Brexit Secretary David Davis has resigned from the UK government
His resignation comes days after Theresa May secured the cabinet's backing for her Brexit plan despite claims from Brexiteers it...
At least 100 people are thought to have died after record rainfall caused flooding and landslides in western Japan, a government spokesman says.
More than 50 others are believed to be missing...
Hebu fikiria maisha ya watu zaidi ya mil.195 kwenye nchi ambayo kipato chake kwa mgawanyo hakizidi dola 1 kwa siku huku ukubwa wake ni kama Egypt au Tanzania tu.
Maisha ya sie waafrika mungu tu anajua
Majuzi niliandi habari ya kukombolewa mji wa Daraa pamoja na viunga vyake,mpaka kwenye mipaka ya Jordan kutoka katika mikono ya waasi wa Syria na nikajiuliza what next.Leo Spunik news wametuweka...
Serikali yatoa amri mpya ya kuwafukukuza kazi takribani watumishi wa umma 18,500
Amri hiyo itawagusa Askari wa Jeshi la Polisi, Wanajeshi na watumishi wa taasisi za elimu
Kwa mujibu wa taarifa...
Hospitali za umma zaishiwa dawa za uzazi wa mpango huku msemaji wa Wizara ya Afya akitupa lawama kwa Halmashauri kwa kushindwa kuweka kipaumbele katika ununuzi wa dawa
Asema Wizara haina jukumu...
Rais Maduro alitaka jeshi la Venezuela kujiweka tayari kukabiliana na njama za Donald Trump
Rais Nicolás Maduro wa Venezuela amelitaka jeshi la nchi hiyo kujiweka tayari kwa ajili ya kukabiliana...
With laughter and hugs, the leaders of longtime rivals Ethiopia and Eritrea met for the first time in nearly two decades Sunday amid a dramatic diplomatic thaw
Ethiopia's reformist new Prime...
Kutafuta wavulana wa pango wa Thai na kuwatoa nje imekua kizungumkuti wasema waokoaji.
Wavulana kumi na wawili na kocha wao wa mpira wa miguu ambao wamenasa kwenye pango la Thai, kwa sasa...
Takribani polisi 2,000 kaskazini mashariki mwa Nigeria, eneo linalokabiliwa na machafuko ya kundi la Boko Haram, wameandamana Jumatatu wiki hii wakidai malipo ya mishahara yao. Duru za kuaminika...
Mganga mmoja nchini Nigeria amefariki baada ya mteja wake kujaribu iwapo ana nguvu za kuzuia risasi kuingia mwilini mwake kama alivyodai.
Chinaka Adoezuwe , 26, aliuawa baada ya kumuagiza mteja...
SWAZILAND: Mfalme Mswati wa III amebadili jina la nchi hiyo kutoka Swaziland kuwa eSwatini wakati wa sherehe za miaka 50 ya utawala wa kifalme wa nchi huo
=====
Swaziland's King Mswati III has...
Thank you Lord, for some time no Tanzanian who exited from a Tz airport has been arrested at HK airport for drug trafficking, but there have been a few who left from other places, like this woman...
India imetangaza kwamba inatarajia kupunguza kwa kiasi kikubwa au kuacha kabisa kununua mafuta toka Iran.
Hii ni baada ya shinikizo kubwa toka Marekani kuzitaka nchi zote pamoja na kampuni...
Rais huyo aliyeshinda uchaguzi amesema kuzungukwazungukwa na walinzi kutamfanya awe mbali na wananchi wake.
“I don’t want bodyguards, which means the citizens will take care of me and protect...
Mnada unafanyika nchini Afrika Kusini wa kutoa fursa kwa watu kuweza kulala kwa siku moja kwenye jela alimofungwa rais wa kwanza mweusi nchini humo Nelson Mandela huko Robben Island.
Shirika moja...
Waziri Mkuu wa zamani wa Pakistani, Nawaz Sharif ahukumiwa kwenda jeda miaka 10
Nawaz Sharif alikuwa akikabiliwa na mashtaka ya rushwa
=====
A Pakistani court has sentenced former Prime...
Watu 7 wamefariki wakiwemo wanajeshi 4 wa Uganda katika mapigano kwenye ziwa Edward kati ya vikosi kutoka Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo na Uganda, kwa mujibu wa afisa wa Congo aliyenukuliwa na...
IRAN yaishutumu ISRAEL kwa kuiba mawingu yanasababisha mvua kiasi kwamba nchi ya Iran inakabiriwa na baridi kali pamoja na tishio la nchi hiyo kugeuka jangwa.
Kila mvua inapotanda kutaka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.