Wakimbizi wa DRC wanaowasili Uganda wasimulia mateso

lanaforge

Member
Apr 22, 2012
53
13
Mateso waliyopata kutoka kwa vikundi vinavyopigana kuipinga Serikali.
Bila kufsfanua zaidi au labda this is self- explanatory.
Kuna kazi kule DRC. Security Council inataka kumuondoa Kabila lakini JWTZ inalinda Presidential Palace.
 
Jw inalinda presidential palace? Uongo utakupeleka wapi?
 
Africa......AU wanapambana kumjibu Trump badala ya kusafisha nyumba.
 
Mateso waliyopata kutoka kwa vikundi vinavyopigana kuipinga Serikali.
Bila kufsfanua zaidi au labda this is self- explanatory.
Kuna kazi kule DRC. Security Council inataka kumuondoa Kabila lakini JWTZ inalinda Presidential Palace.
Tulia uedit post yako ueleweke.!
 
Jw inalinda presidential palace? Uongo utakupeleka wapi?
Wale wanalinda Presidential Palace. Kesho naweza kuweka detail kidogo. Lakini ipo contingent katika Umoja wa Mataifa, na askari wengine, jw, wapo pale specifically kumlinda Kabila.
 
Tunasubiri hizo data. Msipende kujiandikia mambo ya kizushi kufurahisha magenge.No research, no right to speak
 
Halafu eti wakimbizi waliokimbilia Uganda wasimulia mateso, hivi unajua asili ya Huyu mgogoro?
 
Back
Top Bottom