International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

"Today in Brussels, President Donald J. Trump made it perfectly clear: the U.S. taxpayer is not, and no longer going to be, Europe's ATM machine." —Sean Hannity Hannity on NATO: Germany Could...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Leo juma tano, afisa wa US ametupilia mbali madai ya Trump kuwa NK imeshatuma mabaki ya wanajeshi wa US waliouawa ktk vita vya Korea. Afisa huyo kasema itachukua miaka kadhaa kutambua mifupa ya...
1 Reactions
1 Replies
954 Views
Trump kashushuliwa na mwalimu mstaafu wa lugha ya 'malikia wa Uingereza', Mwalimu huyo kamweleza Trump ana kiingereza kibovu kama cha TUJITEGEMEE (tunasemwa sana eti sisi waswahili hatuji...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Syria yajibu mashambulizi mapya ya Israel huko Guneitra Shirika la habari la serikali ya Syria SANA limesema, Jeshi la anga la Syria limejibu mashambulizi mapya yaliyofanywa na Israel dhidi ya...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Kinachoonekana kwa sasa mambo mengi hayaendi kwa hawa watu wanaojifanya wao ndo maaskari wa hii dunia kuwa wakisema geuka kulia basi tunageuka, pinda kushoto nasi tunapinda, songa mbele hatua...
3 Reactions
15 Replies
2K Views
Gavana wa mji wa Veracruz nchini Mexico Miguel Angel amewataka Polisi katika mji wake kuanza kutumia manati kukabiliana na wahalifu badala ya kutumia bunduki Imeelezwa kuwa Gavana Miguel...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Miaka karibia 20 akiwa madarakani, Vladmir Putin huwa hana ziara za kiserikali barani Afrika tofauti na mataifa mengine makubwa ya dunia kama China na Marekani. Je ni huwa kinamfanya Putin...
4 Reactions
80 Replies
9K Views
Baada ya kupokea ndege mpya aina ya Air bus mwezi wa tisa mwaka huu,shirika la ndege la Rwanda limepokea ndege nyingine mpya aina ya Boeng 738-800 kizazi kipya yenye kubeba abiria 154...
2 Reactions
168 Replies
30K Views
UINGEREZA: Waziri wa Mambo ya Nje, Boris Johnson ametangaza kujiuzulu wakati nchi hiyo ikiwa kwenye mgogoro uliozuka katika utekelezaji wa mpango wa kujiondoa kutoka katika uanachama wa Jumuiya ya...
1 Reactions
36 Replies
4K Views
Mnamo tarehe 23 June Vijana 12 wachezaji wa mpira wa miguu pamoja Mwalimu wao walipotelea kwenye mapango maarufu Tham Luang yaliyopo kwenye mkoa wa Chiang Raihuko nchini Thailand. Waokoaji...
2 Reactions
29 Replies
6K Views
Wasichana 16 kutoka mikoa ya Burundi waliokuwa wamefika kwenye fainali ya mashindano ya kumteua msichana mrembo Burundi (Miss Burundi) wamejiondoa katika shindalo hilo. Hatua hiyo sasa inaonekana...
1 Reactions
16 Replies
3K Views
Hatimae Ile timu ya Vijana 12 na Kocha wao walionasa kwenye handaki kwa siku 12 wameanza kuokolewa leo ambapo vijana Wanne wameshaokolewa hadi sasa. Hali ya hewa ni Mbaya na pango linaendelea...
8 Reactions
52 Replies
6K Views
Mtoto wa umri wa miaka miwili nchini Marekani amefariki baada ya kujipiga risasi kichwani kwa bunduki ambayo imekuwa ikihifadhiwa na wazazi wake nyumbani kwao. Polisi wa Houston, Texas wanasema...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Rais Alassane Ouattara avunja Serikali kufuatia mgogoro ulioibuka kati ya vyama viwili vilivyoungana kuunda Serikali Waziri Mkuu, Amadou Gon Coulibaly ateuliwa tena ili aunde Serikali mpya...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
*LIVINGSTONE HOTEL* Kwa Mahitaji yako ya Hotel Nzuri yenye hadhi ya Kimataifa ndani ya *Bagamoyo* Karibu *Livingstone Hotel* Ukutane huduma bora za Kihotel kutoka kwa staffs wetu wenye *Weledi*...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Huenda limetolewa kutoka Kombe la Dunia, lakini taifa la Sweden limetuacha na mambo ya kushangaza. Umewahi kuyasikia haya kuhusu Sweden? 1. Kila mmoja anaruhusiwa kukwea jukwaa harusini. Atakaye...
2 Reactions
9 Replies
6K Views
Hawa wenzetu sometimes sijui vipi wanakua aggressive kupitiliza, bado nafuatilia mkasa uliowakumba vijana 13 waliokwama pangoni kwa zaidi ya wiki mbili Je walifuata kitu gani Mule? Mungu awape...
0 Reactions
29 Replies
3K Views
Mgombea Useneta California John Fitzgerald: Kadhia ya Holocaust ni ya kubuni tu John Fitzgerald, mmoja wa wagombe wa kiti cha jimbo la California katika Baraza la Wawakilishi la Seneti nchini...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Marekani Imesema malengo yake ni kuwa na Nchi Nyingi ambazo zitaweza kushusha Usafirishaji wa Mafuta ya Iran. Lakini Mamlaka hizo za Washington zinapanga Shinikizo katika Serikali ya Tehran...
2 Reactions
25 Replies
3K Views
Back
Top Bottom