International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

jana bunge la Afrika kusini limepiga kura 241 dhidi ya 83 kuangalia namna gani ardhi itagawanywa kwa walio wengi(blacks)Tangu mwaka 1600 boers wamenufaika kwa sera za kibaguzi dhidi ya weusi.Boer...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
IMANI YA HATARI: Mchungaji wa nchini Afrika Kusini almaarufu kama "Mchungaji wa mateso" aliyekuwa akiwapulizia washirika wake dawa ya kuulia wadudu usoni ameamuriwa na mahakama kulipa faini ili...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Mwimbaji wa Misri Sherine Abdel Wahab amehukumiwa miezi sita gerezani kwa kutania juu ya hali ya usafi wa mto Nile. Sherine, ni mmoja wa waimbaji maarufu nchini humo pia ni jaji katika kipindi...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
MAREKANI: Ikulu ya Marekani inanukia mgogoro mkubwa wa kiongozi baada ya wasaidizi wengi wa Rais Donald Trump kulalamika kuingiliwa kazi zao na binti yake, Ivanka. Mbali na Ivanka, wasaidizi hao...
4 Reactions
19 Replies
3K Views
Mwimbaji wa Misri Sherine Abdel Wahab amehukumiwa miezi sita gerezani kwa kutania juu ya hali ya usafi wa mto Nile. Sherine, ni mmoja wa waimbaji maarufu nchini humo pia ni jaji katika kipindi...
1 Reactions
0 Replies
806 Views
Rais wa Marekani Donald Trump anatarajiwa kutangaza rasmi kugombea tena urais wa nchi hiyo mwaka 2020. Raisi Trump ametayarisha timu yake ya kampeni na amekaririwa akisema kwamba "the earlier...
0 Reactions
3 Replies
917 Views
LESOTHO: Waziri Mkuu, Thomas Thabane na mwanae, Potlako, wanachunguzwa kwa tuhuma za rushwa kubwa. Mbali na rushwa, waziri mkuu huyo anachungizwa kwa tuhuma za kutakatisha fedha, akisaidiana na...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Umoja wa mataifa umesema umewaita nyumbani walinda amani 46 kutoka Ghana waliotuhumiwa kufanya unyanyasaji wa kingono wakati wa shughuli zao nchini Sudan Kusini. Msemaji wa umoja wa mataifa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
The technology behind China's J-20 stealth fighter may have come from a US plane shot down during the Kosovo war, Balkan military sources say. Adm Davor Domazet-Loso, Croatia's military chief of...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Botswana imemuomba Rais wa DR Congo, Joseph Kabila kuachia madaraka haraka ili kuepusha kumwaga damu Serikali hiyo imejitosa kumshawishi Rais Kabila aachie ngazi ili kuheshimu Katiba na zaidi...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Marekani haipendi na haifurahii kuona Korea mbili zinasogeleana na kuungana tens. Hii ni kwa manufaa yake ya wazi Na kificho. Korea kusini isitafute maoni ya Marekani inapotaka kuchukua...
4 Reactions
14 Replies
1K Views
Muhubiri wa Kimataifa, Billy Graham afariki dunia akiwa na umri wa miaka 99. Mchungaji huyo alikua akiugua magonjwa kadhaa ikiwemo Saratani ya Tezi Dume pamoja na Kiharusi. ===== The Rev...
5 Reactions
63 Replies
11K Views
Waendesha mashtaka wa Korea Kusini wanataka rais wa zamani Park Geun Hye ahukumiwe katika kesi ya ufisadi ambayo ilisababisha yeye kuondolewa madarakani, kwa mujibu wa ripoti zilizotolewa na...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa ametangaza baraza lake jipya la mawaziri. Waziri wa zamani wa fedha Nhlanhla Nene amerejeshwa tena katika nafasi hiyo. Nene alifukuzwa Disemba 2015 na...
0 Reactions
3 Replies
947 Views
Botswana blames Congo's humanitarian crisis on Kabila
2 Reactions
39 Replies
3K Views
Pause: "Neighbour, the times they are a-changin'..." __We need a revolution in numeracy, now! If there are no qualified Maths teachers at your childrens' school, don’t complain... Get together...
0 Reactions
4 Replies
995 Views
Makampuni makubwa ya biashara yanayovunja mahusiano na National Rifle Association yenye members million 5 kufuatia mass shooting of Florida high school. Corporate America is taking on the...
2 Reactions
30 Replies
3K Views
DR CONGO: Kanisa Katoliki kwa mara ya tatu limeitisha leo maandamano makubwa baada ya ibada za Jumapili ili kushinikiza Rais Kabila ang'oke madarakani. Kanisa hilo linamtaka Kabila asibadilishe...
12 Reactions
89 Replies
9K Views
Rais wa zamani Robert Mugabe amemshambulia wiki hii mrithi wake Emmerson Mnangagwa akisema kuwa utawala wake uko "kinyume cha katiba", wameeleza mashuhuda. Mugabe ameripotiwa kumshutumu mrithi...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…