Nina wasiwasi na usalama wa Donald Trump!

Barbarosa

JF-Expert Member
Apr 16, 2015
22,584
27,786
Hawa watu ni balaa, wanamshambulia D.Trump ktk kila kona, mpaka sasa hivi wamejaribu kila kitu kumshitaki wamuondoe kwenye Uraisi wameshindwa, sasa kilichobakia watamtungua tu, Wazungu
ni evil people, watamuua D.Trump.

Mungu mlinde D.Trump, Trump ni mtu wa peace tangia ameingia hakuna vita, isis imeisha, boko haram hakuna, Vita Ethiopia- Eritrea imekwisha na wamepatana, hata Somalia Al -shabaab imepungua kama siyo kuisha, hata Stiegler Gorge yetu tutajenga hakuna wakutuingilia, Trump hataki na amekataa Siasa za kuingilia mambo ya ndani ya nchi nyingine, ...
 
Hawa watu ni balaa, wansmshambulia D.Trump ktk kila kona, mpaka sasa hivi wamejaribu kila kitu kumshitaki wamuondoe kwenye Uraisi wameshindwa, sasa kilichobakia watamtungua tu, Wazungu ni evil people, watamuua D.Trump.

Mungu mlinde D.Trump, Trump ni mtu wa peace tangia ameingia hakuna vita, isis imeisha, boko haram hakuna, Vita Ethiopia- Eritrea imekwisha na wamepatana, hata Somalia Al shabaab imepungua kama siyo kuisha, hata Stiegler Gorge yetu tutajenga hakuna wakutuingilia, Trump hataki na amekataa Siasa za kuingilia mambo ya ndani ya nchi nyingine, ...
Mbona North korea alikua anaingilia?
 
Hivi wewe una mke?? umeoa? una watoto??

Unaonekana kama zee fulani hivi lisilo na dira!!???
Umelipatia.

Lilishaleta mada humu kuwa limefanya Vasectomy na kwamba linaishi kimeLEMUTUZ likifa ndio basi halina mtoto yeyote wa kumhitaji wala kumlilia na likawa linataka na wengine nao wafanye!
 
Hawa watu ni balaa, wansmshambulia D.Trump ktk kila kona, mpaka sasa hivi wamejaribu kila kitu kumshitaki wamuondoe kwenye Uraisi wameshindwa, sasa kilichobakia watamtungua tu, Wazungu ni evil people, watamuua D.Trump.

Mungu mlinde D.Trump, Trump ni mtu wa peace tangia ameingia hakuna vita, isis imeisha, boko haram hakuna, Vita Ethiopia- Eritrea imekwisha na wamepatana, hata Somalia Al shabaab imepungua kama siyo kuisha, hata Stiegler Gorge yetu tutajenga hakuna wakutuingilia, Trump hataki na amekataa Siasa za kuingilia mambo ya ndani ya nchi nyingine, ...
Ni kweli mkuu nimejinza kitu kutoka kwa Trump Waafrika huu ndo muda wa kupigania maendeleo yetu Afrika,wauwaji wa kimya kimya Trump kawazimisha, yeye Yuko busy kuhakikisha Marekani uchumi wake unaimarika kutokana na Kodi mbalimbali tokea mataifa yafaidikayo kutokana na soko lao ktk nchi ya Marekani....Bigup Mawigi nimetokea kukubali ghafla baada ya uchambuzi wangu yakinifu juu ya matendo yako Trump...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom