UN yawarejesha nyumbani walinda amani wa Ghana kwa tuhuma za unyanyasaji wa kingono

kirerenya

JF-Expert Member
Aug 27, 2013
1,692
2,000
UN.jpg

Umoja wa mataifa umesema umewaita nyumbani walinda amani 46 kutoka Ghana waliotuhumiwa kufanya unyanyasaji wa kingono wakati wa shughuli zao nchini Sudan Kusini.

Msemaji wa umoja wa mataifa amesema kulikua na taarifa za walinda amani wa Ghana kutuhumiwa kununua wanawake kwa ajili ya kufanya ngono.

Amesema umoja wa mataifa hautafumbia macho tabia kama hizo nchini Sudan na kwingineko.

Chanzo: BBC Swahili
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom