Mlaleo
JF-Expert Member
- Oct 11, 2011
- 16,379
- 13,198
Yule Mtangazaji Mahiri wa Radio nchini Misri kwa wale tunaomkumbuka kipindi kile cha Vita ya nchi za Jumuiya ya Kiarabu dhidi ya Taifa la Israel amrfariki Dunia akiwa na Miaka 93.
Mtangazaji huyo Bwana Ahmed Saidi alitangaza ushindi mkubwa wa Misri dhidi ya Israel pale alipotangaza kuwa vikosi vya Wamisri vimekaribia kabisa mji wa Tel Aviv na kusema Ndege za Misri zimeangusha Ndege zote za Israel wakati ukweli wenyewe Ndege za Misri ziliteketezwa kwenye uwanja wa Ndege tena zikiwa barabarani uwanjani aibu kubwa. na pia Vikosi vya Misri vikiwa vimezingirwa mduara katika Sinai huku wakiwa hawana risasi na wala maji ya kunywa...
Bwana Ahmed aliyefariki Jumatatu iliyopita alikuwa akifanya kazi kwenye Radio sauti ya waarabu, Radio ya Mjini Cairo iliyokuwa ikitumiwa na Raisi wa Misri Bwana Gamal Abdel Nasser kuamsha ari kwa Mataifa ya Kiarabu.
Bwana Ahmed Saidi alizaliwa Cairo Mwaka 1925 na alisoma katika chuo kikuu cha Cairo na alipata Digree ya Sheria, alistaafu utangazaji Mwezi September mwaka 1967, Miezi mitatu tu baada ya Vita ya siku sita ya Mataifa kibao ya Waarabu dhidi ya Taifa Moja la Israel pekee.
Vita hiyo ilisaidia Israel kuweza kuteka na kurejesha Maeneo muhimu kabisa ya Historia kama Taifa, Ukanda wa Gaza na Peninsula ya Sinai kutoka kwa Misri, West Bank na Jerusalem Mashariki kutoka mikononi mwa Nchi ya Jordan na Pia Nyanda za juu za Golan kutoka chini ya Utawala wa Syria. Baadae Israel iliweza kuirejesha Sinai kwa Misri baada ya Makubaliano ya Amani yaliyopo hadi leo hii...
Bwana Ahmed Saidi alizikwa jumanne siku ya Kusheherekea kumaliza kwa vita baada ya Miaka 51 kupita.
Huyu Mtangazaji R.I.P kwa Sheria za Tanzania angefunguliwa kesi ya Uchochezi!
Israeli supplies are air dropped to troops in the Sinai, June 1967AP
Egyptian Broadcaster Who Claimed Victory Against Israel in 1967 Buried on War's Anniversary
Ahmed Said, who claimed Egyptian troops had reached Tel Aviv when they had actually suffered a crushing defeat in the Six Day War with Israel, dies at age 93
The Associated Press and Haaretz Jun 05, 2018 6:14 PM
The radio announcer who claimed Egyptian troops had reached Tel Aviv when they had actually suffered a crushing defeat in the Six Day War with Israel has died at the age of 93.
Ahmed Said, who died Monday, worked for the Voice of the Arabs, a Cairo-based station used by Egyptian President Gamal Abdel Nasser to whip up Arab nationalism.
During the 1967 war, Said told listeners that Egypt had shot down dozens of Israeli warplanes. In reality, Israel had destroyed nearly all of Egypt's air force on the tarmac.
Said was born in Cairo in 1925 and had a degree in law from Cairo University. Said resigned from Voice of the Arabs in September 1967, 3 months after the Six Day War.
In just six days, Israel captured the Sinai Peninsula and Gaza from Egypt, the West Bank and east Jerusalem from Jordan, and the Golan Heights from Syria.
Said was buried Tuesday, the 51st anniversary of the start of the war.