Kuonekana kusiko kawaida kwa mamba mweupe mwenye umri mkubwa kumewasisimua wanaofanya shughuli za utalii katika eneo la Kaskazini mwa Australia.
Mnyama huyo wa jamii ya wanyama watambaao ...
Kwa mawazo yangu naona kwa wanasiasa hawana haja ya kuwa nndani ya CCM. Tumeshudia kuona wanasiasa wa upinzani wakiteuliwa kushika nafasi/vyeo muhimu ambavyo kila mwanasiasa ndani ya CCM na huko...
Aliyekuwa waziri wa fedha nchini Zimbabwe Ignatius Chombo ambaye alikuwa amekamatwa na jeshi baada ya kuchukua mamlaka amewasilishwa mahakamani.
Anakabiliwa na mashtaka ya ufisadi na utumiaji...
MISRI: Takribani watu 155 wameuawa na wengine zaidi ya 100 kujeruhiwa kwenye shambulio la bomu na bunduki lilofanywa na watu wanaoshukiwa kuwa wanamgambo wa Kiislam kwenye msikiti wa al-Rawda...
Balozi wa Angola, Tanzania amtaka Eduardo dos Santos kushtakiwa
Balozi wa Angola nchini Tanzania amemtaka rais wa zamani wa taifa hilo Jose Eduardo dos Santos kushtakiwa kwa madai ya uhalifu...
Mwanajeshi wa Korea Kaskazini mwenye umri wa miaka 24 kwa jina la Oh, amenusurika kifo baada ya kupigwa risasi 4 kati ya 40 zilizolengwa kumuua.
Oh, ambaye kwa sasa yupo hospitali Korea ya Kusini...
Robert Mugabe na mkewe Grace walikosa kuhudhuria sherehe ya kuapishwa kwa rais Emmerson Mnangagwa baada ya wananiasa hao kukubaliana kwamba Mugabe anaweza kupumzika.
Sababu kuu ilioteolewa ni...
Anatuhumiwa kusimamia mauaji ya watu wa kabila la Ndbele ambapo watu zaidi ya 20,000 waliuawa ingawa anakataa kuhusika na mauaji hayo. Alikuwa waziri wa Usalama wa taifa na hivyo alijua nini...
Haya ni baadhi ya maneno kuntu yaliyotumiwa na bwana Mnangagwa kwenye kiapo chake leo:
"Nitailinda na kukuza haki za watu wa Zimbabwe na kwamba, nitatekeleza majukumu yangu kwa nguvu zangu zote...
Rais mtarajiwa wa Zimbabwe Emmerson Mnangagwa anatarajiwa kutawazwa leo Ijumaa, siku tatu baada ya mtangulizi wake Robert Mugabe kuachia ngazi kwa shinikizo la jeshi na chama chake cha Zanu-PF...
Shirika la Kutetea Haki za Binadamu la Human Rights Watch limelaani ongezeko la vitendo vya ukiukaji wa haki za binadamu katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo na kutoa wito wa kuchukuliwa hatua...
Nilikuwa sifahamu Leo wakati nasikiliza radio flani sikujua kumbe
Asilimia 90 ya wazimbabwe Ni wasomi kuanzia level la degree na
Kuendelea.
Zimbabwe ndio nchi pekee africa
Yenye elimu bora na...
Pascal unasemaje Wazimbabwe kushangilia kiasi hicho wakati katika kura za uraisi Mugabe alikuwa anapata 99.999%! Hata uchaguzi wa mwisho chama chake kilimpitisha kwa bashasha kubwa na MAPENZI...
Habari wanajukwaa. Ni hivi, Comrade Mugabe hakuwa tayari kujiuzulu hadi dakika ya mwisho. Wanasiasa walipogundua hivyo, wakaandaa tamko feki kuwa limetoka kwa Mugabe. Ilikuwa ichukue majuma kadhaa...
Mazungumzo mapya kuhusu mgogoro wa kisiasa wa Burundi yanatazamiwa kuanza tena Novemba 27 hadi Desemba 8, kwa mujibu wa timu ya Mwezeshaji katika mgogoro huo, rais wa zamani wa Tanzania, Benjamin...
Queen Elizabeth has been in power so long, 4 out of 5 UK residents weren't alive when she ascended the throne
Queen Elizabeth II has ruled for so long that most people in the United Kingdom have...
Manikpur , Nov 24: At least three commuters were killed and many injured after 13 coaches of the Vasco Da Gama-Patna express derailed on Friday morning near Manikpur in Uttar Pradesh.
The...
Maafisa wa polisi wanasema kuwa mwanamume mmoja katika jimbo la kaskazini mwa India la Haryana amemuua mkewe baada ya kukataa kushiriki naye tendo la ndoa.
Sanjiv Kumar mwenye umri wa miaka 35...
Ufaransa imelitaka Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kukaa kikao cha kujadili biashara ya watu inayofanyika nchini Libya.
Ufaransa imetoa pendekezo hili baada ya kuwepo kwa video inayoonesha...