zyogo
JF-Expert Member
- Oct 17, 2017
- 377
- 282
Waasi wa ki huthi toka Yemen jana wameshambulia mji wa Riyadh kwa makombora 7 moja limeweza kupenya ngome ya Saudi...na kudhaniwa kusababisha madhara makubwa kwa raia....kama ni kweli itakuwa ni fedheha kubwa kwa patriot kushindwa kuzuia short range missiles.