Gina Haspel, Mwanamke wa Kwanza Kuongoza CIA

Tissaphernes

JF-Expert Member
Mar 27, 2018
2,903
3,552
Amefanya kazi CIA kwa miaka 33
Anajulikana kama mwanzilishi wa water boarding
Maisha yake hayajulikani yaani ni classified
Aliolewa na kuachika na Haspel aliyekuaa Mwanajeshi

Hatumii mtandao wowote,

Maisha yake hayajulikani maana yeye kama Deputy Director wa CIA anahusika na classified information

Amezaliwa Kentucky

Baba yake alikuwa Mwanajeshi Air force

Trump anampenda maana anaamini katika torture kama Gina

Aliamrisha kupotezwa kwa mafaili yote ya mateso

Ndiye most qualified maana katokana na wao na ndiye pekee kutokea ndani, wengi hawakuwa operators
 
Sema hawa wamarwkani bana..kuna vitu wanafanya vinawafanya wawe na umoja sana...mfano hii nafasi mtu mpaka anahojiwa na wabunge na wanaweza wakamkataa..hii nzuri sana...
Na sisi hii ingekuwepo ingekua safi sana..wateuliwa wa nafasi kubwa na muhimu katika taifa wangekua wanahojiwa bungeni tena live
 
Amefanya kazi CIA kwa miaka 33
Anajulikana kama mwanzilishi wa water boarding
Maisha yake hayajulikani yaani ni classified
Aliolewa na kuachika na Haspel aliyekuaa Mwanajeshi

Hatumii mtandao wowote,

Maisha yake hayajulikani maana yeye kama Deputy Director wa CIA anahusika na classified information

Amezaliwa Kentucky

Baba yake alikuwa Mwanajeshi Air force

Trump anampenda maana anaamini katika torture kama Gina

Aliamrisha kupotezwa kwa mafaili yote ya mateso

Ndiye most qualified maana katokana na wao na ndiye pekee kutokea ndani, wengi hawakuwa operators
Duh Gina huyu huyu nayemjua mim au?
 
Ma Liberal wamemkomalia sana kuhusu water boarding,Sen.Ms Harris ana maswali ya kuudhi sana.
 
Back
Top Bottom