Maandalizi ya Mkutano wa kilele kati ya maraisi wawili ambao uhasimu wao ulipamba moto katika siku za karibuni Donald Trump wa Marekani na Kim Jong Un wa Korea ya Kaskazini yamekamilika kwa kiasi...
Raisi wa Korea ya Kaskazini Kim Jong Un amewasili rasmi nchini Singapore kwa ajili ya mkutano wa kilele unaotarajia kufanyika kati yake na Raisi wa Marekani Donald Trump.
Wawili hawa...
D.Trump yuko njiani kuelekea Singapore kukutana ana kiduku Kim Jong Un, nchi ya Korea Kaskazini ina watu kama milioni 25 na ushehe tu, TZ yetu ni kubwa mara 8 ya Korea Kask., imewekewa vikwazo na...
Trump hosts first iftar dinner
BY BRETT SAMUELS
TWEET SHARE MORE
on Wednesday hosted his first iftar dinner to celebrate the Muslim holy month of Ramadan.
During the dinner, Trump extolled...
Mkutano wa G7 wakumbwa na tofauti kati ya Trump na washirika wake
Mazungumzo katika mkutano wa mataifa yalioendelea kiviwanda dunia G7 yanayofanyika nchini Canada yameshindwa kutatua tofauti...
Mbunge wa Manispaa ya Arua nchini Uganda (MP), Ibrahim Abiriga ameuawa kwa kupigwa risasi karibu na nyumba yake huko Mattuga Wilaya ya Wakiso.
Alidaiwa kupigwa risasi na watu wawili waliokuwa...
Pyongyang, Korea Kaskazini. Kiongozi mkuu wa Korea Kaskazini Kim Jong Un anatarajiwa kuwasili leo nchini Singapore kwa ajili ya mkutano wa kihistoria kati yake na Rais Donald Trump wa Marekani...
TEHRAN (Reuters) - Iran's military has shot down a U.S. reconnaissance drone aircraft in eastern Iran and has threatened to respond to the violation of Iranian airspace, a military source told...
Simu hiyo yaitwa "Phurun hanul H1" (Blue sky) smartphone imezinduliwa mwezi uliopita ktk 21st Pyongyang Spring International trade Fair.
Specifications:
“5.5-inch display with high-resolution...
wanasayansi wa kichina wamefanikiwa kulima na kuvuna jangwani huko dubai kwa kutumia maji ya chumvi baharini.
Wamevuna kutoka kwenye heta moja tani 7.5 wakati wastani wa dunia kwa hekta huwa ni...
Mwenye utaalam wa diplomasia atujuze.
Naangalia Tv~CNN, Rais Xi Ping hakupokewa na Rais Trump uwanjani, kwa nini?
Sisi hapa nchini marais wa nje wanapokewa na rais wetu.
Nimeona ni kawaida nchi...
Rais wa Marekani Donald Trump ametoa wito mpya wa kuirudhisha Urusi katika kundi la mataifa yaliostawi zaidi kiviwanda duniani, licha ya kukumbana na upinzani mkali kwa pendekezo lake kutoka kwa...
Today, IDF aircraft dropped these leaflets (in Arabic) throughout Gaza, once again warning Gazans against approaching the security fence, damaging it, carrying out acts of terror, or serving as...
Malkia Elizabeth anasherehekea siku ya kuzaliwa kwake ya 92 siku ya Jumamosi ambapo atasherehekea kuongeza miaka yake na mwaka mmoja zaidi.
Alifikia umri wa miaka 92 namo mwezi Aprili.
Lakini...
An Oxford University medical student who avoided jail after stabbing her boyfriend with a bread knife has lost an appeal against her suspended sentence.
Lavinia Woodward, 25, attacked her then...
Mchungaji wa Afrika Kusini Alfred Ndlovu (44) amefariki baada ya kufunga usiku na mchana kwa siku thelathini akitaka kuvunja rekodi ya Yesu Kristu aliyefunga siku 40 usiku na mchana bila kula wala...
Yule Mtangazaji Mahiri wa Radio nchini Misri kwa wale tunaomkumbuka kipindi kile cha Vita ya nchi za Jumuiya ya Kiarabu dhidi ya Taifa la Israel amrfariki Dunia akiwa na Miaka 93.
Mtangazaji...