masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,173
- 13,776
Mwenye utaalam wa diplomasia atujuze.
Naangalia Tv~CNN, Rais Xi Ping hakupokewa na Rais Trump uwanjani, kwa nini?
Sisi hapa nchini marais wa nje wanapokewa na rais wetu.
Nimeona ni kawaida nchi za magharibi marais wao hawana kawaida kuwapokea marais wa nje.
Ni dharau au tuseme vipi.
Watu wa protokali tafadhali.