Kenya: Watu 18 wamefariki kwenye ajali baada ya Lori la Serikali kupoteza mwelekeo

Ghazwat

JF-Expert Member
Oct 4, 2015
23,718
66,262
f64773324a4ff1ab06c3fcbd2efb0922.jpg
Takriban watu 18 wameripotiwa kufariki na wengine kujeruhiwa baada ya Lori la Serikali lililokuwa likisafilisha mizigo na wenyeji wa Kapedo kupoteza mwelekeo na kubiringia

Kamanda wa Polisi Kaunti ya Baringo, Robinson Ndiwa, athibitisha ajali hiyo na kuongeza kuwa maafisa wa tatu pia wako hali mahututi

Kufikia sasa watu 14 waliojeruhiwa, wamepelekwa kwa haraka katika Hospitali ya Kabarnet kupata matibabu huku waliofariki wakipelekwa katika chumba cha kuhifadhia maiti cha Kabarnet, Kaunti ya Baringo
 
Poleni majirani zetu. Kwa mkasa huo wa ajali na majeruhi wapone haraka
 
Back
Top Bottom