Taarifa isiyothibitishwa kuwa Ndege ya Jeshi la Israel iliingia katika anga ya nchi ya Lebanon ndipo Urusi ikanyanyua ndege yake na kufukuza ndege ya Israel kwa kuisindikiza hadi anga lake...
Rwanda imetetea dili lake la udhamini kwa timu ya Arsenal dili ambalo litashuhudia wachezaji wa timu hiyo wakivaa beji inayoshawishi watalii kutembelea Rwanda.
Katika utetezi wake nchi hiyo ya...
Wahanga wa kujitoa kufa, wamevamia makanisa matatu nchini Indonsia na kuyalipua kwa mabomu.
Milipuko hiyo imetokea katika mji wa pili kwa ukubwa nchini humo wa Surabaya na kusababisha vifo vya...
Msikiti Mkubwa katika Jiji la Manchester wagoma kuuzika na kujihusisha na mazishi ya kijana aliyefanya shambulio lililouwa watu 22 na kujeruhi wengine wengi. Mpaka sasa taarifa zinasema mwili wa...
imeandikwa na Russia Today(RT)
jeshi la anga la israel limesema kuwa ndege zake za kisasa toka marekani F-35 zimeshatumika katika operation mbili tofauti mashariki ya kati, hayo yamesemwa na...
Double Standard!!!
After Assad nearly destroyed Palestinian camp "Al-Yarmouk" in Syria, his soldiers came to steal their belongings.
Since Israel is not involved, I guess the UN will not condemn...
Ni nia ya kiongozi wa Korea Kaskazini, Kim Jong-un kuwa mkutano kati yake na Rais wa Marekani Donald Trump uendelee, imeeleza taarifa ya vyombo vya habari vya Korea Kaskazini.
Hii ni kutokana na...
IRELAND imepitisha kwa asilimia kubwa kura ya maoni ambayo inaondoa sheria kali za kutoa mimba katika Taifa hilo la Kikatoliki.
Waziri Mkuu Leo Varadkar, ambaye aliunga mkono kura hiyo ya maoni...
Kwenu Timu Trump!
Marekani yasisitiza kuiadhibu Korea Kaskazini Muda wowote kabla ya 2018
Tumebakiwa na siku 11 kuisha 2017 lakini hatujawaona kuingiza pua zenu NK zaidi ya kupiga push-up na...
Marekani imeyataka mataifa yote kukatiza uhusiano wa kidiplomasia na ule wa kibiashara na Korea Kaskazini baada ya taifa hilo kufanyia jaribio la kombora lake la masafa marefu.
Akizungumza katika...
Original article Why the World May Be Safer with More Nuclear Weapons imeandikwa na Big Think Editors ifuatayo ni sehemu ya translation yake:
US yafanya jitihada kuzuia silaha za nyuklia...
JINSI MBINU ZA KIJASUSI ZILIVYOMPAISHA GINA KUONGOZA CIA
SHIRIKA la Kijasusi la Marekani, CIA la mjini Virginia, limeandika historia mpya ya kuongozwa na mwanamke, Gina Haspel, mwenye umri wa...
Gwiji la filamu za Hollywood, Robert De Niro amempiga marufuku Rais wa Marekani Donald Trump kuingia katika migahawa ya Nobu popote duniani. De Niro ni mbia wa Nobu Restaurants toka mwaka 1993...
"Ikiwa Marekani inataka kuishi kwa salama, ni lazima iache sera yake ya uadui kuelekea NK na kujifunza kuishi pamoja na nchi (NK) ambayo ina silaha za nyuklia na inapaswa iachane na ndoto zake za...
Hayo ni maneno ya uongozi wa Korea Kaskazini katika joto la wababe hawa linaloendelea kupanda kila kukicha.
"Tumejiandaa vizuri kwa chochote kitakachotoka kwa Marekani."
Haya yanatokea wakati...
Rais Donald Trump amefuta mkutano wake na kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jon-un uliokuwa umepangwa kufanyika June 12.
Akiandika katika barua aliyomuandikia kiongozi huyo wa Korea Kaskazini, rais...