Oya
Myahudi kachafukwa kinoma.
Hataki discussion na mtu yeyote yule.
=================
Mkuu wa sera za kigeni wa Umoja wa Ulaya Kaja Kallas amependekeza awamu nyengine ya vikwazo dhidi ya mawaziri...
Utengenezaji wa mfumo wa kukamata laser wa "Iron Light" umekamilika kufuatia mfululizo wa majaribio kusini mwa nchi. Jina jipya la mfumo: "Nuru ya Eitan,"”Light of Eitan,” iliyopewa jina la...
Niaje waungwana
Wengi tunafaham kuwa shetan huwa hana undugu, urafiki wala ujamaa na binadamu. Shetan ndugu yake, rafiki yake na jamaa yake ni shetan mwenzake. Hivyo ukiingia makubaliano yoyote...
WAPALESTINA NI WAVAMIZI KWA MUJIBU WA QURAN
Qur’an inataja wazi kuwa ardhi takatifu (Ardhi ya Kanaani) ilipewa kwa Waisraeli (wana wa Israel). Kuna aya kadhaa zinazolitaja hilo
Qur’an 5:20–21...
Niaje niaje..........katika hali ya kushangaza kumbe jamaa walihiti target vizuri tu bila papara ..............maneno yalikuwa meeengi kumbe kitu kimewaramba
Nikiwa nimeishi nchini China kwa miaka mingi sana tangu mwaka 2008, na kushuhudia nchi hii ambayo sasa ni ya pili kwa uchumi mkubwa duniani inavyobadilika hatua kwa hatua, chini ya muongozo wa...
Nchini Ghana, majeneza hayachukuliwi tu kuzikia miili ya marehemu kama ilivyo kawaida sehemu nyingine duniani. Kila jeneza linatengenezwa si tu kuzikia marehemu, bali pia kuonyesha kiini cha...
Idara ya Mambo ya ndani ya Marekani imetangaza kuwa mabango yote ya maelezo kwenye hifadhi za taifa yapo chini ya ukaguzi, hatua inayokuja wakati wa utawala wa Rais Donald Trump ambao unadaiwa...
Serikali ya Nepal imetangaza kutoa rupia 1.5 milioni (Sh42 milioni) kwa ajili ya fidia kwa familia za wafiwa waliofariki katika maandamano ya GenZ yaliotokea nchini humo wiki chache zilizopita...
Kuteka na kuua raia ndo final stage ya utawala kuanguka maana baada hakuna option inayobaki.
Siku wananchi hawa mnaotuita makondoo wakichoka, hao watekaji hutowaona popote.
Polisi nchini Gambia wamemtoa kwa nguvu Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali, Momodou Ceesay, kutoka ofisini baada ya kukataa kuachia wadhifa huo kufuatia mabadiliko ya baraza ya Rais...
Marekani imetangaza makubaliano ya awali na China kuhusu kutatua mgogoro wa TikTok, ambapo yamependekeza kwamba umiliki wa programu/Mtandao huo inayomilikiwa na Wachina upewe kampuni...
Hapo ndipo temple ya kwanza na ya pili ilipokuwa, mamlaka nyingi zilizopita zilihakikisha kufukia historia ya judea kwa kupandikiza za kwao ila ukweli siku zote unashinda giza.
Miaka ya maelfu ya...
Hapa kuna orodha ya baadhi ya nchi zinazojulikana kuwa hazina jeshi pamoja na jinsi zinavyolinda usalama wao:
Costa Rica
Iliacha kuwa na jeshi mwaka 1948.
Usalama wake unadhibitiwa na Fuerza...
Larry Ellison mwanzilishi wa kampuni ya Oracle amempita Elon Musk na kuwa mtu tajiri zaidi duniani.
Leo amevuna kibunda chenye thamani ya $107 bilioni, baada ya hisa za Oracle kuongezeka kwa 43%...
Rais wa zamani wa Urusi Dmitry Medvedev amesema uamuzi wa nchi za Jumuiya ya Kujihami ya NATO wa kuilinda anga ya Ukraine itakuwa ni kama tangazo la vita.
Medvedev amesema kwenye mtandao wa...
Waziri Mkuu wa mpito nchini Nepal Sushila Karki ameapa kufuata matakwa ya waandamanaji ya kukomesha ufisadi nchini humo wakati alipokuwa anaanza kazi yake rasmi baada ya kushika wadhifa huo...
Chama kikuu cha upinzani nchini Uturuki, Republican People’s Party (CHP), kinakabiliwa na mtikisiko mkubwa ambapo leo Septemba 15, 2025 Mahakama mjini Ankara inatarajiwa kuamua iwapo itabatilisha...