International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Inaonekana nchi zote mzungu anazoziwekea vikwazo hufikia mkwamo na kuhitimisha hiyo hali kwa kuuana wenyewe kwa wenyewe. Haya ndiyo yanayoendelea huko Zimbabwe baada ya kuzimwa internet. Sent...
1 Reactions
42 Replies
5K Views
Jibu la Iran kwa vikwazo vya Marekani; kuwa mstari wa mbele katika nyuga za elimu Jan 20, 2019 08:07 UTC Katika hali ambayo, Marekani na vyombo vya habari vya kipropaganda vya Magharibi daima...
2 Reactions
21 Replies
4K Views
Rais Emmerson Mnangagwa wa Zimbabwe amekatisha ziara yake ya Davos, Uswisi na kurudi nyumbani kushughulikia mvutano unaoendelea kuongezeka nchini Zimbabwe. Rais Mnangagwa ametoa ujumbe kupitia...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Rais wa zamani wa Nigeria Olusegun Obasanjo amemshtumu rais wa nchi hiyo Muhammadu Buhari, anaye wania kiti cha urais kwa muhula wa pili, kwamba anaandaa mpango mkubwa wa kuiba kura ili aweze...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Footage of Netanyahu meeting Chadian President Idriss Debby in N'Djamena is sure to feature in the elections campaign as Netanyahu will underline the strong relations Israel has forged during his...
1 Reactions
0 Replies
813 Views
Aliyekuwa Mkuu wa usalama wa Taifa Botswana na rafiki mkubwa wa Rais mstaafu Khama, ametiwa Pingu Jana Airport akiwasili kutokea Europe. Ni vizuri viongozi wa leo wajifunze uongozi ni dhamana ya...
4 Reactions
46 Replies
11K Views
Yule dada wa BBC Swahili Zuhura Yunus masikini ya Mungu hakuwa na weledi wa kujadili siasa za Tanzania na mtu kama Tundu Lissu, sikilizeni BBC ya ukweli kwenye Hard Talk watakavyogongana vichwa na...
0 Reactions
54 Replies
7K Views
Mgombea wa upinzani nchini DRC, Martin Fayulu amejitangaza kuwa Rais wa taifa hilo tajiri kwa madini, huku akiwasihi wananchi & jumuiya za kimataifa kutomtambua na kumpa ushirikiano mtu mwingine...
0 Reactions
50 Replies
6K Views
Bunge la Ujerumani Bundestag jana limepiga kura ya kukataa kuwapa hifadhi ya ukimbizi raia wa mataifa ya Tunisia, Morocco, Algeria na Georgia na kuzitaja kuwa ni nchi salama.Hata hivyo uamuzi huo...
2 Reactions
6 Replies
2K Views
Nimeshangaa sana. Mafuta ya petrol kufika dola 3.4 kwa lita wakati nchini marekani mafuta yako dola 0.7 kwa lita inamaanisha kwamba hali ya uchumi ni mbaya sana nchini Zimbabwe. Licha ya wananchi...
3 Reactions
29 Replies
4K Views
Habari wana if, ninaomba ushauri wenu, ninataka kusafiri mwezi June mwaka juu 2019 kwenda Spain kuonana na familia ya mchumba wangu ambae ni mspain .Katika vigezo vya kupata visa nimeona kuna...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Controversial plans to chop down a German forest to build a vast coal mine should proceed because Germany needs the polluting fuel to keep the lights on, according to the chief of the country’s...
0 Reactions
0 Replies
474 Views
habari wakuu..mimi ni mgeni wa mambo ya kimataifa naomba kujuzwa kwanini uturuki na wakrudi haziivi?tatizo ninini?Chanzo cha ugomvi wa wakrudi na waturuki ninini? Naomba kujuzwa
1 Reactions
22 Replies
4K Views
Kampuni hiyo iliyojizoela umaarufu kwa kutengeneza magari yanayotumia nishati ya umeme na jua, Tesla yasema inakabiriwa na hali ngumu mbeleni Mtendaji Mkuu wa kampuni hiyo, Elon Musk kupitia...
1 Reactions
8 Replies
4K Views
Mvutano kati ya Rais wa Marekani, Donald Trump na viongozi wa chama cha Democratic kuhusu ujenzi wa ukuta wa mpakani unaotakiwa na rais huyo, umeingia sura mpya baada ya Trump kuondoka kwa hasira...
6 Reactions
12 Replies
2K Views
Nothing New in the Latest American Policy on Africa! Hizb ut Tahrir Kenya Donald Trump’s administration unveiled its so-called “New African Strategy” on Thursday, 14 December 2018, at the...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Kama ilivyo kwa Zambia kukubali kuachia uwanja wake mkubwa wa taifa kwa kushindwa kulipa deni, Kenya pia inaweza kuingia mtego huu kwa kushindwa kulipa deni lake na haki-mufilisi inaangalia...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Ndege za kivita za Israeli zilirusha makombora kuelekea uwanja wa ndege wa Damascus na kushambulia moja ya maghala katika uwanja wa ndege huo. Kwa mujibu wa ripoti ya vyombo vya habari vya...
1 Reactions
139 Replies
14K Views
Matokeo ya Uchaguzi Kongo yanafikirisha khs hii ,,fake Muzungu’s democracy” kwa kuwa tu waliyemtaka hakushinda sasa vibaraka wa Muzungu wanapinga matokeo, kwa nini wakati wote ni Upinzani...
5 Reactions
18 Replies
2K Views
White House announced Friday that a second summit will take place between President Donald Trump and North Korean leader Kim Jong Un in February. Trump met with Kim Yong Chol, North Korea's...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…