Gwanggaeto the Great
JF-Expert Member
- Apr 14, 2018
- 901
- 1,937
Marekani Imesema malengo yake ni kuwa na Nchi Nyingi ambazo zitaweza kushusha Usafirishaji wa Mafuta ya Iran.
Lakini Mamlaka hizo za Washington zinapanga Shinikizo katika Serikali ya Tehran, Shinikizo ambalo litapelekea Mazungumzo bora kuliko yale ya 2015.
State Department and Planning Policy Brian Hook amesema "Nchi ya Kawaida Haiwezi kuyatia Hofu Mataifa mengine na Makombora ambayo ni Hatari, yote yanafanyika huku watu wake wana hali duni, mpango wa sasa si Kuibadili Serikali bali ni Kukinza na Tabia za Viongozi wa Iran dhidi ya Watu wake.
Al Jazeera.