Nini kazi muhimu ya haya mashirika?

Nini kazi muhimu ya haya mashirika?

enery

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2015
Posts
368
Reaction score
439
Mpaka najitambua sasa sioni umuhimu ama kazi ya haya mashirika MI6, CIA, FBI hadi UN, WB, zaidi ya kusema ni genge la wahuni waliokaa kuangalia nani tumfanyaje kwa sasa na nani tumfanyie nini? Najaribu kuangalia maneno yatokayo kwa watu mbalimbali sasa tokea Jasusi wa urusi apewe sumu, na kujaribu kutuaminisha kuwa raisi wa urusi anahusika. Kwanini hawakufanya tokea wakati huo na waje wafanye sasa, kuja na vikwazo kuwa urusi isihost kombe la dunia na mengine mengi. Sio kama wao ndo wamekaa na kupanga mipango yote?
 
Kama upo America utajua umuhimu wake
 
mi nafikili badara ya kujadili mashirika yasiyo tuhusu tujadili usalama wetu wa kutekwa na watu wasio julikana na tunavyombe vyenye kulinda usalama wetu
 
Back
Top Bottom