International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Takriban watu 18 wameripotiwa kufariki na wengine kujeruhiwa baada ya Lori la Serikali lililokuwa likisafilisha mizigo na wenyeji wa Kapedo kupoteza mwelekeo na kubiringia Kamanda wa Polisi...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Hivi jamani north Korea hawapo kwenye list ya umoja wa mataifa na wana vikwazo sasa hilo taifa fedha zao wanatengeneza wenyewe au inakuwaje hapo wakuu?
0 Reactions
4 Replies
988 Views
For most Americans, parochial school education outshines public schools Washington D.C., Aug 24, 2017 / 10:08 pm (CNA/EWTN News).- Parochial schools are better at their task than public schools...
1 Reactions
23 Replies
4K Views
Mtaalam wa kijeshi wa Kirusi amesema kwamba NK iko karibu kukamilisha utengenezaji wa satelaiti mbili ambazo zitazinduliwa hivi karibuni. Gazeti la Kirusi Rossiyskaia lilisema siku ya Ijumaa kuwa...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Waziri wa mambo ya nje wa Lebanon ameyaomba mataifa ya Kiarabu kuiwekea vikwazo vya kiuchumi Marekani kama njia ya kulipiza kisasi kwa kitendo cha Rais wa nchi hiyo Donald Trump kuitambua...
4 Reactions
62 Replies
5K Views
Kim Jong-un, Kiongozi wa Korea Kaskazini ameubeza uamuzi wa Rais Donald Trump wa Marekani wa kuutangaza mji wa Jerusalem kuwa mji mkuu wa Israel na kusema kuwa, hakuna nchi inayojulikana kwa jina...
9 Reactions
167 Replies
17K Views
Wanajamvi kama kichwa kinavyoeleza, Baba Mtakatifu amelaani vikali kauli hiyo na kuiita kuwa ni uhayawani kudhani kuwa America inaweza kuamua kila kitu na kuwanyanyasa Wapalestina. Ikumbukwe kuwa...
4 Reactions
78 Replies
8K Views
Italia na Libya wamepania kupanua ushirikiano wao kwa kuzidisha juhudi za kupambana na wahalifu wanaosafirisha wahamaji kinyume na sheria. Mawaziri wa mambo ya ndani wa nchi hizo mbili, Marco...
1 Reactions
0 Replies
713 Views
Rwandan President Destroys Bad African Leaders.
1 Reactions
1 Replies
3K Views
This is what one of the African blogger Biola Ladejobi relates Dee Lee’s statement targeting African American made in January 2002 to address why one should not blame Libya for the negative...
4 Reactions
31 Replies
6K Views
Marekani imeionya Palestina dhidi ya maamuzi yake kutotaka kukutana na makamu wa rais Marekani ,Mike Pence katika kikao ambacho kilipangwa kufanyika mapema mwezi huu ili kujadili uamuzi wa rais...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Waziri wa Mambo ya nje wa Urusi,Sergei Lavrov,amesema kwamba Korea Kaskazini ipo tayari kufanya mazungumzo moja kwa moja na Marekani kuhusiana na mpango wake wa nyuklia.Hayo yalielezwa na Lavrov...
3 Reactions
34 Replies
4K Views
Kanisa la Coptic la Misri limegoma kukutana na makamu wa Raisi Pence ikiwa ni kuonyesha kutokukubaliana na msimamo wa Trump kuitambua Jerusalem kuwa mji mkuu wa Israel, wamesikitishwa na Trump...
0 Reactions
4 Replies
929 Views
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana Siasa za upinzan afrika zinahitaj moyo sana Kwanza uwe imara ki afya na kiakil Pili uwe ngangari na ngungur kweli kweli Usikate tamaa na usife moyo...
2 Reactions
16 Replies
3K Views
Baada ya bunge la Australia kuikubali sheria inayoruhusu ndoa za watu wa jinsia moja, Waziri Mkuu wa nchi hiyo Bw Malcolm Turnbull alitabasamu kwa furaha kwa kufanikiwa kupitisha sheria...
1 Reactions
22 Replies
3K Views
Serikali ya marekani iliwaachia magaidi wa ISIS waondoke kwa amani ktk mji wa Raqqa huko Syria katika mpango wake wa kusapoti mapambano yake dhidi ya Rais Assad hayo yameelezwa na mpiganaji wa...
0 Reactions
33 Replies
4K Views
#Onyo : Kama haya mambo huna uelewa nayo, nakuhisi usitumie lugha ya kuudhi! Msimamo wa Marekani ni mmoja, na tayari wamesha tangaza kuhamisha ubalozi wao ulipo katika mji Mkuu wa Israel, Tel...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Lubaina Himid: the Turner prize nominee making black lives visible | Art and design | The Guardian
1 Reactions
5 Replies
930 Views
Dakar, Senegal. Rais wa Rwanda Paul Kagame amewataka viongozi wa nchi za Afrika kujenga na kuimarisha ushirikiano ili kutatua kwa ufanisi matatizo yanayohusu masuala ya usalama katika bara hili...
1 Reactions
20 Replies
3K Views
Mrithi wa Ufalme Saudia anunua mchoro wa Yesu uliogharimu dola milioni 450 Mrithi wa Ufalme wa Saudi Arabia Mohammad bin Salman anaripotiwa kutumia wakala kununua moja kati ya michoro ghali zaidi...
2 Reactions
39 Replies
7K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…