JK THE MASTER! BIG HAND 2 U!nimemsikia akimtaja Rais wetu mstaafu wa awamu ya nne ...
ukisikiliza clip; mnangagwa anasema akiwa ukimbizini huko SA alikua na mawasiliano na viongozi mbali mbali wa afrika waliokua wakimpa ushauri namna ya kutatua mgogoro wa kimadaraka na Kati ya hao viongozi akamtaja Rais wetu mstaafu.JK lahusikaje? Naomba kujuzwa