Rais wa Benki ya Dunia Mr. Kim ajiuzulu nafasi yake

Mudawote

JF-Expert Member
Jul 10, 2013
10,043
12,541
Rais wa Benki ya Dunia atangaza kung'atuka ktk nafasi yake leo.

Je hizi nazo ni siasa maji taka au?


======

World Bank President, Jim Yong Kim has made the surprise announcement that he is stepping down after six years in the post.

His resignation will take effect from 1 February.

Mr Kim, 59, was not due to leave until 2022, after he was re-elected for a second five-year term in 2017.

He will "join a firm and focus on increasing infrastructure investments in developing countries", the World Bank said.

In a statement, Mr Kim said: "It has been a great honour to serve as President of this remarkable institution, full of passionate individuals dedicated to the mission of ending extreme poverty in our lifetime".

No reason was given for his unexpected resignation.

Mr Kim's stance was at odds with US President Donald Trump's policies on climate change, but he had avoided public clashes with the Trump administration.

Kristalina Georgieva, the World Bank's chief executive officer, will assume the role of interim president.

The World Bank has a remit to finance international development projects. Formed in 1947 to help rebuild European countries devastated by World War II, it supports infrastructure projects with traditional loans, interest-free credits, and grants.

Mr Kim, who was born in Seoul, South Korea, trained as medical doctor before rising through the ranks at the Bank.

He was nominated by former U.S. President Barack Obama for his first and second terms as World Bank president.

Traditionally, the president of the World Bank has been nominated by the US, while the head of its sister institution, the International Monetary Fund has been picked by European countries. When Mr Kim was first appointed in 2012, there was growing pressure from countries in the southern hemisphere for a candidate from an emerging market country to be appointed at the World Bank.

Positioned at 41 in Forbes' Power People 2018list, Mr Kim has presided over the dispersal of billions of dollars of World Bank funding. In 2018, the multilateral institution made financial commitments worth $67bn.

Jim Yong Kim steps down from World Bank
 
Zitakuwa maji taka endapo tu ataitaka tena nafasi hiyo hiyo ya Ukurugenzi wa Benk ya dunia kupitia Korea. Kumbuka yeye kwa sasa ni Mmarekani na alikuwa hapo kama Mkurugenzi kwa hisani ya Marekani.
Duh inawezekana, maana yake atakula tenure nyingine mpya kama Vladimir Putin na Dmitry Medvedev.
Ngoja tusubiri
 
Duh inawezekana, maana yake atakula tenure nyingine mpya kama Vladimir Putin na Dmitry Medvedev.
Ngoja tusubiri
Formula ya Putin na Medvedev haiwezi kuapply kwa sababu itamlazimu abadili kabisa position kabisa kwa walau term moja. Huyu kama anataka afanye akama Mh.Abdallah Mtolea ili zisiwe siasa za maji taka
 
Formula ya Putin na Medvedev haiwezi kuapply kwa sababu itamlazimu apumzike kwa kipindi kimoja na abadili kabisa position. Huyu kama anataka afanye akama Mh. Mtolea
Hahaha, ila sema hizo nafasi zinakuwa na siasa sana. Yaani ukitofautiana na wale ma big tu unaenda na maji. Sasa sijui Mh. Kim kaenda kinyume na nani, unaweza kuta ni Trump
 
Zitakuwa maji taka endapo tu ataitaka tena nafasi hiyo hiyo ya Ukurugenzi wa Benk ya dunia kupitia Korea. Kumbuka yeye kwa sasa ni Mmarekani na alikuwa hapo kama Mkurugenzi kwa hisani ya Marekani.

Inaonekana una info nzuri. Embu dadavua zaidi mkuu
 
Hahaha, ila sema hizo nafasi zinakuwa na siasa sana. Yaani ukitofautiana na wale ma big tu unaenda na maji. Sasa sijui Mh. Kim kaenda kinyume na nani, unaweza kuta ni Trump
Kim alipingana na Trump kwenye mambo ya mabadiliko ya tabia nchi. Lakini Kim mstaarabu hakupiga kelele kaona isiwe tabu kaamua kakaa pembeni
 
Inaonekana una info nzuri. Embu dadavua zaidi mkuu
Nafasi ya mkurugenzi wa Benk ya Dunia ni mali ya USA hakuna raia wa nchi nyingine anaruhusiwa kupata nafasi hiyo kama siyo raia wa USA. Hata Ulaya hawaruhusiwi, wao ya kwao ni ukurugenzi wa IMF tu.

Wakubwa walishagawana siku nyingi hayo mashirika. Sisi wamatumbi na wengine wa dunia tunaishia vyeo vya umeneja, ukurugenzi wa idara, mwakilishi wa banki nchi fulani au kanda fulani na unaibu tu.
 
Nafasi ya mkurugenzi wa Benk ya Dunia ni mali ya USA hakuna raia wa nchi nyingine anaruhusiwa kupata nafasi hiyo kama siyo raia wa USA. Hata Ulaya hawaruhusiwi, wao ya kwao ni ukurugenzi wa IMF tu.

Wakubwa walishagawana siku nyingi hayo mashirika. Sisi wamatumbi na wengine wa dunia tunaishia vyeo vya umeneja, ukurugenzi wa idara na unaibu tu.


Sasa kama ni hivyo, kwann aombe kupitia Korea?
 
Ameamua kujiunga na shirika lingine linalohusiana na uendelezaji na uwekezaji wa miundombinu katika nchi zinazoendela. Hakosi kazi huyo.

"After leaving the bank, Kim says he will “join a firm and focus on increasing infrastructure investments in developing countries. The details of this new position will be announced shortly.” He will also serve as a senior fellow at Brown’s Watson Institute for International and Public Affairs and rejoin the board of Partners In Health..."

Source: vox.com
 
Back
Top Bottom