Urusi yasamehe afrika, umasikini umezidi afrika

Lee Swagger

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2018
Posts
1,070
Reaction score
1,817
President Vladimir Putin said that Russia had canceled the debt of African countries in excess of $ 20 billion.

To help the African continent overcome poverty, Russia has decided to cancel more than $ 20 billion in debt contracted by African countries.

“As part of the initiative to help the poorest and most heavily indebted countries, we have canceled more than $ 20 billion in debt for the benefit of different African countries,” Putin said. Russian media.

The Russian leader announced the initiative following a meeting with Guinean President Alpha Condé.

Vladimir Putin added that in 2016, Russia had allocated $ 5 million to the African countries through the Organisation of African Unity The United Nations Food and Agriculture Organization.

Russia cancels all debts of African countries in excess of $ 20 billion
 
Japo hii ni habari ya mwaka jana 2017, hizi ni pesa nyingi sanaaa saaana.
Maana amesamehe nchi kama CUBA, IRAQ, KOREA KASKAZINI na MONGOLIA kitu ambacho kinashangaza sana hasa kipindi hiki wakati Uchumi wake umeyumba sana saanaa. Ukiyabadilisha haya madeni ni bajeti ya Tanzania kwa miaka zaidi ya mitano haya ni matrilioni ya pesa nyingi sana na yanaonyesha ni jinsi gani nchi nyingi za Africa zilikuwa tegemezi kwa jumuiya ya Kisovieti ya Urusi. Kwa huu utegemezi basi nasema kuanguka kwa Urusi kilikuwa na madhara makubwa kwa nchi nyingi duniani, madhara makubwa sanaa sanaaa kiuchumi na kiusalama.

NB: Watanzania tujifunze kujitegemea aseee!

CC: Bukyanagandi , chige , Palantir , Maalim Shewedy , ze kokuyo , nankumene
 
Kwa huu utegemezi basi nasema kuanguka kwa Urusi kilikuwa na madhara makubwa kwa nchi nyingi duniani, madhara makubwa sanaa sanaaa kiuchumi na kiusalama.
Wakati huo huo Trump anafikiria kutupiga vikwazo kwa kumgomea kuingiza Mitumba yake nchini!..
Madhara yalikuwepo makubwa sana me naamini hata mkataba wa SAP usingeweza kufanya kazi kama Urusi isingeanguka kipindi kile!. Nitaumia sana kusikia Serikali yetu imeingilia mambo ya hawa jamaa eti ikafukuza wafanyakazi wa Ubalozi Urusi nchini.
 
Japo hii ni habari ya mwaka jana 2017, hizi ni pesa nyingi sanaaa saaana.
Maana amesamehe nchi kama CUBA, IRAQ, KOREA KASKAZINI na MONGOLIA kitu ambacho kinashangaza sana hasa kipindi hiki wakati Uchumi wake umeyumba sana saanaa. Ukiyabadilisha haya madeni ni bajeti ya Tanzania kwa miaka zaidi ya mitano haya ni matrilioni ya pesa nyingi sana na yanaonyesha ni jinsi gani nchi nyingi za Africa zilikuwa tegemezi kwa jumuiya ya Kisovieti ya Urusi. Kwa huu utegemezi basi nasema kuanguka kwa Urusi kilikuwa na madhara makubwa kwa nchi nyingi duniani, madhara makubwa sanaa sanaaa kiuchumi na kiusalama.

NB: Watanzania tujifunze kujitegemea aseee!

CC: Bukyanagandi , chige , Palantir , Maalim Shewedy , ze kokuyo , nankumene
Anko Magu ana kazi kweli kweli...!!!
 
Tangu lini $40 billion ikawa bajeti ya miaka mitano, trillion 46 za bongo ukimaanisha bongo bajeti ni trillion 9 numbers don't lie
 
Umeona hapo juu nimetaja madeni ya Africa tu ??
Unajua CUBA, MONGOLIA na NORTH KOREA wamesamehewa kiasi gani ??
Soma na elewa kabla ya kukimbilia kujibu...!
 
Mbali na kufuta madeni
Nafikiri jamaa huyu Putin ni mmoja wa matajiri wakubwa duniani kama sio wa kwanza
Sawa! Jeff Bezos anaongoza kwa gazeti
 
Madeni ya silaha hayo ndio wanadaiwa,russia bado sana kutoa pesa yake mfukoni kuja kukopesha africa labda kwa NK au IRAN
 
Back
Top Bottom