MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,797
- 72,033
Marekani,
Moja ya Taifa la kipekee sana hapa duniani. Mbali na Ujinga wao mwingi lakini ni nchi yenye furaha sana na uhuru mwingi: Hili hata maadui wa Marekani wanalijua, Marekani ni nguvu zote zile lakini ni nchi ambayo huwezi kuona viongozi wao wanajiona Miungu watu. Uungwana na kuwa na nguvu sana lakini bado ukaishi kama mtu asiye na nguvu.
Hili linashangaza sana kwasababu kuna video ya Parody ya wimbo wa Drake Donald Trump alikuwa anaoimba na kufanya vituko kabla hajawa Raisi wa nchi. Mbali na vituko vyote vile bado wamarekani wakamchagua kuwa Raisi. Hivi unahisi Raisi wetu anaweza akacheka na kutaniana na watu hivi ???? Hebu angalia Video kuanzia Dakika ya 1:33..