IVORY COAST: Rais Alassane Ouattara avunja Serikali

IVORY COAST: Rais Alassane Ouattara avunja Serikali

Kurzweil

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2011
Posts
6,622
Reaction score
8,427
Rais Alassane Ouattara avunja Serikali kufuatia mgogoro ulioibuka kati ya vyama viwili vilivyoungana kuunda Serikali

Waziri Mkuu, Amadou Gon Coulibaly ateuliwa tena ili aunde Serikali mpya

Mgogoro wa kisiasa nchini humo umeanza kufukuta upya wakati nchi hiyo ikielekea kwenye uchaguzi Mkuu 2020

Nia ya Rais Ouattara kugombea kwa muhula wa 3 inapingwa huku yeye akisema kuwa kwa mujibu wa Katiba iliyofabyiwa marekebisho 2016 anapewa Uhuru wa kuwania tena kiti cha Uraia

=======

Ivory Coast President Alassane Ouattara dissolved the government on Wednesday, according to a statement from the presidency, amid tensions with his party's partner in the governing coalition.

Prime Minister Amadou Gon Coulibaly was re-appointed to form a new government. The rest of the government, including the key posts of finance and defence minister, remains vacant.

Ivorian politics is historically volatile, marked by conflicts over land and ethnicity.

The country was divided for nearly a decade between a government-controlled south and rebel-held north. A dispute over Ouattara's first election victory in 2010 led to a civil war that killed some 3,000 people.

Political tensions are rising again before a 2020 election. Constitutional term limits appear to prevent Ouattara from standing for a third term, but he said last month that he is free to run again under a new constitution approved in 2016

Ouattara won a run-off in 2010 and re-election in 2015, thanks partly to the backing of former President Henri Konan Bedie's PDCI party, whose members serve in the government.

But the two sides have fallen out over the PDCI's insistence that Ouattara back a candidate of its choosing in 2020. The PDCI last month rejected the idea of a joint ticket, after Ouattara's RDR party refused to allow the PDCI to choose the candidate.

Julien Kouao, an Ivorian political analyst, said Ouattara was trying to consolidate his position within his own RDR party as the RDR and PDCI move toward fielding separate candidates.

"Ouattara wants ... to have a strong political instrument to consolidate not only the peace obtained since 2011 but also to assure his political ambitions to run in 2020 or to field a candidate on his behalf," Kouao told Reuters.
 
Huyu si ndio yule alipewa msaada na Ufaransa wa kumpindua mwenzake aliekua ameng'ang'ania madaraka kumbe nae kipindi chake kiliisha na kuamua kufanya marekebisho ya katiba. Waafrika tyna matatizo makubwa sana hasa ya urafi wa madaraka.

Siamini kama amekuwa mwepesi wa kusahau kwa kiasi hiki, hajui kama nae yanaweza kumkuta kama yaliyomkuta mwenzake au kwa vile ana mke mfaransa ndio maana anapata kiburi
 
Huyu si ndio yule alipewa msaada na Ufaransa wa kumpindua mwenzake aliekua ameng'ang'ania madaraka kumbe nae kipindi chake kiliisha na kuamua kufanya marekebisho ya katiba. Waafrika tyna matatizo makubwa sana hasa ya urafi wa madaraka.

Siamini kama amekuwa mwepesi wa kusahau kwa kiasi hiki, hajui kama nae yanaweza kumkuta kama yaliyomkuta mwenzake au kwa vile ana mke mfaransa ndio maana anapata kiburi
Madaraka matamu mkuu.
 
Back
Top Bottom