International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Jeshi la Ulinzi la Israel (IDF) pamoja na Shirika la Usalama wa Ndani (Shin Bet) wamesema kwamba Muhammad Rashid Muhammad Masri, aliyekuwa kamanda wa kikosi cha Nukhba katika Batalioni ya Beit...
0 Reactions
0 Replies
255 Views
Kanali (res.) Hezi Nehama, askari mkuu wa akiba wa IDF, alizuia shambulio ikwenye makutano ya Al Khader kwenye Njia ya 60 baada ya Kipalestina kuwashambulia vijana wawili wa Israel na kujaribu...
0 Reactions
0 Replies
199 Views
Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu leo amewapa Chemsha-Bongo baraza la Umoja wa Mataifa!!!!
5 Reactions
89 Replies
3K Views
Wakuu Sema linapokuja la kuwa serious na sheria, Serikali ya China kama iko serious sana. Yaani adhabu zinagaiwa kama pipi. Huku kwetu kuna wale watu wa tuma kwa namba hii wanaendelea kupeta tu...
0 Reactions
2 Replies
213 Views
Mahakama ya kijeshi DRC imemhukumu kifo aliyekuwa Rais Joseph Kabila, ikimtia hatiani kwa usaliti na uhalifu dhidi ya binadamu. Chama chake PPRD kimesema kesi hiyo ni ya kisiasa dhidi ya mpinzani...
0 Reactions
2 Replies
452 Views
Muda mfupi uliopita, Rais Trump na Waziri Mkuu Netanyahu, wameongea na waandishi wa habari kuhusu mpango wa kumaluza vita Gaza, wenye vipengere 20. Netanyahi amesema kuwa anaukubali mpango huo...
4 Reactions
47 Replies
2K Views
Mahakama ya kijeshi Nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, leo Septemba 30 imemuhukumu aliyekuwa Rais wa Nchi hiyo Joseph Kabila adhabu ya kifo baada ya kupatikana na hatia ya uasi na makosa...
1 Reactions
4 Replies
273 Views
Serikali ya Taliban nchini Afghanistan imezima huduma zote za mawasiliano, wiki chache baada ya kuanza kukata nyaya kuu za intaneti za 'fibre optic' Kwa sasa, nchi nzima iko gizani kimtandao, kwa...
4 Reactions
15 Replies
602 Views
Haya maneno mazito sana na ya kufikirisha. Ina maana Korea, Irani, Russia hawazioni kama ni Mataifa ya hatari kwao hawa Wachina? Huyu Benjamini ana jiamini nini mpaka kutaka tunishiana misuli na...
3 Reactions
4 Replies
356 Views
Toka Israel iwachakaze mle mle ndani mwao nao wakarusha rusha vijigumi vya kuwapiga tumboni Israel. Jamaa wamekuwa wanyonge sana. Hawana raha kabisa. Na hali yao inazidi kuwa tete. Huwasikii...
1 Reactions
3 Replies
305 Views
Trump ni jiwe mtupu. Mkomunisti wa Jiji la New York anayejitangaza mwenyewe, Zohran Mamdani, ambaye anagombea nafasi ya Meya, atathibitika kuwa moja ya mambo bora zaidi kuwahi kutokea kwa Chama...
1 Reactions
3 Replies
263 Views
Rais wa Madagascar, Andry Rajoelina, amevunja serikali yake Septemba 29, 2025 kufuatia kuongezeka kwa maandamano yanayoongozwa na vijana dhidi ya uhaba mkubwa wa maji na umeme. Umoja wa Mataifa...
0 Reactions
2 Replies
369 Views
Kesi ya Waziri Mkuu wa zamani wa Mali, Moussa Mara, imeanza kusikilizwa Septemba 29, 2025 katika mahakama ya makosa ya kimtandao mjini Bamako. Mara anakabiliwa na mashtaka ya kudhoofisha heshima...
0 Reactions
0 Replies
185 Views
Kutokana na msimamo wa kisiasa wa Hispania kuhusu mgogoro wa Gaza na shutuma za ukiukaji wa haki za binadamu dhidi ya Israel. Serikali ya Hispania, chini ya uongozi wa Waziri Mkuu Pedro Sánchez...
5 Reactions
20 Replies
917 Views
Waandamanaji walirusha mawe kwa maafisa wa polisi wakati wa maandamano dhidi ya kukatika mara kwa mara kwa maji na umeme mjini Antananarivo mnamo Septemba 25, 2025. Jeshi la polisi lilitumia...
3 Reactions
14 Replies
780 Views
Waziri Mkuu wa India, Modi, ameukubali mpango wa Trump wa kumaliza vita Gaza, na kusema kuwa mpango huo umegusa mambo yote kwa kina, na hivyo wahusika wote wanatakiwa kuuunga mkono kwani mpango...
2 Reactions
9 Replies
303 Views
Hali ni tete mpaka sasa wameshauawa Watu 10 wakihofiwa ni Majasusi wa Israel Ndani Serikali ya Irani. kile kipigo kiliwaumiza sana Irani. Hawajaweza kukaa wakatulia mpaka sasa. Wanawaza na...
2 Reactions
2 Replies
227 Views
Baraza Kuu la Usalama la Kitaifa la Iran siku ya Jumamosi lilisema kuwa litasitisha ushirikiano na Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA) baada ya Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa...
1 Reactions
12 Replies
883 Views
Timu ya Israel-Premier Tech imetolewa mashindano ya Giro dell’Emilia yanayofanyika Bologna nchini Italia. Wabunge wa jiji la Bologna (mji unaoamalizikia mashindano hayo) ndio waliounga mkono...
5 Reactions
6 Replies
350 Views
Tang Renjian, Waziri wa zamani wa Kilimo na Mambo ya Vijijini wa China, amehukumiwa adhabu ya kifo iliyositishiwa kwa kosa la kupokea rushwa na mahakama ya mkoa wa Jilin siku ya Jumapili, kwa...
3 Reactions
10 Replies
637 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…