International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Mke wa Rais wa zamani wa Ivory Coast Simone Gbagbo (76), ameonekana katika orodha ya Wagombea watano walioidhinishwa rasmi kugombea katika Uchaguzi wa Rais mwezi ujao. Atakabiliana na Rais...
1 Reactions
8 Replies
815 Views
Waandamanaji kuvamia na kuchoma jengo la bunge jijini Kathmandu. Vijana wengi wamejitokeza mitaani wakisukumwa na hasira dhidi ya ufisadi na kile wanachokiita “nepo kids” watoto wa wakubwa...
2 Reactions
24 Replies
1K Views
Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron amemteua waziri wa ulinzi, Sébastien Lecornu, kuwa Waziri Mkuu mpya, akimkabidhi jukumu gumu la kutafuta muafaka katika bunge lililogawanyika na kusimamia...
2 Reactions
0 Replies
311 Views
Rekodi ya Shirika la Afya duniani (WHO) inaeleza kuwa, kila mwaka watu wapatao 727,000 hupoteza maisha kwa kujiua, na idadi kubwa zaidi hujaribu kujiua lakini hunusurika. Kila tukio la kujiua ni...
0 Reactions
0 Replies
228 Views
Mauaji ya kimbari ya Manazi yananikumbusha haya ya sasa ya Waisraeli wakiongozwa na Hitler wao Benjamin Netanyahu. Je kweli kuna tofauti kati ya Adolf na Benjamin Hitler Netanyahu?
5 Reactions
62 Replies
2K Views
Tuliwambia Israel hawezi kupigana na Wahouth wa Yemen, ikiwa Baba yake USA alikimbia watu wakabisha. Leo wizara ya katiba na sheria imesambaratishwa kule Jerusalem sijui yule msafisha vyoo vya...
6 Reactions
19 Replies
945 Views
Hamas imesisitiza utayari wake wa kuingia katika makubaliano ya kina ya kuwaachilia mateka wote wa Israel walioko kizuizini. Kwa upande wake, kundi hilo la kigaidi linadai kusitishwa kwa vita huko...
2 Reactions
9 Replies
733 Views
Wanaendelea Kubweka. ISRAEL HACHEKI NA WOWOTE. ANAKUPIGIA POPOTE ANAPOTAKA. WAULIZENI IRAN WANAELEWA HILI JAMBO. Wizara ya mambo ya nje ya Yemen imesema kuwa shambulio la Israel “linadhoofisha...
3 Reactions
3 Replies
276 Views
Waziri Mkuu wa Nepal, K.P. Sharma Oli, amejiuzulu kufuatia maandamano dhidi ya ufisadi ambayo yalisababisha vifo vya watu 19. Waandamanaji waliamua kutoka mitaani wakivunja amri ya kutotoka nje...
2 Reactions
5 Replies
517 Views
Juzi na jana palikua na habari za houthi kurusha makombora na drones israel,houthi wakidai airport ya Lod,mji wa haifa vilipigwa Habari tulizoona ni israel kutungua hayo makombora na drones...
5 Reactions
19 Replies
1K Views
Mwaka 1945, watu wa China, baada ya miaka 14 ya mapambano magumu, waliwashinda kabisa wavamizi wa kijeshi wa Japan, na kuweka alama muhimu katika ushindi kamili wa Vita Kuu ya Pili Duniani dhidi...
1 Reactions
1 Replies
276 Views
Korea Kusini inamtuma waziri wake wa mambo ya nje kwenda Marekani katika juhudi za kuzuia hali ya kutoridhika inayozidi kuongezeka kufuatia msako wa uhamiaji kwenye kiwanda huko Georgia...
1 Reactions
9 Replies
888 Views
Trump anaenda kuibadili Pentagon na itaitwa Idara ya Vita Hivi kwa hapa Tanzania Pentagon ni sawa na Taasisi gani? Nimeogopa sana 🐼 ----------------- Rais wa Marekani, Donald Trump...
3 Reactions
13 Replies
1K Views
Waziri Mkuu wa Japan, Shigeru Ishiba, ameamuwa kujiuzulu baada ya chama chake cha Liberal Democratic Party, (LDP) kupoteza wingi wa viti kufuatia uchaguzi wa baraza la juu. Vyombo vya habari vya...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Moto mkubwa umezuka katika jengo la makazi lenye ghorofa 67 lililopo Dubai Marina, na kuwalazimu wakazi takriban 4,000 kuhama kwa dharura. Moto huo umeweza kudhibitiwa baada ya saa sita za juhudi...
3 Reactions
6 Replies
750 Views
Rais wa Indonesia, Prabowo Subianto, amefanya mabadiliko makubwa ya Baraza la Mawaziri Jumatatu Septemba 8, 2025 kufuatia maandamano yenye vurugu yaliyozuka nchini kote kupinga marupurupu ya...
1 Reactions
0 Replies
197 Views
Waziri Mkuu wa Ufaransa bwana Francois Bayrou baada ya kupigiwa kura 364 za hapana dhidi ya kura 194. Bunge la Ufaransa kwa azimio moja limefanikiwa kumuondoa Waziri Mkuu huyo ambaye alikuwa...
1 Reactions
8 Replies
431 Views
Rwanda imeandika historia kuwa taifa la kwanza barani Afrika kuzindua rasmi Teksi ndege za Kielektroniki zisizo na rubani, EHang EH216-S, ambazo zitatumika kwa huduma ya usafiri wa abiria mijini...
7 Reactions
40 Replies
3K Views
Nchi ya marekani kila siku imekuwa ikihituhumu China kuhusu changamoto ya fentanly na matumizi yake ndani ya nchi ya marekani. Marekani mara kadhaa inasema China ina zalisha kwa wingi na...
4 Reactions
22 Replies
1K Views
Idhaa rasmi za Hamas zinasambaza video inayoonyesha mtu wa Gaza aliyejitoa muhanga akiwa amevikwa sanda ya mazishi akiwahutubia wakazi wa Shati na vitongoji vya Sheikh Radwan: “Mbona mnaogopa...
2 Reactions
11 Replies
666 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…