Magari mawili yenye mabomu yameripuka katika mji mkuu wa Somalia Ijumaa na kuuwa watu 18 na wengine 20 kujeruhiwa, idara ya huduma za ambulance imesema.
Wakati huohuo kikundi cha al-Shabaab...
Wafungwa wamechukua udhibiti wa gereza kwenyr mji wa Rio de Janeiro nchini Brazil na wanawashika mateka baadhi ya wafanyakazi wa gereza hilo.
Polisi waliojihami wanalizunguka gereza hilo lenye...
MAREKANI: Idadi ya Wasichana kutoka Kenya wanaoolewa na wasichana wenzao Wamarekani inaelezwa kuongezeka.
Pamoja na kuwepo sheria kali Kenya za kuzuia ndoa za jinsia moja, wasichana wa Kenya...
Polisi watano na mwanajeshi mmoja wameuawa kwa kupigwa risasi wakati wa uvamizi kwenye kituo cha Polisi kwenye mkoa wa Eastern Cape nchini Afrika kusini.
Katika taarifa ya shirika la habari la...
Kama ukisoma historia inasema uingereza ndio taifa lilitowala dunia nzima na nchi nyingi zimetawaliwa Uingereza ikiwemo taifa la Marekani
Na nchi nyingi zilizotawalia na uingereza zipo chini ya...
Afisa Polisi mmoja amefariki hapo jana kufuatia vurugu zilizofanywa na baadhi ya mashabiki wa klabu ya Spartak Moscow dhidi ya wale wa timu ya Athletic Bilbao kabla ya mchezo wa Europa League hapo...
Najaribu kujiuliza haya matukio ya kutisha yanayokea nchini yameigwa kutoka nchi gani. Nikiangalia nchi mbalimbali zinazotuzunguka, naziona nchi tatu zina madikteta. Nazo ni DRC, Rwanda, na...
Rais wa Marekani Donald Trump amesema kwamba kuwapatia walimu silaha kunaweza kuzuia mashambulio ya risasi katika shule kama lile lililowaua watu 17 wiki iliopita mjini Florida.
''Mwalimu mwenye...
Madaktari nchini India wamefanya upasuaji wa kipekee na kuondoa uvumbe wa uzani wa kilo 1.8 kutoka kwa mwanamume wa umri wa miaka 31.
Wanasema huo huenda ukawa uvimbe mkubwa zaidi kuwahi kutolewa...
RWANDA: Maafisa wa usalama siku ya jumanne, walitumia nguvu kuwatawanya wakimbizi wa DR Congo waliokuwa wameweka kambi kituo cha UNHCR wakilalamikia kupunguziwa chakula na mafao mengine.
Mkimbizi...
Mtangaza mmoja wa redio nchini Marekani amejifungua akiwa hewani wakati wa kipindi chake cha alfajiri.
Cassiday Proctor, mtangazaji wa kipindi cha redio cha alfajiri katika kituo cha redio cha...
Hatari ya Urusi inaweza isiwe ajenda muhimu kwenye Mkutano wa Usalama wa Munich mwaka huu, lakini hiyo haikuwasababu inayoweza kumzuia Waziri Mkuu wa Poland Mheshimiwa Mateusz Morawieck kutema...
The news media have set a new standard for negative coverage
The president’s complaints about negative media coverage are not just self-aggrieved rantings. Studies by the Pew Research Center...
Sikiliza kwa makini video nitakayoiweka hapo chini kuhusu huyu mwanazuoni na Great Thinker of all time na utoe maoni yako kama kuna ukweli wa alichokisema ama la
Nionavyo mimi kuna ukweli 100%...
AMAZON, BRAZIL: Takribani wafungwa 60 wameuawa na wengine 130 wametoroka kufuatia kuzuka ghasia zilizodumu kwa saa 17 ktk gereza la Manaus.
- Gereza la Manaus ni moja ya gereza lenye wafungwa...
Mahakama nchini Bahrain imemhukumu mwanaharakati nguli miaka 5 jela kutokana na kupost tweets zinazoishutumu Serikali kutesa wafungwa magerezani na kukosoa Serikali ya Saudi Arabia kwa kuanzisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.