International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Toka Israel iwachakaze mle mle ndani mwao nao wakarusha rusha vijigumi vya kuwapiga tumboni Israel. Jamaa wamekuwa wanyonge sana. Hawana raha kabisa. Na hali yao inazidi kuwa tete. Huwasikii...
1 Reactions
3 Replies
306 Views
Trump ni jiwe mtupu. Mkomunisti wa Jiji la New York anayejitangaza mwenyewe, Zohran Mamdani, ambaye anagombea nafasi ya Meya, atathibitika kuwa moja ya mambo bora zaidi kuwahi kutokea kwa Chama...
1 Reactions
3 Replies
263 Views
Rais wa Madagascar, Andry Rajoelina, amevunja serikali yake Septemba 29, 2025 kufuatia kuongezeka kwa maandamano yanayoongozwa na vijana dhidi ya uhaba mkubwa wa maji na umeme. Umoja wa Mataifa...
0 Reactions
2 Replies
369 Views
Kesi ya Waziri Mkuu wa zamani wa Mali, Moussa Mara, imeanza kusikilizwa Septemba 29, 2025 katika mahakama ya makosa ya kimtandao mjini Bamako. Mara anakabiliwa na mashtaka ya kudhoofisha heshima...
0 Reactions
0 Replies
185 Views
Kutokana na msimamo wa kisiasa wa Hispania kuhusu mgogoro wa Gaza na shutuma za ukiukaji wa haki za binadamu dhidi ya Israel. Serikali ya Hispania, chini ya uongozi wa Waziri Mkuu Pedro Sánchez...
5 Reactions
20 Replies
917 Views
Waandamanaji walirusha mawe kwa maafisa wa polisi wakati wa maandamano dhidi ya kukatika mara kwa mara kwa maji na umeme mjini Antananarivo mnamo Septemba 25, 2025. Jeshi la polisi lilitumia...
3 Reactions
14 Replies
780 Views
Waziri Mkuu wa India, Modi, ameukubali mpango wa Trump wa kumaliza vita Gaza, na kusema kuwa mpango huo umegusa mambo yote kwa kina, na hivyo wahusika wote wanatakiwa kuuunga mkono kwani mpango...
2 Reactions
9 Replies
304 Views
Hali ni tete mpaka sasa wameshauawa Watu 10 wakihofiwa ni Majasusi wa Israel Ndani Serikali ya Irani. kile kipigo kiliwaumiza sana Irani. Hawajaweza kukaa wakatulia mpaka sasa. Wanawaza na...
2 Reactions
2 Replies
227 Views
Baraza Kuu la Usalama la Kitaifa la Iran siku ya Jumamosi lilisema kuwa litasitisha ushirikiano na Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA) baada ya Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa...
1 Reactions
12 Replies
883 Views
Timu ya Israel-Premier Tech imetolewa mashindano ya Giro dell’Emilia yanayofanyika Bologna nchini Italia. Wabunge wa jiji la Bologna (mji unaoamalizikia mashindano hayo) ndio waliounga mkono...
5 Reactions
6 Replies
350 Views
Tang Renjian, Waziri wa zamani wa Kilimo na Mambo ya Vijijini wa China, amehukumiwa adhabu ya kifo iliyositishiwa kwa kosa la kupokea rushwa na mahakama ya mkoa wa Jilin siku ya Jumapili, kwa...
3 Reactions
10 Replies
637 Views
China na Urusi hawawezi kukuokoa na mkono wa Marekani Ukiwa na urafiki nao, siku kikiumana, watakuwa wanaishia kupiga kura ya veto tu UN na kulaani basi, ila kamwe huwezi kuwaona wakijitokeza...
4 Reactions
14 Replies
449 Views
Gaza flotilla ni msafara wa meli ulioandaliwa na wanaharakati wa kimataifa, mashirika ya kiraia, na watu binafsi wenye lengo la kupeleka misaada ya kibinadamu moja kwa moja kwa watu wa Gaza...
4 Reactions
3 Replies
393 Views
SIMBA ni simba Kama huwezi kushindana naye Bora utimue mbio Mtu mwenye uwezo kushindana naye huna haja ya kumkimbia Asilimia kubwa ya mataifa ya kiarabu Yana historia ya kuchapwa na Israel. Kwa...
4 Reactions
45 Replies
1K Views
Mbunge mpya wa Uingereza 🇬🇧 aliyechaguliwa huko Bradford George Galloway atangaza Jiji la Uingereza 🇬🇧 kuwa👇 "Eneo lisilo na Israeli 🇮🇱" "Tumetangaza Bradford kuwa eneo lisilo na Israel 🇮🇱...
6 Reactions
39 Replies
2K Views
James Comey mkuu wa zamani wa FBI ambaye katika kipindi chake Trump alichaguliwa rais kwa mara ya kwanza sasa atafikishwa mahakamani baada ya muendesha mashitaka chawa wa Trump aliyepachikwa muda...
3 Reactions
12 Replies
614 Views
Takribani watu 19, akiwemo afisa wa polisi, wamejeruhiwa katika maandamano makubwa ya kupinga serikali ya Rais wa Peru Dina Boluarte na Bunge, kwa mujibu wa mamlaka na wanaharakati wa haki za...
0 Reactions
1 Replies
198 Views
Idadi kubwa ya waandamaji zaidi ya 100,000 walijitokeza mjini Berlin wakipinga vita vya Gaza ,waandamanaji hao waliipa jina Together for Gaza Waandamanaji mashinikizo yao kwa serikali ni pamoja...
0 Reactions
0 Replies
305 Views
Sheria ya Ukuaji na Fursa ya Afrika (AGOA) ambayo imetekelezwa kwa miaka 25 inakaribia kumalizika tarehe 30 Septemba, lakini Marekani bado haijaamua iwapo itaongeza muda wake. Kutokana na hali ya...
0 Reactions
1 Replies
285 Views
Septemba 27, 2025 raia wa Gabon walipiga kura uchaguzi wa kwanza wa wabunge na wawakilishi serikali za mitaa ikiwa ni tangu mapinduzi ya kijeshi ya mwaka 2023 yaliyomaliza utawala wa kifamilia ya...
0 Reactions
0 Replies
166 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…