Nigeria: Watu 7 wafariki dunia baada ya msichana Mkristo kusilimu na kuwa Muislamu

Ghazwat

JF-Expert Member
Oct 4, 2015
23,718
66,262
Takriban watu saba wameuawa katika vita ambavyo vilizuka baada ya msichana wa dini ya Kikristo kubadili dini na kuwa Muislamu Kaskazini magharibi mwa Nigeria.

Vita hivyo vilivyozuka katika jimbo la Kaduma viliwaacha watu 15 wakiwa na majeraha baada ya nyumba kuchomwa moto.

Shahidi mmoja aliiambia BBC kwamba tatizo lilianza baada ya msichana huyo wa Kikristo kutoka Gwari kubadili dini na kuwa Muislamu kutokana na ushawishi wa mpenzi wake.

Shahidi anasema kuwa tatizo hilo liliwachochea vijana wa Kikristo.

Ripoti nyingine zinasema kuwa wasiwasi kati ya wafuasi wa dini hizo mbili ulikiwa tangu awali.

Hata hivyo Kamanda wa Polisi wa Kaduma Muktar Aliyu aliiambia BBC kwamba huku wakifanikiwa kuwakamata watu 10 wanaohusiana na kisa hicho, maafisa bado wanachunguza sababu ya vita hivyo.

"Hatuwezi kuthibitisha kwamba vita vilizuka kwa sababu kuna mtu alibadilisha dini na kuwa Muislamu ama dini nyingine yoyote ile", alisema.

Watu wana haki ya kubadili dini na kuingia dini nyingine yoyote ile, hatua hiyo haifai kuchochea vita".

Chanzo: BBC
 
Kwahiyo huyo jamaa akigailisha kumuoa analudi tena kuwa mkristo.kweli wanawake Mungu wao kipofu.
 
Hili suala siyo la kijinsia bali ni mtu bila kijali jinsia. Hapa bongo wanaume wa kikristo ndiyo wanaoongoza kubadili dini kufuata wake zao. Wanaoana halafu baadaye ndiyo zinawashinda au wanaachwa.
 
Takriban watu saba wameuawa katika vita ambavyo vilizuka baada ya msichana wa dini ya Kikristo kubadili dini na kuwa Muislamu Kaskazini magharibi mwa Nigeria.

Vita hivyo vilivyozuka katika jimbo la Kaduma viliwaacha watu 15 wakiwa na majeraha baada ya nyumba kuchomwa moto.

Shahidi mmoja aliiambia BBC kwamba tatizo lilianza baada ya msichana huyo wa Kikristo kutoka Gwari kubadili dini na kuwa Muislamu kutokana na ushawishi wa mpenzi wake.

Shahidi anasema kuwa tatizo hilo liliwachochea vijana wa Kikristo.

Ripoti nyingine zinasema kuwa wasiwasi kati ya wafuasi wa dini hizo mbili ulikiwa tangu awali.

Hata hivyo Kamanda wa Polisi wa Kaduma Muktar Aliyu aliiambia BBC kwamba huku wakifanikiwa kuwakamata watu 10 wanaohusiana na kisa hicho, maafisa bado wanachunguza sababu ya vita hivyo.

"Hatuwezi kuthibitisha kwamba vita vilizuka kwa sababu kuna mtu alibadilisha dini na kuwa Muislamu ama dini nyingine yoyote ile", alisema.

Watu wana haki ya kubadili dini na kuingia dini nyingine yoyote ile, hatua hiyo haifai kuchochea vita".

Chanzo: BBC
kama wana ubavu wakazuie watu kuingia jehannam
 
Waafrika bwana, yaani tunagombania dini ambazo si zetu....kwenye biblia kila kitu kilichomo humo ndani ni kwa ajili ya wayahudi na Quran kila kitu kilichomo mule ni kwa ajili ya waarab tu, sie vichaa tunagombana na kuuana kwa dinii za watu. Wacheni tuchekwe tu kwa uzoba wetu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom