Ufaransa yataka Baraza la Usalama la UN kuijadili biashara ya utumwa Libya

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,622
8,397
Libya-and-Human-Traficking.jpg

Ufaransa imelitaka Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kukaa kikao cha kujadili biashara ya watu inayofanyika nchini Libya.

Ufaransa imetoa pendekezo hili baada ya kuwepo kwa video inayoonesha wahamiaji wakiuzwa kama watumwa.

Aidha taifa hilo limependekeza kuwekwa kwa vikwazo dhidi ya Libya kutokana na kuendelea kwa biashara hiyo katika ardhi ya nchi yake.

=======
France demanded on Wednesday an urgent U.N. Security Council session on human trafficking in Libya and raised the possibility of sanctions on the country after a video appearing to show African migrants sold as slaves there sparked global outrage.

Convened by Italy, which struck a deal with Libya to slash the number of migrants reaching its shores, the Council on Tuesday unanimously backed a resolution urging tougher action to crack down on human trafficking and modern slavery worldwide.

Speaking to lawmakers, French Foreign Minister Jean-Yves Le Drian suggested Paris wanted to take things further and called for an urgent session of the Council to specifically discuss the situation in Libya.

“Libyan authorities, who have been alerted several times, including by myself because I was there in September, have decided to open an investigation into the facts,” Le Drian said.

“We want it to go fast and if the Libyan justice system can not carry this procedure through then we should open international sanctions,” Le Drian said.

Footage appearing to show African migrants sold as slaves in Libya has sparked an international outcry with protests erupting across Europe and Africa, while artists to soccer stars to U.N. officials have made pleas for the abuse to end.

The video broadcast by CNN showed what it said was an auction of men offered to Libyan buyers as farmhands and sold for $400, a chilling echo of the trans-Saharan slave trade of centuries past.

“What has been revealed is indeed trafficking of human beings, it’s a crime against humanity,” Macron said during a news conference with African Union President Alpha Conde.

Macron said he wanted the U.N. Security Council to discuss what concrete steps could be taken to tackle the issue.

A French diplomat said the U.N. session would likely be in coming days, probably next week, and would see what concrete measures could be taken to improve the situation.

Despite events in Libya, Conde put the blame firmly on the European Union, accusing it of encouraging the Libyans to keep migrants in the North African country despite there being no government.

“What happened in Libya is shocking, scandalous, but we must establish the responsibilities,” said Conde. “In Libya there is no government, so the European Union can not choose a developing country and ask that country to detain refugees (…) when it doesn’t have the means to do so,” he added.

“The refugees are in terrible conditions … so our European friends were not right to ask Libya to keep the migrants. The European Union is responsible.”

Le Drian said he wanted the International Organization for Migration and the U.N. Refugee Agency to publish details about the trafficking of migrants in the country.

Libya splintered along political, ideological and tribal lines during and after a 2011 NATO-backed uprising that unseated former leader Muammar Gaddafi. In 2014 a battle for the capital led to rival parliaments and governments being set up in Tripoli and the east.

- Citizen Tv
 
Hii biashara bado ipo tu dunian?
Jmn nac tuwe watulivu ktk nchi zetu maana dah hatari sana hii.
 
Hii biashara imeibuka kutokana na wimbo kubwa na wazamiaji waliopo Libya wanaotaka kuingia Ulaya,katika kutembea kwang nimeishi na kijana wa 15 years old aliyefanikiwa kufika Europe, Italy then France ila akikuhadithia aliyoyapitia hapo Libya.

Ufaransa ni moja ya nchi inayopinga sana utumwa na kulinda haki za binadamu, hata prostitution ni illegal in France.

AU wanapaswa kuingilia kati kwa maana hili linafanyika katika ardhi ya Africa tusisubiri wageni waje kututatulia matatizo yetu.
 
Hao wafaransa ni wapumbavu sana wanawafanya watu hawana akili Ufaransa ndiyo kiherehere wa kwanza kuwapa silaha waasi wa Libya hatua za mwanzo tu akaenda kuwamwagia mzigo wa kutosha akaona haitoshi akamshawishi mjomba mtu Usa na Nato yao wakaivuruga nchi nzima leo hii pamegeuka mnada wa binadam halafu anaongea ujinga gani huo
 
Kuna mmoja mama mtu mzima ameokolewa wiki iliyopita Uingereza. Alipelekwa na balozi wa Morocco.

Anasema aliamka saa 11.00 alfajiri kuanza kazi na kulala saa nane usiku, hhakuruhusiwa kutoka nje kwa miaka mitano. Mama huyo ni Mmorocco
 
Hao wafaransa ni wapumbavu sana wanawafanya watu hawana akili Ufaransa ndiyo kiherehere wa kwanza kuwapa silaha waasi wa Libya hatua za mwanzo tu akaenda kuwamwagia mzigo wa kutosha akaona haitoshi akamshawishi mjomba mtu Usa na Nato yao wakaivuruga nchi nzima leo hii pamegeuka mnada wa binadam halafu anaongea ujinga gani huo

Kweli kabisa ndugu na hii ndio moja ya sababu ya Sarkozy kukosa ugombea urais ktk uchaguzi uliopita, na kuna baadhi ya wanaharakati wanahoji kwanini asipelekwe the Hague kwa uhalifu wa kivita kama wanavyopelekwa ex presidents wa developing countries hasa hasa Africans.
 
Huyu huyu Mfaransa ndiye alishikilia dede na mwenzake Mtaliano kusambaratisha Libya iliyokuwa imetulia, leo hii tena anataka haki za binadamu zifatwe ilhali alishatia doa toka mwanzo.
Pumbafu sana wazungu.
 
Kabla ya hili la Libya kumekuwa na tatizo kama hili kwa nchi ya Mauritania ambayo ina mchanganyiko mkubwa wa "black africans" na "Arabs" ambapo pia nilisikia Arab League ikilijadili na limekuwa na mjadala mkubwa sana hata UN. So utumwa bado upo Afrika na wakuumaliza ni sisi Waafrika kwa kujenga misingi bora ya kiuchumi, kisiasa na kimahusiano katika jamii kwa kujali kesho ya vizazi vyetu bila ubinafsi.
 
Hii biashara imeibuka kutokana na wimbo kubwa na wazamiaji waliopo Libya wanaotaka kuingia Ulaya,katika kutembea kwang nimeishi na kijana wa 15 years old aliyefanikiwa kufika Europe, Italy then France ila akikuhadithia aliyoyapitia hapo Libya.

Ufaransa ni moja ya nchi inayopinga sana utumwa na kulinda haki za binadamu, hata prostitution ni illegal in France.

AU wanapaswa kuingilia kati kwa maana hili linafanyika katika ardhi ya Africa tusisubiri wageni waje kututatulia matatizo yetu.
we acha uongo prostitution ni illegal ufaransa weee acha mambo yako!!!
 
Hii biashara imeibuka kutokana na wimbo kubwa na wazamiaji waliopo Libya wanaotaka kuingia Ulaya,katika kutembea kwang nimeishi na kijana wa 15 years old aliyefanikiwa kufika Europe, Italy then France ila akikuhadithia aliyoyapitia hapo Libya.

Ufaransa ni moja ya nchi inayopinga sana utumwa na kulinda haki za binadamu, hata prostitution ni illegal in France.

AU wanapaswa kuingilia kati kwa maana hili linafanyika katika ardhi ya Africa tusisubiri wageni waje kututatulia matatizo yetu.
Prostitution in France made legal under new laws, but paying for it ruled illegal
The World Today
By Penny Timms

Posted 7 Apr 2016, 5:43amThu 7 Apr 2016, 5:43am
Prostitution in France made legal under new laws
 
Hii biashara imeibuka kutokana na wimbo kubwa na wazamiaji waliopo Libya wanaotaka kuingia Ulaya,katika kutembea kwang nimeishi na kijana wa 15 years old aliyefanikiwa kufika Europe, Italy then France ila akikuhadithia aliyoyapitia hapo Libya.

Ufaransa ni moja ya nchi inayopinga sana utumwa na kulinda haki za binadamu, hata prostitution ni illegal in France.

AU wanapaswa kuingilia kati kwa maana hili linafanyika katika ardhi ya Africa tusisubiri wageni waje kututatulia matatizo yetu.
Naona wameshakupata zoba wa kwanza,pole maana hakuna namna ya kukusaidia zaidi ya pole
 
Wanataka kutuaminisha kiinimacho, wacha twende kwenye mzizi wa tatizo sio tawi....ilikuwa imetulia na kuwa na maisha ya juu kuliko hata hio ufaransa, sasa leo wanasema bla bla ili tuwaone wana uchungu kumbe vile hawataki wahamiaji (ndio sababu kubwa hii ) .
 
Back
Top Bottom