Korea kuweni makini na Marekani

Korea kuweni makini na Marekani

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
18,225
Reaction score
17,536
Marekani haipendi na haifurahii kuona Korea mbili zinasogeleana na kuungana tens. Hii ni kwa manufaa yake ya wazi Na kificho.

Korea kusini isitafute maoni ya Marekani inapotaka kuchukua uwamuzi wa kupunguza pengo lake Na NKorea. Hata ujerumani ingetafuta maoni ya Marekani zisingeungana tena
 
Zinapoungana hizo nchi mbili...

Kile kitengo cha Marekani cha kusuluhisha mgogoro uliyopo baina ya North&South Korea kitakua hakina kazi tena...

Cc: mahondaw
 
Ngumu sana hizi nchi 2 kuungana kwasababu Korea Kusini hana uamuzi binafsi wa kuamua mambo yake bila kumuuliza marekani,

wataweza kuungana kama Korea kusini akiamua kuvunja uhusiano na Marekani ili ibaki kuamua mambo yake kama nchi huru.

Lakini pia wanaweza kuungana kama Korea kaskazini atakubali kuachana na mpango wake wa nyuklia na silaha za masafa marefu(siyo jambo rahisi kutokea)

UBEPARI UMEKUWA NI MWIBA KWA HAWA NDUGU WA MDA MREFU.
 
SKorea isitamani NKorea iachane na mipango yake ya nukilia baili wauone kama mpango ambao utaisadia Korea yao kujilinda dhidi ya mataifa mengine yenye nuclear kama Marekani, Urusi na China. Tena walipaswa kuungana kuziboresha zana zao hizo za ulinzi wa eneo lao lote la Korea had I hapo mataifa yote duniani yatakapoachana na silaha za aina hii.
 
Kwani wanalipwa hao wamarekani? Naona unalopoka tu kama unaharisha!!
 
SKorea isitamani NKorea iachane na mipango yake ya nukilia baili wauone kama mpango ambao utaisadia Korea yao kujilinda dhidi ya mataifa mengine yenye nuclear kama Marekani, Urusi na China. Tena walipaswa kuungana kuziboresha zana zao hizo za ulinzi wa eneo lao lote la Korea had I hapo mataifa yote duniani yatakapoachana na silaha za aina hii.

Huo ndio ukweli na wote wanaujua na ndio walikuwa wanautafuta, ukila na kipofu usimshike mkono. Huo ulikuwa mpango wao maana hao ni ndugu wa dam kabisa
Haiwezekan maadui wakubwa kias kile leo wamekuwa karibu na kutaka kurudisha uhusiano wao,
NK saiz wanaweza ongea na yeyote atakae taka ila kwa mambo mengine na sio denuclearize hilo hata marekan wanalijua na RK wanajua wakiwa na mahusiano mema na ndugu zao watakuwa salama zaid ktk hii dunia kuliko marekan ambae anawatumia kama kinga ya kufikia malengo yake tuu
 
Huo ndio ukweli mkuu, nadhani wakorea kusini wameshtuka kuwa iko siku nchi yao inaweza kugeuka uwanja wa vita na kubomolewa na makombora ya Marekani, Urusi, China, Nkorea, Japan na Iran. Ili kuepusha ajali kama hizi kutokea ndani ya taifa lao ni heri asogeleane na ndugu zao NKorea ambao nyuma yao wako majirani zao Urusi na China tayari.
 
Marekani haipendi na haifurahii kuona Korea mbili zinasogeleana na kuungana tens. Hii ni kwa manufaa yake ya wazi Na kificho.

Korea kusini isitafute maoni ya Marekani inapotaka kuchukua uwamuzi wa kupunguza pengo lake Na NKorea. Hata ujerumani ingetafuta maoni ya Marekani zisingeungana tena
Ulivoongea utadhani sisi ndo wakorea na unatuasa
 
Jf ni mtandao mkubwa Hata wakorea tunao humu, mataifa makini kwa ulinzi wanajua kila kitu kinachofanyika humu duniani na wana watu kila nchi wanaofahamu lugha zoote za duniani
 
kweli kabisa mkuu
 
Haiwezekani kwa sasa maana wakiungana uchumi haitachukua muda watachukua nafas za watu mfano China kwa uchumi
 
Kosa kubwa kuliko yote watakalofanya na kulijutia milele kwenye historia yao yote NKorea na SKorea ni kukubali Nkorea iharibu zana zake za ki-nuclear kabla dunia na hasa Marekani ikiwa bado ingali inazimiliki za kwao. Pakistan iko salama kwakuwa inazo silaha za nuclear vinginevyo ingeshatandikwa na Marekani kama ilivyo kwa Kabul na Iraq.
 
kweli kabisa mkuu
Wanazo software zinazo detect kila maandishi/ujumbe kwenye mtandao yanayolitaja jina la nchi, Rais au makao yao makuu ya jeshi lao na kuusoma na kuutafsiri kwa lugha yao ili kupata content na instruction ya maandishi hayo.
 
Ngumu sana hizi nchi 2 kuungana kwasababu Korea Kusini hana uamuzi binafsi wa kuamua mambo yake bila kumuuliza marekani,

wataweza kuungana kama Korea kusini akiamua kuvunja uhusiano na Marekani ili ibaki kuamua mambo yake kama nchi huru.

Lakini pia wanaweza kuungana kama Korea kaskazini atakubali kuachana na mpango wake wa nyuklia na silaha za masafa marefu(siyo jambo rahisi kutokea)

UBEPARI UMEKUWA NI MWIBA KWA HAWA NDUGU WA MDA MREFU.
Israel na marekani waache kwanza mbona wao wanamitambo na makombola?
 
Kosa kubwa kuliko yote watakalofanya na kulijutia milele kwenye historia yao yote NKorea na SKorea ni kukubali Nkorea iharibu zana zake za ki-nuclear kabla dunia na hasa Marekani ikiwa bado ingali inazimiliki za kwao. Pakistan iko salama kwakuwa inazo silaha za nuclear vinginevyo ingeshatandikwa na Marekani kama ilivyo kwa Kabul na Iraq.
Sidhani kama kiduku anaweza kufanya kitu kama hicho kile kichwa ni hatare.
 
Back
Top Bottom