UN yaitaka Israel iondoke kwenye Miinuko ya Golan ya Syria
Kwa mara nyingine tena Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa limepasisha kwa wingi wa kura azimio la kuutaka utawala ghasibu wa Israel kuondoka...
Hizbullah: Israel itajuta iwapo itaivamia tena Lebanon
Harakati ya Hizbullah ya Lebanon imeonesha mkanda wa video ikiutahadharisha utawala wa Israel kwamba, utajuta iwapo utaivamia ardhi ya...
Mike Pompeo siku ya leo amelaani vikali tukio la Iran kujaribisha kombora la masafa ya kati yenye uwezo wa kubeba vichwa vya nyuklia.Pompeo alizidi kusema kombora hilo linaweza kupiga popote...
Mwanamume aliyeuawa kimakosa jimboni Alabama, Marekani aliuawa kwa kupigwa risasi mara tatu kutoka nyuma, uchunguzi wa maiti yake umebaini.
Emantic Bradford Jr, anayefahamika kama EJ, alipigwa...
Kampuni binafsi ya safari za anga za juu ya Marekani SpaceX imerusha roketi ya Falcon 9 iliyobeba satelaiti ndogo 64 kutoka kituo cha jeshi la anga cha Vandenberg jimboni California na kuweka...
Mamlaka za China zipo mbioni kudhibiti ongezeko la harusi za kifahari ambazo zimekuwa zikishamiri katika miaka ya karibuni.
Kwamujibu wa maafisa wa serikali, harusi za kisasa si tu ni za gharama...
Raia na wanaharakati nchini Tunisia wameingia barabarani kuandamana wakipinga ziara ya mwanamfalme wa Saudi Arabia Mohammed bin Salman.
Mwanamfalme huyo ambaye ndiye hasa aiyeshika hatamu za...
Rwanda inapaaa, na watu wanajiuliza; Kagame anafanya nini kilichowashinda marais wenzake?
Nonsensical approach to running of state affairs. Kutovumilia upuuzi wa politics of populism...
SERIKALI ya hapa imetoa hati ya kimataifa ya kumkamata Rais wake wa zamani, Pierre Buyoya na maofisa wengine 16, kuhusiana na mauaji ya Rais wa kwanza wa nchi hii, Melchior Ndadaye...
Wafanyakazi wa serikali nchini Marekani wapigwa marufuku kukosoa utendaji wa Trump
Gazeti la The New York Times la nchini Marekani limefichua kuwa serikali ya nchi hiyo imesambaza waraka wa agizo...
MAMLAKA za dola nchini hapa zimesema zina ushahidi wa kutosha unaoonyesha Waziri Mkuu, Benjamin Netanyahu anahusika na vitendo vya rushwa na ufisadi ingawa yeye anakanusha akidai tuhuma hizo...
Maandamano yafanyika Buenos Aires, Argentina kupinga mkutano wa G20 na Bin Salman
Raia wa Argentina wamefanya maandamano mjini Buenos Aires, mji mkuu wa nchi hiyo wakipinga kufanyika mkutano wa...
Jeshi la anga la Syria limedai kuzuoa makombora yote yanayohisiwa kurushwa na ndege za Israel hapo Jana usiku.. Chombo cha habari cha syria Sana kiliripoti. Mashuhuda walisema wameona miale ya...
RAIS Emmanuel Macron jana alilazimika kuitisha kikao cha dharura na vyombo vya usalama kutokana na maandamano ya mamia ya watu yanayoendelea mjini hapa kupinga serikali.
Msemaji wa serikali...
Mapambano ya ‘Kisanii’ Dhidi ya Ukimwi
on December 1, 2018
Siku ya tarehe 1 Disemba ya kila mwaka imetangazwa kimataifa kuwa ‘Siku ya Ukimwi’. Maradhi ambayo mpaka sasa bado hayana kinga wala...
Whenever you are dealing with people, you must always remember that there is tomorrow and you might need them tomorrow. You may end up needing help from the people who are asking for your help...
Msuguano wa kibiashara unaoongezeka kati ya Umoja wa Mataifa na China unafungua mlango wa wazalishaji wa Kirusi kuingia soko la Kichina, Rais wa Urusi Vladimir Putin alisema katika jukwaa la...
Urusi imepanga kufanya mazoezi makubwa ya kijeshi yatakayojumuisha Wanajeshi 300,000 mwezi Septemba ikiwa ndio mazoezi makubwa zaidi ya kijeshi kufanyinga tangu vimalizike vita vya baridi, mazoezi...
Mahakama ya Afrika Kusini imechukua uamuzi wa kuahirisha kesi ya aliyekuwa rais wa nchi hiyo Jacob Zuma hadi Mei 20, 2019. Jacob Zuma anakabiliwa na mashitaka ya rushwa katika kesi kubwa ya mauzo...
Polisi yataka Netanyahu ashitakiwe kwa madai ya ufisadi
Polisi wa Israel wamesema wamapata ushahidi wa kutosha wa mashitaka ya rushwa na udanganyifu wa fedha kufunguliwa dhidi ya Waziri Mkuu...