I WANT TO APPLY SCHENGEN VISA

May 11, 2016
8
0
Habari wana if, ninaomba ushauri wenu, ninataka kusafiri mwezi June mwaka juu 2019 kwenda Spain kuonana na familia ya mchumba wangu ambae ni mspain .Katika vigezo vya kupata visa nimeona kuna vigezo cha kazi lakini kazi Bado sina kiukweli Je nifanyeje ili wasiamin kwamba nataka kuzamia ktafuta kazi kule?

Kuhusu healthy insurance ni shirika au kampuni gani nzuri na cheap?

Na pia kuhusu bank statement inakuaje hapa?

Ahsanteni.
 
kwanini wao wasiwe guardian wakamaliza kila kitu si wame kuita?? tofauti na hapo utapata ugumu kidogo... wao waandike barua ya mualiko... na mchumba wako aje kwanza then ana kaa siku mbili tatu ndio muende kwa mgongo wake kama guardian au responsible person ukiwa kwao huko...

usiwe na haraka panga karata zako vizuri...
 
mtumie yeye kadi ya mualiko aje ur lady alafu akije msepe... au hata akiondoka ana kutumia MNA sepa ana punguza maswali ubalozini

Ila wapo wanao fahamu na wajuvi wata kuelekeza kwa uzuri zaidi...

japo wapo watakao teseka/wivu wata kukatisha tamaa
 
mkuu ukatuwakilishe vyema kimataifa ...usiwe kama taifa stars....:D:p:p:p:p just kidding
... nb....naona mkuu chillah pale juu katoa ushauri mzuri
 
kwanini wao wasiwe guardian wakamaliza kila kitu si wame kuita?? tofauti na hapo utapata ugumu kidogo... wao waandike barua ya mualiko... na mchumba wako aje kwanza then ana kaa siku mbili tatu ndio muende kwa mgongo wake kama guardian au responsible person ukiwa kwao huko...

usiwe na haraka panga karata zako vizuri...
Ahsante Kwa ushauri wako kaka, ninaishi nae kabisa hapa bongo, so it means kwenye form tujaze taarifa zake true kama mfano bank statement? Pia nikiwaambia sina kazi Bado inakuaje hapo ?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom