Jeshi la Syria limeukomboa rasmi mji wa Dara'a.

Jeshi la Syria likishirikiana na Russia wamefanikiwa kuukomboa mji wa Dara'a,ambao unapakana na Golan Height..Chanzo televition ya taifa ya Syria;SANA,,
My Take;what next.
Wameukomboa kutoka kwa nani?
 
acha iran apande makombora yake hapo..yaani marekani akigusa tehran watu wanafanya umwagiliaji makombora tela aviv

Ndoto ya mchana Hivi unamuamini sanaà mrusi unaelewa mikataba kati ya mrusi na Yahudi?¿ hata hujiulizi hiki kimya cha Yahudi kina nini ndani yake!? Hata huoni mbwa anavyo kula mwanae
 
colabo ya mrusi na muiran unaijua!?..yahudi atampa nini mrusi azidi kile anachotoa iran?..

Tatizo chanzo chako kikuu cha kuujua dunia ni kile kitabu kilicho expire! wee hata hujui wataalam wengi Wa viwanda silaha vya mrusi ni Yahudi endelea kuamini adui wako mkuu kuliko shetani ni Yahudi
IMG_20180707_071120_563.jpg
 
naona unakipenda hicho kitabu..kinakupa vitu adhimu tofauti na stori za paulo aliyemiminwa
Walahi bilahi watalahi, Usipo MUAMINI PROF PAULO MTUME WA BWANA YESU...WEWE HUTANUSURIKA NI FINNAR JEHANNAM HALIDINA FIHA ABADAN hutoki humo tutubwi! Mimi namtumia hicho kitabu cha hadith kuwakaanga kwa mafutari yenu si zaidi ya hapo bro
 
ati mtume wa yesu..watu mnamtania mungu nyinyi!!..hebu weka ule msitari paulo anasema kaandika nyaraka hizo za biblia ili tu nae apate kujisifu nga kidogo..huyo paulo mwenyewe alikuwepo wakati wa yesu au hakuwahi hata kuiona sura yake
 
brother unapotezwa na mapokeo ya dini yako unayo iamini
Paulo ni mtume wa Yesu kati ya mitume wake , tena ni mtume wa mataifa amefanya kazi kubwa sana kuieneza injili ya Yesu has a nje ya mashariki ya kati hakupungukiwa na chochote walichokiwa nacho mitume yani wale thenashara 12 wa Yesu.
 
ati mtume wa yesu..watu mnamtania mungu nyinyi!!..hebu weka ule msitari paulo anasema kaandika nyaraka hizo za biblia ili tu nae apate kujisifu nga kidogo..huyo paulo mwenyewe alikuwepo wakati wa yesu au hakuwahi hata kuiona sura yake

Uwe unatafakari kidogo na sio kuwa na wazimu wa maswali
IMG_20180617_185103_489.jpg
hebu nikuulize wakati baba kassim yupo Hai alisoma Nyaraka za Paulo!; Hebu niwekee Ushahidi alipo mtaja vibaya Paulo tusiharibu huu uzi wa watu Tafadhali!
 
Back
Top Bottom