Majengo marefu huko Gaza leo hii yameangamizwa baada ya uchunguzi kuonyesha yana kamera Zinaowasaidia magaid wa hamas kuyashambulia majeshi ya Israel.
Baada ya janja ya magaidi wa hamas...
Wapalestina kadhaa waliohojiwa na gazeti la Jerusalem post,wamesema wamechoka na mateso na wamekata tamaa na hawana imani na yeyote.
Baadhi yao walipohojiwa wamesema wameshahama mara nyingi kote...
Israel says it has successfully launched a new spy satellite into space, a move that will significantly enhance its surveillance capabilities in the Middle East. According to Israeli officials...
Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani, Papa Francis, amefariki dunia leo April 21,2025 kwenye Jumatatu ya Pasaka akiwa na umri wa miaka 88 ambapo Vatican imethibitisha na kusema Papa amefariki...
Urusi ilijitanua pole pole kuelekea mashariki kufuata biashara ya manyoya ya wanyama. Ikafika hadi bahari ya pacific, ikavuka hadi kufika Alaska. Katika kujitanua huko ikafika bonde la mto Amur...