International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Aliyemtunuku Grace Mugabe shahada ya uzamifu akamatwa Zimbabwe Grace Mugabe alitunukwa cheti hicho baada ya kusoma kwa miezi michache na hoja yake ikachapishwa mwezi uliopita baada ya kuzuka kwa...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Ndio kama mlivyoskia. Uchaguzi Mkuu wa Liberia uliofanyika Tarehe 10 Mwezi huu (Juzi), Mchezaji wa zamani wa Monaco, Mancity na Chelsea, ameshinda. Katika uchaguzi huo, Mwanamama Ellen Sirlif...
5 Reactions
142 Replies
20K Views
Wafungwa wamechukua udhibiti wa gereza kwenye mji wa Rio de Janeiro nchini Brazil na wanawashika mateka baadhi ya wafanyakazi wa gereza hilo. Polisi waliojihami wanalizunguka gereza hilo lenye...
0 Reactions
0 Replies
895 Views
Mateso waliyopata kutoka kwa vikundi vinavyopigana kuipinga Serikali. Bila kufsfanua zaidi au labda this is self- explanatory. Kuna kazi kule DRC. Security Council inataka kumuondoa Kabila lakini...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Ndege ya abiria iliyokuwa ikitokkea Tehran, imeanguka na kuua watu 66 kusini mwa Iran. Kati ya watu hao, 60 walikuwa ni abiria akiwemo mtoto mmoja na Wengine sita ni Waafanyakazi wa kwenye ndege...
2 Reactions
19 Replies
3K Views
HADI NASHANGAA    Ndugu zangu wanaJF bahari ya damu Stoneman Douglas, ni ufyatuaji risasi au ni ugaidi? Kuna hii taasisi inaitwa the Anti-Defamation League ambayo ni taasisi ya kulinda haki...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Baada ya miaka miwili ya maandamano na mauuaji US Congress imeipa serikali ya Ethiopia mpaka tarehe 28 February 2018 iwekee wazi masuala yake za haki za binadamu na iruhusu wachunguzi wa kimataifa...
3 Reactions
26 Replies
3K Views
Usijaribu kufanya jaribio la kumsogelea dada wa kiongozi wa North Korea, Kim Jong-Un,utapotea au utapigwa na kitu chenye ncha kali ambacho kitakuacha na madhara ya kudumu maisha yako yote. Dada...
14 Reactions
114 Replies
21K Views
Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron ametishia kuishambulia Syria ikiwa ushahidi utaibuka kuwa serikali ya Syria inatumia silaha za kemikali dhidi ya raia. "Tutashambulia maeneo ambapo silaha hizi...
2 Reactions
28 Replies
3K Views
Syria yaionya Israel isithubutu tena kuingiza ndege zake nchini humo Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Syria ametoa onyo kali akisema kuwa utawala wa Kizayuni wa Israel usithubutu tena kuishambulia...
12 Reactions
86 Replies
9K Views
Mkuu wa zamani wa majeshi ya Iran ameeleza kwamba nchi za magharibi (ikiwemo Marekani) zilitumia mpaka mijusi na vinyonga kupeleleza na kuchunguza mpango wa nyuklia wa Iran. Wanyama hao...
3 Reactions
23 Replies
4K Views
Kutunguliwa ndege ya kivita ya F16 ya Israel na Syria na ujumbe inaotoa hatua hiyo ya kistratijia  00:00 / 00:00  Kikosi cha ulinzi wa anga cha jeshi la Syria asubuhi ya Jumamosi ya tarehe 10...
7 Reactions
59 Replies
9K Views
Report: Six killed in IAF strikes on Syria Israeli retaliatory airstrikes on Assad regime Saturday killed at least six people, NGO claims, including 'non-Syrian allies'. At least six people were...
1 Reactions
24 Replies
3K Views
Tokea mh Obama aivuruge Syria na kutengenezeka kwa Kikundi cha ISIS ,serikali ya Obama kwa takriban miaka 5 ilishindwa kuwadhibiti Isis mpaka Isis wakashikilia nusu ya eneo ya Syria na miji...
11 Reactions
38 Replies
6K Views
GOMA, Democratic Republic of Congo (Reuters) - Congolese soldiers were killed and wounded in a cross-border skirmish with Rwandan troops this week, Democratic Republic of Congo’s military said on...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Padri Sebastian Yebo atekwa nyara na maafisa polisi muda mfupi baada ya kumalizika misa aliyokuwa akiiongoza katika parokia ya mtakatifu Robert mashariki mwa mji wa Kinshasa Katika Jamhuri ya...
0 Reactions
37 Replies
4K Views
After Mugabe, all eyes are on Uganda’s Museveni: how long can he cling to power? "You ready?" (Reuters/Emmanuel Herman) On Nov. 21, Zimbabwean president Robert Mugabe resigned as president...
0 Reactions
2 Replies
750 Views
Do you think a jury will believe this 31 year old Ethiopian's story??? 2017 Updates: An elderly man from the Czech Republic was last month sentenced to 16 years in prison for drug trafficking to...
3 Reactions
5 Replies
2K Views
Naona mwana wa Kim Jong 'Mentally' Il naye ana li Air Force One lake lenye 'kila aina ya bells and whistles' hata kuweza kuchuana na lile la Obama. Hapa likiwa kwenye anga ya Pyongyang...
2 Reactions
62 Replies
16K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…