Aliyemtunuku Grace Mugabe shahada ya uzamifu akamatwa Zimbabwe

Chachu Ombara

JF-Expert Member
Dec 11, 2012
5,897
10,358
Aliyemtunuku Grace Mugabe shahada ya uzamifu akamatwa Zimbabwe

Grace Mugabe alitunukwa cheti hicho baada ya kusoma kwa miezi michache na hoja yake ikachapishwa mwezi uliopita baada ya kuzuka kwa wito wa kupokonywa shahada hiyo.

Tume ya uchaguzi inatarajiwa kumshtaki naibu huyo Levi Nyagura kwa utumizi mbaya wa ofisi.

Kile ambacho hakiko wazi ni iwapo bi Mugabe atakamatwa.

Badala ya kusoma miaka kadhaa alipokea shahada yake miezi kadhaa baada ya kusajiliwa katika chuo hicho.

Alikuwa akijaribu kuwa rais wa taifa hilo lakini baada ya jeshi kumuondoa madarakani Robert Mugabe mwezi Novemba harakati zake za kisiasa ziligonga mwamba hatua iliowafurahisha raia wengi wa Zimbabwe.

Mugabe-grace-graduation.jpg
 
ukitaka vitu kirahisi au kutumia ubabe, huwezi kuwa na amani kwenye maisha yako kwa dunia ya leo.
 
Halafu bila hata aibu mnamlalamikia Trump eti kawatukana! Unasajiliwa miezi michache then bila aibu unatunukiwa PhD ambayo wenye akili nyingi wanaisotea not less than 3 yrs unless wewe ni genious la hatari. Na unasindikizwa na mkuu wa nchi na very high profile delegation huku mkijua wazi mnachokifanya ni maigizo! Eti hawa ndio viongozi wa Afrika watakaoipeleka Afrika mbele! Tusahau!
 
Back
Top Bottom