International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Habari Wanajukwaa,Leo katika kufuatilia BBC,nimesikia Korea Kaskazini imekubali kurekebisha SAA zake ziwe sawa na za Kusini.Yani Walikua wanapishana Nusu SAA.Sijaelewa hii imekaaje,Yani nchi...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
This interesting prayer was given in Kansas, USA, at the opening session of their Senate. Itseems prayer still upsets some people.When Minister Joe Wright was asked to open the new session of the...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Kiongozi Korea Kaskazini, Kim Jong Un avuka mpaka na kuingia Korea Kusini kwa ajili ya kuhudhuria kikao kati yake na Rais wa nchi hiyo, Moon. > Kim Jong Un anakuwa kiongozi wa kwanza wa Korea...
2 Reactions
95 Replies
11K Views
Habari zilizotoka Mda mchache uliopita zinasema kuwa Kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong Un amemwambia Mwenzake wa Korea Kusini Moon Jae In kuwa Korea Kaskazini Tayari Imesitisha kabisa Majaribio...
1 Reactions
103 Replies
9K Views
Mchekeshaji wa Marekani, Bill Cosby(80) amekutwa na hayia ya makosa matatu ya unyanyasaji wa kijinsia. Cosby amekuwa akituhumiwa kumnywesha madawa na kisha kumfanyia vitendo hivyo aliyekuwa...
1 Reactions
8 Replies
3K Views
UK home Secretary Amber Rudd katangaza kuachia ngazi baada ya kushinikizwa kujiuzulu kufuatia sakata la wahamiaji.
0 Reactions
3 Replies
816 Views
North Korea imesema kuwa Iko Tayari Kuwaalika Wataalam wa nje Kusimamia Ufungwaji(close ) wa Mitambo ya Neuclear Mwezi wa 5 Mwaka 2003 dola ya Muamar Gaddafi ndipo ilipo dondoka baada ya...
3 Reactions
11 Replies
2K Views
Takribani watu 25 pamoja na Wanahabari watano wamefariki huku watu wengine 45 wakijeruhiwa katika mashambulio mawili ya mabomu ya kujitoa muhanga asubuhi ya leo Aprili 30, 2018 Shambulio la...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kanye amesema ,,Obama was in office for 8 years, and nothing changed in Chicago ",..
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ziara ya Raisi wa Ufaransa Emanuel Macron nchini USA!
6 Reactions
30 Replies
8K Views
Sikuwahi tegemea kumuona raisi wa N.Korea anayepinga kila kitu cha Western atumie bidhaa za Western. Lakini nimeona video ya msafara wake wakati akitoka kuzungumza na raisi wa S. Korea anarudi...
9 Reactions
127 Replies
12K Views
Tukirejea historia. Kitendo cha kiongozi wa Korea Kaskazini kuvuka mpaka na kuingia Korea ya Kusini ndio mwisho wake. Rejea Urusi, Ujerumani n.k.
3 Reactions
55 Replies
6K Views
Zaidi ya watu 40 wa kabila la Tuareg wameuliwa na wapiganaji wa kijihadi nchini Mali katika eneo la kaskazini-mashariki linalopakana na Niger. Kundi la zamani la waasi wa Tuareg la MSA pamoja...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Everything I just read here is very true as it happens somewhere on this Earth, but when will all these end before we all say it is enough now??? 1. Assertions Of An Alternate Reality Via The...
1 Reactions
0 Replies
775 Views
Katika zama hizi za Siasa za Uchumi imekuwa ni desturi kwa Nchi kubwa kuchochea Nchi ndogo kwa maslahi yao ya Kiuchumi. Nimefurahi sana kuona Viongozi wa N/S Korea wakiutegua huu mtego na...
0 Reactions
5 Replies
971 Views
Taarifa kutoka Korea ya Kaskazini muda huu ni kuwa nchi hiyo iko tayari kuangamiza vinu vyake vya nyuklia.Hayo yametolewa na Rais wa nchi hiyo Mr Jong Kim un muda si mrefu kupitia TV yao ya Taifa.
2 Reactions
21 Replies
3K Views
Mtandao wa WhatsApp umeongeza umri wa watumiaji wake kutoka miaka 13 hadi 16 ikiwa ni mkakati wa kutekeleza Sera ya Umoja wa Ulaya inayolenga kulinda taarifa za Watu > Mabadiliko hayo yanatajwa...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Trump's CIA chief in secret meeting with North Korean leader: U.S....
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Mzuqa wanajamvi! NI hatarii sana aisee. Kifaa kipya cha former president Jacob Zuma ni balaa. Toto la kizulu lenye umbo la kibantu yani Sheeeda halaf bado ni bikra, Zuma weee mbayaa. Dah kuna...
6 Reactions
42 Replies
8K Views
Mtazamo wa Trump wa kibabe na shinikizo kwa Korea ya kaskazini kwenye mazungumzo yao yanayotarajiwa, dunia isitegemee mafanikio kama tuliyoyashuhudia Jana kati ya Kim na Moon! Msikie Trump...
6 Reactions
13 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…