International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Serikali ya Uingereza imesema waziri mkuu Theresa May yuko tayari kufanya mazungumzo mapya juu ya mkataba wa kuiwezesha Uingereza kuondoka kwenye Umoja wa Ulaya itakapofika tarehe 29 mwezi Machi...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wagombea wa uchaguzi mkuu DRC 2018 Martin Fayulu wa upinzani (Kushoto), Felix Tshisekedi (Kulia) na waziri wa zamani wa mambo ya ndani Emmanuel Shadary (Kati) - Muungano wa Afrika (AU) umeitaka...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Binti Raia wa Saudia Rahaf Mohammed Alqunun (18) ambae alikimbilia nchini Thailand akihofia kuuawa na familia yake baada ya kujitoa kwenye dini ya Kiislamu amepatiwa hifadhi na Serikali ya Canada...
6 Reactions
129 Replies
12K Views
These are 4 practical things which its a must to know or get knowledge about before you embark on a life time safari experience in Tanzania. Putting them into use will help you to have a great...
3 Reactions
6 Replies
3K Views
Mahakama ya kimataifa ya makosa ya jinai Icc, iliyoko huko The Hague, Uholanzi imemzuia rais wa zamani wa Ivory Coast,Laurent Gbagbo, kuondoka nchini humo licha ya kuachiwa huru. ICC imemzuia...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Watu watatu wameuawa wakati vyombo vya usalama vikiwatawanya waandamanaji katika viunga vya Mji Mkuu Khartoum Wakati wa oparehseni hiyo, mamia ya watu wamekamatwa wakiwemo Watoto, Wanawake na...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
At least 20 people have been killed in a car bomb attack in the Colombian capital of Bogotá, police say. Dozens more were injured in the blast which happened at 09:30 (14:30 GMT) on Thursday in...
1 Reactions
1 Replies
881 Views
Mwanahabari raia wa Ghana, Ahmed Husein aliyehusika kufichua uovu katika shirikisho la mpira wa miguu Afrika CAF auawa kwa kupigwa RISASI Ripoti zake zilichangia kufungiwa kwa waamuzi waandamizi...
0 Reactions
12 Replies
4K Views
Picha zaidi kuhusiana na likilosemekana la wanafunzi weusi kubaguliwa darasani zimetolewa huko Afrika ya Kusini. Aliyechukua picha moja na kuisambaza mitandaoni alikua na malengo yake binafsi...
1 Reactions
24 Replies
5K Views
Zaidi ya watu 890 wameuawa nchini DR Congo kufuatia kwa vita vya kikabila vilivyodumu kwa siku tatu magharibi mwa nchi hiyo, hii ni kwa mujibu wa ripoti ya Umoja wa Mataifa (UN). Kwa mujibu wa...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Abiria 36 wametekwa nyara na watu wenye silaha kwenye barabara kuu kati ya Buea na Kumba, kusini magharibi mwa Cameroon katika eneo ambalo wakaazi wake wanazungumza lugha ya Kiingereza...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Wakuu wa Jukwaa la kimataifa, huyu mheshimiwa aliyevaa Tai nyekundu kushoto Kwa PM huwa anatikisa kichwa tu kukubaliana na hoja za PM May! Ni nani huyu nimeshindwa kumfahamu. Msaada tafadhali just...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Heli ya mwaka ndugu zangu wana jf niende moja kwa moja kwenye mada .Tangu vita vya siria vianze mwaka 2011 nimekuwa mfatiriaji wa matukio yaliyo kuwa ya kiendelea katika vita hivyo. Lakini...
3 Reactions
12 Replies
3K Views
Vyombo vya habari vya kimataifa vimeripoti kuwa taarifa zilizovuja kutoka matokeo kamili ya uchaguzi wa Desemba 30 katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, zinaonyesha kuwa mgombea aliyetangazwa...
1 Reactions
37 Replies
4K Views
Huku dunia ikisubiri kwa tahadhari uamuzi wa mahakama ya kikatiba juu ya ni nani mshindi wa kura za urais huko Kongo, kumeibuka data zilizovujishwa kutoka ndani ya database ya tume ya uchaguzi...
5 Reactions
30 Replies
5K Views
Israel's air force set for first-ever joint exercise with the RAF in Britain The IDF has been invited to the annual Cobra Warrior exercise in Lincolnshire A Typhoon fighter jet at RAF Coningsby A...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
*Think like you have no Degree Otherwise You Will Die Poor* [emoji310][emoji310] [emoji2398]By: Allan Ahimbisibwe (Plant Dr) Founder/CEO Spark Agron -Initiatives ltd Former Statistician now an...
0 Reactions
2 Replies
909 Views
Kiongozi wa chama cha Labour, Jeremy Corbyn ameshindwa kumng'oa Waziri Mkuu wa Uingereza kwa kura ya kutokuwa na imani naye Jeremy Corbyn's bid to oust Theresa May dramatically backfired today as...
1 Reactions
24 Replies
3K Views
Rais wa Zimbabwe, Emmerson Mnangagwa ameomba msaada wa mwongozo kutoka kwa Rais wa Urusi, Vladmir Putin ili aweze kuikwamua nchi yake kutoka kwenye changamoto za kiuchumi zinazoikabili. Rais...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Juzi haoa Ukraine ilipitisha meli zake ndogo za kijeshi kwenye uwazi unaoitwa Kerch Strait wa Black Sea, Urusi wakazishambulia, kuziteka na kuwakamata mabaharia wa Ukraine wakidai hilo ni eneo lao...
9 Reactions
64 Replies
10K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…