Ramaphosa amefufua ya Mugabe

Ramaphosa amefufua ya Mugabe

zyogo

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2017
Posts
377
Reaction score
282
jana bunge la Afrika kusini limepiga kura 241 dhidi ya 83 kuangalia namna gani ardhi itagawanywa kwa walio wengi(blacks)Tangu mwaka 1600 boers wamenufaika kwa sera za kibaguzi dhidi ya weusi.Boer walichukua ardhi kwa mtutu leo hii kuna bwana sunction..kwa Afrika hii kila kitu Washington hawaoni wanajichimbia matatizo ya kizimbabwe
 

Attachments

Najua Ramaphosa anajua desire ya wabunge wake na hao pamoja na ramaphosa mwenyewe waliona kuwa Zuma anavyo kwenda ni tofauti.
Unajua South ni nchi ilio na maendeleo makubwa na ukizingatia maendeleo yote yametokana na watu weupe.So kwa hali ya kawaida unakuta Mfano.tanzania wa zangu utawakuta posta msasani na mahotel makubwa makubwa kitu ambacho mtu wakaida hawezi.So domination ya maeneo hayo ni watu weupe.Basi Wenzetu hapo wanaona kuwa kila kukicha nchi inaendeshwa na watu waeupe na ndio Ramaphosa akaona hapo pakuanzia.Big up Ramaphosa kwa kazi nzuri na big up zaidi ukishinda
 
Ramaphosa anachoangalia ni uchaguzi mkuu ujao jinsi ya kupata kura hicho chama cha ANC kimepoteza mvutio kutoka kwa watu weusi.
 
Wasipotekeleza hilo azimio lao kwa tahadhari kubwa Uchumi wa taifa hilo kubwa la Afrika kiuchumi utakuja kusambaratika.
 
jana bunge la Afrika kusini limepiga kura 241 dhidi ya 83 kuangalia namna gani ardhi itagawanywa kwa walio wengi(blacks)Tangu mwaka 1600 boers wamenufaika kwa sera za kibaguzi dhidi ya weusi.Boer walichukua ardhi kwa mtutu leo hii kuna bwana sunction..kwa Afrika hii kila kitu Washington hawaoni wanajichimbia matatizo ya kizimbabwe
jana bunge la Afrika kusini limepiga kura 241 dhidi ya 83 kuangalia namna gani ardhi itagawanywa kwa walio wengi(blacks)Tangu mwaka 1600 boers wamenufaika kwa sera za kibaguzi dhidi ya weusi.Boer walichukua ardhi kwa mtutu leo hii kuna bwana sunction..kwa Afrika hii kila kitu Washington hawaoni wanajichimbia matatizo ya kizimbabwe
Kwa hiyo Malema na chama chake EFP wapo sahihi? Ule upande mwingine utamkumbuka aliyetangulia mara tu kabla ya huyu wa sasa huko kwao. Hapo sasa ndipo tutaona ukweli wa mambo.
 
Kwa hiyo Malema na chama chake EFP wapo sahihi? Ule upande mwingine utamkumbuka aliyetangulia mara tu kabla ya huyu wa sasa huko kwao. Hapo sasa ndipo tutaona ukweli wa mambo.
Nimepata kumsikia malema katika moja ya fafanuzi zake.... kuna giza baada ya kuipata ardhi...kwanza anataka ardhi bila fidia kwa wanaohodhi...vema kabisa,lakini anataka elimu toka kwa haohao wenye ardhi namna ya kuitumia hiyo ardhi.
Ikumbukwe hawa jamaa wana access na sunctions.
Pia Boers ni sehemu ya mfumo wa soko la kimataifa sio rahisi kukaribishwa kirafiki.
Ni vema kupigania kwanza mapinduzi ya kiuchumi Afrika bila shaka ardhi itakuwa na thamani kwao...kama bidhaa toka malawi tu ni nadra kuiona tanzania ila ya Finland mathalani ipo... kwa kisingizio cha u multinational companies.. tunafanya biashara zaidi na ulaya kuliko sisi kwa sisi..ni vema tuwe na multafrican system itakayo meza mahitaji yetu hata kwa kujinyima...mbali na hapo ni hasira tu za kisiasa.
 
Hii nchi inaenda kuanguka vibaya sana... s.a ilibidi iwe mbali sana maana kipindi inakabithiwa kwa weusi uchumi wake ulikuwa unashindana na nchi nyingi za Ulaya ila leo hata Nigeria wana uchumi mkubwa kuliko s.a.
 
Back
Top Bottom