UCHAMBUZI: Kuangushwa kwa ndege ya F-15 ni mwanzo tu kwa Israel, huenda ikapata vipigo zaidi

kimsboy

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
8,990
17,879
Kutunguliwa ndege ya kivita ya F16 ya Israel na Syria na ujumbe inaotoa hatua hiyo ya kistratijia
 00:00 / 00:00 
Kikosi cha ulinzi wa anga cha jeshi la Syria asubuhi ya Jumamosi ya tarehe 10 Februari kiliitungua na kuiangusha ndege ya kivita aina ya F16 ya jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel iliyovamia anga ya nchi hiyo.
Kuna jumbe muhimu kadhaa zinazotolewa na hatua hiyo iliyochukuliwa na kikosi cha ulinzi wa anga cha jeshi la Syria. Ujumbe muhimu zaidi wa hatua hiyo ni kwamba mgogoro wa Syria, kama ilivyotangaza harakati ya Hizbullah ya Lebanon, umeingia kwenye awamu na marhala ya "kistratijia". Katika kipindi cha miaka saba iliyopita, jeshi la utawala wa Kizayuni limeshambulia mara kadhaa maeneo mbalimbali ya ardhi ya Syria; lakini kwa kuwa jeshi la Syria lilikuwa limejikita kwenye vita vya kupambana na magaidi halikutoa jibu la kivitendo kwa uvamizi na uchokozi wa mara kwa mara wa ndege za kivita za utawala wa Kizayuni.
Hatua ya siku ya Jumamosi ya kikosi cha ulinzi wa anga cha Syria inamaanisha kwamba jeshi la nchi hiyo limeshavuka awamu ya vita vya kupambana na ugaidi; na sasa lina uwezo wa kukabiliana na hujuma za maajinabi, na kwamba kiuhalisia, njama za kuuangusha mfumo wa utawala wa Syria zimeshindwa na kugonga mwamba.
Hii ni katika hali ambayo kwa muda wote wa miaka saba iliyopita, mhimili wa uovu wa pande tatu za Waarabu, Wamagharibi na Waebrania umetumia mabilioni ya dola kwa madhumuni ya kuupindua mfumo wa utawala na serikali halali ya Syria. Robert Ford, balozi wa zamani wa Marekani nchini Syria amesema kuhusiana na suala hilo kwamba: "Marekani imetumia zaidi ya dola bilioni 12 kwa ajili ya kubadilisha mfumo wa utawala nchini Syria."
Mehdi Mohammadi, mchambuzi wa siasa, naye pia anaamini kuwa uamuzi wa Syria wa kubariziana ana kwa ana na Israel unamaanisha kwamba serikali ya Damascus, sio tu imedhamiria kukamilisha udhibiti wake kwa ardhi na anga ya nchi hiyo, lakini sambamba na hatua hiyo imeamua sasa, kulingana na vipimo vyake, kuvunja makali ya harakati za kistratijia na kimbinu zinazochukuliwa na pande vamizi za maajinabi.
Ujumbe muhimu mwengine inaotoa harakati ya kikosi cha ulinzi wa anga cha jeshi la Syria ni kwamba, licha ya jeshi hilo kutanzwa na vita angamizi na haribifu vya miaka saba vya kupambana na magaidi, sio tu halijarudi nyuma wala kulegeza kamba katika kuilinda ardhi yote ya nchi hiyo, lakini pia, baada ya kujitenga nalo watu wenye misimamo dhaifu, hivi sasa jeshi hilo lina askari na wapiganaji watiifu, ambao kutokana na moyo wa kujiamini walionao, linajipanga na kujiwekea mikakati yake mipya. Kuhusiana na nukta hiyo, gazeti la kizayuni la Haaretz limeandika: "Shambulio hili limeonyesha kuwa Syria imepata tena nguvu na uwezo iliokuwa nao kabla."
Ujumbe mwingine wa shambulio la kikosi cha ulinzi wa anga cha jeshi la Syria ni kuthibitisha kuwa, jeshi la utawala wa Kizayuni linaweza kupata kipigo na kudhurika. Utawala wa Kizayuni wa Israel una moja ya vikosi vya anga vyenye silaha za kisasa zaidi katika Mashariki ya Kati; kikosi ambacho kimejizatiti kwa silaha na zana za kivita zinazotengezwa kwenye viwanda vya silaha vya madola ya Magharibi na hasa Marekani. Katika hali ambayo kwa wiki kadhaa za hivi karibuni jeshi la utawala haramu wa Israel limeshambulia mara kadhaa maeneo tofauti ndani ya ardhi ya Syria, na wakati mashambulio na hujuma hizo zikiwa zingali zinaendelea, punde tu baada ya kuangushwa ndege yake ya kivita ya F16, baraza la usalama la utawala huo lilitangaza "kuhitimishwa operesheni" ndani ya ardhi ya Syria. Faisal Qassim, mchambuzi wa mambo wa Kiarabu amesema: "kuangushwa ndege ya kivita ya F16, kumeifanya Israel ionekane kuwa dhaifu kiulinzi kwa mara ya kwanza katika historia." Aaron David Miller, mchambuzi wa CNN, naye pia amesema, kuangushwa ndege ya Israel ni ishara ya kuimarika uwezo wa ulinzi wa anga wa Syria na kuongeza kwamba, haiba ya Israel imepata pigo kwa kuangushwa ndege hiyo ya kivita ya F16. Ni kutokana na hayo, ndiyo maana utawala wa Kizayuni unatumia kila mbinu kutaka fikra za waliowengi duniani ziamini kuwa si jeshi la Syria, bali ni jeshi la anga la Iran ndilo lililohusika na shambulio la kuitungua na kuiangusha ndege yake ya F16 ili kupunguza uzito wa kipigo na kushindwa kwake huko kistratijia.
Punde baada ya tukio hilo, Nachman Shai, mbunge wa bunge la utawala wa Kizayuni, Knesset, alitoa taarifa ya kutaka zichukuliwe hatua za kuepusha kutokea makabiliano ya kijeshi kati ya Israel na Iran, na hata akafika mbali zaidi kwa kuzitaka Russia na Marekani zitumie nyenzo za kimataifa dhidi ya kile alichodai eti ni "kusonga mbele wanajeshi wa Iran ndani ya ardhi ya Syria". Pamoja na yote hayo, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imekanusha na kusisitiza kwamba haijahusika moja kwa moja kwa namna yoyote ile katika kutunguliwa na kuangushwa ndege ya kivita ya F16 ya Israel..
 
Udini badala ya uhalisia umetamalaki.

Pooole kwa mgengeuko huo.

Bazazi ni Bazazi na si bazazi.
 
Umeandika kwa kushona maandishi so inachosha kusoma...

Wachambuzi wa Vita wanasema Syria na Iran waliweka Mtego na walijua kuwa Israel itajibu kwa Ndege so wakajiandaa karibu nusu ya mifumo yao ya kutungua Ndege kwa uelekeo mmoja so ndege ilipopita wakaisubiri tu ikiwa inarejea wakaanza kurusha ovyo ovyo makombora angani... Na Inasemekana pilot na navigator wake walijisahau kuwasha mtambo wa kujilinda kwani hawakuona na wazo hadi pale ndge ilipopatwa na kombora so uamuzi ukawa ni kuwait hadi kwenye anga ya Israel ndipo waeject Habari kutoka kwa Pilot wenyewe hospitalini Wamesema... Ndege ni F-16 na sio F-15 Badilisha heading yako.

Kama Mawazo yako unaona siku zijazo Israel atapata Hasara umokosea Sana kwani baada ya Ndege kuanguka wakatuma Ndege mbili kuwachakaza kwa muda wa Masaa Mawili maeneo 12 matata na wadadisi wanasema hakuna Jeshi linaloweza kuteketeza target kumi na mbili kwa muda huo... Wasiryia na Wageni 6 Wamepoteza Maisha yao huko nadhani hao wageni hawataki kuwasema kama ni Wairan... maana Irani wamekasirika Sana kuhusishwa.. na Mifumo iliyoharibiwa ni muhimu sana ndege zimeenda na zimerejea Salama...
 
unawasikiliza waisraek..huwa hawakubali kudundwa,hata walivodundwa 2006 wanakana..rubani watajisahau vipi!?..utetezi wao hauna mashiko
 
Umeandika kwa kushona maandishi so inachosha kusoma...

Wachambuzi wa Vita wanasema Syria na Iran waliweka Mtego na walijua kuwa Israel itajibu kwa Ndege so wakajiandaa karibu nusu ya mifumo yao ya kutungua Ndege kwa uelekeo mmoja so ndege ilipopita wakaisubiri tu ikiwa inarejea wakaanza kurusha ovyo ovyo makombora angani... Na Inasemekana pilot na navigator wake walijisahau kuwasha mtambo wa kujilinda kwani hawakuona na wazo hadi pale ndge ilipopatwa na kombora so uamuzi ukawa ni kuwait hadi kwenye anga ya Israel ndipo waeject Habari kutoka kwa Pilot wenyewe hospitalini Wamesema... Ndege ni F-16 na sio F-15 Badilisha heading yako.

Kama Mawazo yako unaona siku zijazo Israel atapata Hasara umokosea Sana kwani baada ya Ndege kuanguka wakatuma Ndege mbili kuwachakaza kwa muda wa Masaa Mawili maeneo 12 matata na wadadisi wanasema hakuna Jeshi linaloweza kuteketeza target kumi na mbili kwa muda huo... Wasiryia na Wageni 6 Wamepoteza Maisha yao huko nadhani hao wageni hawataki kuwasema kama ni Wairan... maana Irani wamekasirika Sana kuhusishwa.. na Mifumo iliyoharibiwa ni muhimu sana ndege zimeenda na zimerejea Salama...
Hahahaaa vibaraka wa Israel na Iran on the work,,waafrika bwana kazi kweli kweli
 
masaa mawili unafyatua kombora 12,huu ni uzembe mkubwa.
Kwanza baada ya ndege kudondoshwa hakuna ndege iliingia syria,
walitumia surface to surfarce missile kutoka golan units,
pili air defence ya syria sio kama ya israel ambayo iko stationary,
ya syria pantsir ni mobile,BUK ni mobile na hata S-200 ni mobile,means zinaweza kuhama on short notice,
na akishahama hata mita 50 baada ya kushambulia,akazima mtambo kombora kumpata ni vigumu sana,
ndo maana tunasema israel amekuwa akishambulia hewa mda mwingine,
dunia ya leo kila mtu anaweza kupost tukio sehenu yeyote hapa dunia maadam kuna intanent,
ushaona hata picha moja twitter kuonyesha madhara ya shambulizi la israel kubwa kama inavyodaiwa?
 
Na Inasemekana pilot na navigator wake walijisahau kuwasha mtambo wa kujilinda kwani hawakuona na wazo hadi pale ndge ilipopatwa na kombora so uamuzi ukawa ni kuwait hadi kwenye anga ya Israel ndipo waeject Habari kutoka kwa Pilot wenyewe hospitalini Wamesema... Ndege ni F-16 na sio F-15 Badilisha heading yako.
Hivi kumbe mfumo wa kujilinda wa f-16 unaweza zimwa me nilijua ni automatic kumlinda rubani muda wote hata anapokuwa hajaona shambulizi!..
 
Mlaleo hapo uliposema rubani ilibidi asubiri afike Anga la Israel ndo aeject kivipi ikiwa Ndege imetunguliwa kwenye Anga la Syria?
 
masaa mawili unafyatua kombora 12,huu ni uzembe mkubwa.
Kwanza baada ya ndege kudondoshwa hakuna ndege iliingia syria,
walitumia surface to surfarce missile kutoka golan units,
pili air defence ya syria sio kama ya israel ambayo iko stationary,
ya syria pantsir ni mobile,BUK ni mobile na hata S-200 ni mobile,means zinaweza kuhama on short notice,
na akishahama hata mita 50 baada ya kushambulia,akazima mtambo kombora kumpata ni vigumu sana,
ndo maana tunasema israel amekuwa akishambulia hewa mda mwingine,
dunia ya leo kila mtu anaweza kupost tukio sehenu yeyote hapa dunia maadam kuna intanent,
ushaona hata picha moja twitter kuonyesha madhara ya shambulizi la israel kubwa kama inavyodaiwa?
Soma uelewe acha papara,Ni maeneo 12 kwa masaa ma 2,na siyo makombora 12.
 
Umeandika kwa kushona maandishi so inachosha kusoma...

Wachambuzi wa Vita wanasema Syria na Iran waliweka Mtego na walijua kuwa Israel itajibu kwa Ndege so wakajiandaa karibu nusu ya mifumo yao ya kutungua Ndege kwa uelekeo mmoja so ndege ilipopita wakaisubiri tu ikiwa inarejea wakaanza kurusha ovyo ovyo makombora angani... Na Inasemekana pilot na navigator wake walijisahau kuwasha mtambo wa kujilinda kwani hawakuona na wazo hadi pale ndge ilipopatwa na kombora so uamuzi ukawa ni kuwait hadi kwenye anga ya Israel ndipo waeject Habari kutoka kwa Pilot wenyewe hospitalini Wamesema... Ndege ni F-16 na sio F-15 Badilisha heading yako.

Kama Mawazo yako unaona siku zijazo Israel atapata Hasara umokosea Sana kwani baada ya Ndege kuanguka wakatuma Ndege mbili kuwachakaza kwa muda wa Masaa Mawili maeneo 12 matata na wadadisi wanasema hakuna Jeshi linaloweza kuteketeza target kumi na mbili kwa muda huo... Wasiryia na Wageni 6 Wamepoteza Maisha yao huko nadhani hao wageni hawataki kuwasema kama ni Wairan... maana Irani wamekasirika Sana kuhusishwa.. na Mifumo iliyoharibiwa ni muhimu sana ndege zimeenda na zimerejea Salama...
unaishi kwa uwongo na propaganda pole sana ila ujue f-16 sio kitu tena mambo ni moto
Sasa kama israel ni mwanaume aingize tena makende yake huko syria aone
 
Hivi kumbe mfumo wa kujilinda wa f-16 unaweza zimwa me nilijua ni automatic kumlinda rubani muda wote hata anapokuwa hajaona shambulizi!..
Jamaa anajaribu kutetea visivyo tetewa
Tena kwa utetezi dhaifu
 
Umeandika kwa kushona maandishi so inachosha kusoma...

Wachambuzi wa Vita wanasema Syria na Iran waliweka Mtego na walijua kuwa Israel itajibu kwa Ndege so wakajiandaa karibu nusu ya mifumo yao ya kutungua Ndege kwa uelekeo mmoja so ndege ilipopita wakaisubiri tu ikiwa inarejea wakaanza kurusha ovyo ovyo makombora angani... Na Inasemekana pilot na navigator wake walijisahau kuwasha mtambo wa kujilinda kwani hawakuona na wazo hadi pale ndge ilipopatwa na kombora so uamuzi ukawa ni kuwait hadi kwenye anga ya Israel ndipo waeject Habari kutoka kwa Pilot wenyewe hospitalini Wamesema... Ndege ni F-16 na sio F-15 Badilisha heading yako.

Kama Mawazo yako unaona siku zijazo Israel atapata Hasara umokosea Sana kwani baada ya Ndege kuanguka wakatuma Ndege mbili kuwachakaza kwa muda wa Masaa Mawili maeneo 12 matata na wadadisi wanasema hakuna Jeshi linaloweza kuteketeza target kumi na mbili kwa muda huo... Wasiryia na Wageni 6 Wamepoteza Maisha yao huko nadhani hao wageni hawataki kuwasema kama ni Wairan... maana Irani wamekasirika Sana kuhusishwa.. na Mifumo iliyoharibiwa ni muhimu sana ndege zimeenda na zimerejea Salama...

yaani wewe hujui nchi ya syria inapigana vita miaka sita na wageni kutoka nje wageni wamekuja kuitoa serikali ya syria wakisaidiwa na america na sauidia sasa kufa kwa wageni sio ajabu pili eti pailot wa israel alijisahau kuwasha mitambo hivi wewe unajua kazi ya jeshi tena jeshi la israel linaumakini sana na mitambo ya kisasa eti alijisahau unafikiri jeshi hilo ni la burundi
 
Back
Top Bottom