International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Jeshi la Syria likishirikiana na Russia wamefanikiwa kuukomboa mji wa Dara'a,ambao unapakana na Golan Height..Chanzo televition ya taifa ya Syria;SANA,, My Take;what next.
8 Reactions
140 Replies
15K Views
Takriban watu 40 wamefariki dunia kufuatia mafuriko yaliyosababishwa na mvua nyingi katika jimbo la Katsina, kaskazini mwa Nigeria. Maafisa nchini humo wamesema mafuriko hayo yametokea katika...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Watu 19 wamefariki dunia huku wengine 25 wakiendelea kutafutwa baada ya boti iliyokuwa imewabeba wahamiaji 150 kuzama nje ya pwani ya Kaskazini mwa nchi hiyo Kikosi cha ulinzi wa pwani cha...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Baada ya muda Mrefu na kuingia gharama kubwa kwenye kuibuni ndege ya kisasa Aina ya Su-57 ambayo ilitarajiwa kua mpinzani mkubwa wa F-22 Raptor na F-35 za Marekani hatimae Urusi yakubali kushindwa...
2 Reactions
34 Replies
7K Views
Vyombo vya habari vya taifa nchini Uturuki vimetangaza kwamba serikali imeondoa hali ya hatari iliyowekwa nchini humo kufuatia mapinduzi yaliyoshindwa miaka miwili iliyopita. Katika kipindi hicho...
1 Reactions
0 Replies
644 Views
Former President Obama's full speech in South Africa
0 Reactions
0 Replies
712 Views
Nchini Iran ambapo sheria za dini ya kiislamu ndio hutumika, kuna jamaa amepokea kichapo cha viboko kama adhabu kwa kitendo alichokifanya miaka kumi iliyopita, kitendo hicho kilikua unywaji wa...
2 Reactions
1 Replies
983 Views
Mwanamuziki maarufu wa muziki wa dansi kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, Koffi Olomide azuiwa kuingia nchini Zambia kutokana na tuhuma za kumdhalilisha mwanahabari nchini humo Koffi...
2 Reactions
9 Replies
3K Views
Hawa watu ni balaa, wanamshambulia D.Trump ktk kila kona, mpaka sasa hivi wamejaribu kila kitu kumshitaki wamuondoe kwenye Uraisi wameshindwa, sasa kilichobakia watamtungua tu, Wazungu ni evil...
13 Reactions
47 Replies
5K Views
Rais wa Tanzania John Pombe Magufuli ameibuka mshindi wa tuzo ya Afrika katika masuala ya uchumi. Makamo mwenyekiti wa kamati ya tuzo ya ukombozi Afrika, Mwebesa Rwebugia ameieleza BBC kwamba...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
UTANGULIZI Tanzania yetu hii ya leo, Tangu imezaliwa mwaka 1964 imepitia vipindi tofauti tofauti ambavyo kwa namna moja au nyingine vimeweza kuathiri sana mwelekeo wake wa kiuchumi, Kisiasa na...
16 Reactions
21 Replies
4K Views
Wanakijiji wakiwa na visu, mapanga na nyundo wawaua Mamba takribani 300 ikiwa ni hatua ya kulipiza kisasi baafa ya Mwanakijiji mwenzao kuuawa na Mamba Mwanaume huyo mweye umri wa miaka 48...
0 Reactions
20 Replies
5K Views
Kiongozi wa Upinzani Zimbabwe NELSON CHAMISA ameapa kuwa atalibadilisha jina la nchi hiyo na kuwa "Great Zimbabwe" akieleza kuwa jina la sasa la nchi hiyo lina 'laana', kwa mujibu wa mtandao wa...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Rais wa Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo joseph Kabila amefanya mabadiliko katika jeshi la serikali ya nchi hiyo, FARDC ambapo baadhi ya maafisa waliokuwa kwenye usimamizi wa jeshi la Polisi...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Marekani imechukua tena taji lake kwa kua na kompyuta ya kasi zaidi Duniani kwa kuipiku China. Taji hilo lilikua likishikiliwa na China tangu mwaka 2013 kwa kuipiku Marekani kwa kua na Kompyuta...
6 Reactions
51 Replies
6K Views
NEW DELHI, INDIA: INDIA: Mahakama ya Juu iko mbioni kuhalalisha mpenzi ya jinsia moja kama hatua moja ya kulinda haki za binadamu > Jopo la mawakili wanaowakilisha kundi la watu wanaojihusiha na...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Serikali ya Uganda imechukuwa hatua yakurekebisha sheria ambayo hivi karibuni ilianzisha kodi ya miamala ya kwenye simu na matumizi ya mitandao mingine ya kijamii. Hatua hii inachukuliwa Jumatano...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Bunge la Sudan kusini limepiga kura jana (12.07.2018) kurefusha muda wa rais Salva Kiir kubakia madarakani hadi mwaka 2021,amesema spika wa bunge, hatua ambayo inadhoofisha mazungumzo ya amani na...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Aliyekuwa makamu wa rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo Jean Pierre Bemba ambaye mwezi uliopita aliondolewa mashitaka ya uhalifu dhidi ya binadamu na uhalifu wa kivita na mahakama ya...
4 Reactions
9 Replies
2K Views
(Reuters) - U.S. President Donald Trump sat down with Vladimir Putin for a long-awaited summit on Monday saying he wanted good relations with Russia, after blaming Washington's own past...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…