Trump:Fedha Za Walipa Kodi Wa Marekani Haziwezi Kuwa ATMs Za Nchi Za Ulaya

China huwa wapigaji tu.Hakuna taifa lililowahi kufanya biashara na China likafaidika.Wahamie kwa mchina waone!
Swaga hizo...bado China hajapata fursa hiyo, ajitoe basi US EU,China aingie Kama haujawa mwisho wa Us....usizifananishe nchi za ulaya na Afrika yako iliyojaa wajinga na wapigaji...China anapiga kwa viongozi wenu wa Afrika wasiojielewa wanatawala kwa faida ya matumbo yao..
 
Marekani mwisho wake unakuja, anafikir Urusi ndo Iran, kulazimisha washirika wake wasinunue mafuta ya Irani na wakaitia wito....
 
Back
Top Bottom